LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Washabiki na wafuasi wengi wa chadema wanamtaka lissu uwenyekiti chademaAlipo TAL nami ndipo nilipo , kinachoendelea kwa wapambe wa MWAMBA kinakwenda kuizika CDM au MWAMBA mwenyewe asiwasikilize wapambe wake
Haahaa Yaani Samia awe mwenyekiti wa ccm halafu lissu asiwe mwenyekiti wa chadema?😂😂Kuwa wakiki nguli hakumnyimi mtu sifa ya uropokaji ,,,, hii ni inborn Simlaumu, ukweli ni viatu havimtoshi
Mkuu huo ndo ukweli 100%, tunaongea Sana viongozi waandamizi ccm, wanasema akipita lissu itabidi wabadili mbinu😂😂Hata JK anautambua uwezo mkubwa wa Lissu aliwahi kusema bora Dr. Slaa awe Rais kuliko Lissu kuwa mbunge. Sasa hivi maccm yote ghafla yamekuwa upande wa Mbowe na kumshambulia Lissu hii ni ishara kuwa wanamuogopa sana Lissu akiwa mwenyekiti atawasumbua sana.
Yaani nimemdharau sana Yeriko sikujua kuwa ana mawazo mgando kiasi hiki.Yeriko ni uchawa unamsumbua, anawaza Mbowe asipokuwa mwenyekiti, ataweza kuishi mjini na kilimo chake uchwara cha bamia?
Haahaa Kwa sasa huo ndo ukweli huko ccm, wanajua lissu, nyeusi ni nyeusi kwake😂😂Yericko yuko sahihi 100%. Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. WanaCCM tuko tayari kushirikiana na Mbowe kuijenga CHADEMA.
Yeriko ni chawa maarufu wa mbowe wa siku nyingi😂😂Yaani nimemdharau sana Yeriko sikujua kuwa ana mawazo mgando kiasi hiki.
Chawa wa Mbowe hawalioni hili sijui kawalisha limbwata la nchi gani.Mkuu huo ndo ukweli 100%, tunaongea Sana viongozi waandamizi ccm, wanasema akipita lissu itabidi wabadili mbinu😂😂
Kwani chadema wamnyima lisu kumpa fomu ya kugombea uenyekitiKwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Haahaa umemaliza, lissu amepita viwango vyote.Mbowe kipindi Cha Jpm alilegea hatari.Lissu na heche waliface Jpm live.Chadema wakitumia ushabiki tu na uchawa kumweka lissu pembeni wasitafute mchawi
Kwani chadema wamnyima lisu kumpa fomu ya kugombea uenyekiti
Unajua mali mbowe alizopoteza
Alipo TAL nami ndipo nilipo , kinachoendelea kwa wapambe wa MWAMBA kinakwenda kuizika CDM au MWAMBA mwenyewe asiwasikilize wapambe wake
Yeriko ni uchawa unamsumbua, anawaza Mbowe asipokuwa mwenyekiti, ataweza kuishi mjini na kilimo chake uchwara cha bamia?
Huu uzi Zezeta la Lumumba sio saizi yako.mnapotosha uma
Acha sanduku la kura liamue kwa sababu hiyo ndo demokrasiaSijasema Mbowe Mbaya au hajafanya chochote chamani.
Ila wakati umempa mkono
Kuwa wakiki nguli hakumnyimi mtu sifa ya uropokaji ,,,, hii ni inborn Simlaumu, ukweli ni viatu havimtoshi
aaaah wamfananisha lisu na mbowe? hapana lisu ni mtu mwenye akili sana na msomi huwezi mfananisha na mboweRubbish 🗑 🚮! Ukiondoa uropokaji na mihemko Lissu anabaki na nini ? !!! Huyo ananufaika na watu wa nje wenye maslahi yao binafsi ! Pia kuna hoja ya msingi inamfanya ashindwe kuvivaa viatu vya mwenyekiti ,,, property qualification! Hii dunia haina huruma tena ,,,,
Wanajua wanajitoa tu ufahamu uchawa unalipa Sana bongo kwa Sasa!!