Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Hata JK anautambua uwezo mkubwa wa Lissu aliwahi kusema bora Dr. Slaa awe Rais kuliko Lissu kuwa mbunge. Sasa hivi maccm yote ghafla yamekuwa upande wa Mbowe na kumshambulia Lissu hii ni ishara kuwa wanamuogopa sana Lissu akiwa mwenyekiti atawasumbua sana.
 
Hata JK anautambua uwezo mkubwa wa Lissu aliwahi kusema bora Dr. Slaa awe Rais kuliko Lissu kuwa mbunge. Sasa hivi maccm yote ghafla yamekuwa upande wa Mbowe na kumshambulia Lissu hii ni ishara kuwa wanamuogopa sana Lissu akiwa mwenyekiti atawasumbua sana.
Mkuu huo ndo ukweli 100%, tunaongea Sana viongozi waandamizi ccm, wanasema akipita lissu itabidi wabadili mbinu😂😂
 
Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
Kwani chadema wamnyima lisu kumpa fomu ya kugombea uenyekiti
Unajua mali mbowe alizopoteza
 
Kuwa wakiki nguli hakumnyimi mtu sifa ya uropokaji ,,,, hii ni inborn Simlaumu, ukweli ni viatu havimtoshi

Kimantiki huwezi kuwa Mwanasheria Nguli na wakili Nguli alafu uwe mropokaji.

Ili uwe Mwanasheria Nguli lazima ujue kujenga hoja zenye mantiki. Na huwezi kuwa mjenga hoja mwenye mantiki alafu ukawa mropokaji.

Nafikiri unachanganya mafaili
 
Rubbish 🗑 🚮! Ukiondoa uropokaji na mihemko Lissu anabaki na nini ? !!! Huyo ananufaika na watu wa nje wenye maslahi yao binafsi ! Pia kuna hoja ya msingi inamfanya ashindwe kuvivaa viatu vya mwenyekiti ,,, property qualification! Hii dunia haina huruma tena ,,,,
aaaah wamfananisha lisu na mbowe? hapana lisu ni mtu mwenye akili sana na msomi huwezi mfananisha na mbowe
 
Back
Top Bottom