Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Mkuu, hivi JKN alikwenda hadi USA 🇺🇸 kudai Uhuru wa Tanganyika alikuwa na fedha?
 
Sikubaliani na hoja ya Yericko Nyerere kuwa Lisu anafaa kugombea urais na siyo uwenyekiti.Maana yake anafaa kuwa Mkuu wa nchi siyo kuwa mwenyekiti wa Chadema.
 
Endapo chadema itamletea figisu Lisu ni bora ahame tu, kuhama si dhambi, endapo kama hukubaliani na mwenendo wa chama fulani siyo DHAMBI kuondoka
 
Kuna kipindi Rais Mstaafu Kikwete aliwai kusema ni heli Dr Slaa akapewa Urais kuliko Tundu Lissu kuingia Bungeni!
Sasa huyu Yericko mtoto mdogo anataka kubeza ushujaa wa Mwamba wa Singida!!
 
Mkuu, hivi JKN alikwenda hadi USA 🇺🇸 kudai Uhuru wa Tanganyika alikuwa na fedha?
Kwamba CCM ni mkoloni?
Kulikuwa na JKN wangapi wanaodai uhuru wakati huo?

FYI Mbowe Sr alifadhili hiyo safari..

Mazingira ya siasa za Tanzania sasa ni sawa na miaka 60 iliyopita?

Mkoloni asingeammua kuachia uhuru wa nchi hizi unadhani mapambano ya Kina Nyerere yangefua dafu?

Nyerere alikuwa mropokaji? Au strategist?

Siasa za sasa ni zaidi ya kuropoka kwenye majukwaa ingekwa hivyo Mtukila angekuwa Rais wa nchi hii kitambo sana.
 
Sahihi kabisa,chama kimeshakuwa kikubwa hakuna tena ya kumtegemea mtu mmoja kura zipigwe mshindi atangazwe bila ubabaishaji(kama Lisu ana lengo baya ataanguka yeye na sio Chadema).
 
Unaakili sana
 
Halafu anatokea Mshamba mmoja anayeishi Kigamboni maporini anakuambia Lissu Msaliti…. Anachezwa na Msigwa kupitia CCM na inachezeshwa na Dola, Lissu amekaa vikao sana Nairobi kuihujumu chadema….. hivi huyu dogo anaakili sawa sawa kweli?

Unawezaje kumuita Lissu msaliti ?

JPM alituma hadi viongozi wa Dini kumwambia Lissu aache kuisema Serikali kwani Rais anajenga nchi iliyoharibika, Lissu aliwajibu hatoacha kuikosoa Serikali kwa kuwa ni kazi yake . JPM alipoona dogo hatulii ndio akataka kumuondoa mazima
Wakati huo Yericko anapost mambo ya Ulozi akiwa porini huko kigamboni….leo eti Lissu hafai……. Jamaa kiazi kabisa

Tufike mahali Chadema tuwe na maturity na tukubali kuwa nyakati zinabadilika na wasomi wanaongezeka mabadiliko yatakayo accomodate mawazo mengi ni lazima , tusiwe watu wa zidumu fikra Za mwenyeki….. sio muda wake
 
Huna akili …… kwanin mlimuamini kwenye Urais? He was fit for presidential election kuongoza watu mil 60 , but hafai kuongoza kikundi cha watu laki 5 ?

You are not thinking rationally!
 
Tufike mahali Chadema tuwe na maturity na tukubali kuwa nyakati zinabadilika na wasomi wanaongezeka mabadiliko yatakayo accomodate mawazo mengi ni lazima , tusiwe watu wa zidumu fikra Za mwenyeki….. sio muda wake
Yerricko amejishushia heshima sana. Aliposema tu Faida za Maridhiano Lissu alitaka kulipwa Pesa zake na Abdul nikachoka.
 
Haahaa umemaliza, lissu amepita viwango vyote.Mbowe kipindi Cha Jpm alilegea hatari.Lissu na heche waliface Jpm live.Chadema wakitumia ushabiki tu na uchawa kumweka lissu pembeni wasitafute mchawi
Heche yeye hadi leo anasema aliponea chupu chupu.... Watu wa miwani mieusi walitumwa kumwambia Heche ahamie CCM apewe Uwaziri na dau la pesa.

Heche na Lissu ni vielelezo vya Uzalendo Nchini na Afrika.
 
Huna akili …… kwanin mlimuamini kwenye Urais? He was fit for presidential election kuongoza watu mil 60 , but hafai kuongoza kikundi cha watu laki 5 ?

You are not thinking rationally!
Sasa akiki zangu unataka za nini mkuu😂,

Huu ni uchaguzi wa ndani kama unakuuma tulia ...
 
Hovyp kabisa, hujui hata unachoongea. Lissi is the Brightest and capable man kamq huji. He is the best choice baada ya Nyerere
 
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Ule mchezo Ulikuwa mkali sana.

Watu wote tulibaki midomo.wazi, gemu halifurahishi wala haikeli.
Na jamaa baada ya kupita kwenye uvuli wa mauti bado alirudi tena kukabiliana naye kwenye Uchaguzi.

Jpm hakuamini, angeweza kufikiria huenda anapambana na Jini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…