Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😅😅😅😅😅nimecheka sana hii.Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia @Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Huu uzi wako mfupi umefunga ndomo hoja zote za YerrickoKwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Kwamba wakati kuna kikao cha panya mabaka,kijivu na panya wooote wakilenga kujadili namna ya kumfunga paka kengele ilihali hawatoi sauti Lissu hakuwepo bali alikuwa ulingoni akipambana na paka 😂😂😂😂😂😂Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Kama ni hivyo HAKUKUWA NA HAJA YA KUMMINIA MVUA YA RISASI ZILE.Rubbish 🗑 🚮! Ukiondoa uropokaji na mihemko Lissu anabaki na nini ? !!! Huyo ananufaika na watu wa nje wenye maslahi yao binafsi ! Pia kuna hoja ya msingi inamfanya ashindwe kuvivaa viatu vya mwenyekiti ,,, property qualification! Hii dunia haina huruma tena ,,,,
Ama hakika ili uwe CHAWA NI LAZIMA UONDOE UBONGO WAKO KICHWANI MWAKO.Yericko yuko sahihi 100%. Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. WanaCCM tuko tayari kushirikiana na Mbowe kuijenga CHADEMA.
Mimi mwanzoni nilikua namsupport lisuFord foundation wana fund wanaharakati binafsi na sio political parties...
Na kwa sheria za TZ hairuhusiwi kabisa, labda mafunzo na capacity building sio fund za daily activities
Sasa unaambiwa Kufund event moja kama mkutano mkuu wa Chama inahutajika 1B TL atazi rise vipi?
Nakubaliana na wewe kwamba siasa za opposition itabidi zibadilike, lakini ni kitu gani kinamzuia TL kufanya siasa anazotaka kufanya sasa akiwa Makam Mwenyekit?
Ni Bahati mbaya TL hajawahi ongoza taasisi yeyote yenye mafanikio kama kiongozi toka azaliwe...
Siku nyingine usijiweke kundi moja na yeriko amekuzidi mambo mengi sana kwenye siasa you're no body usijipe umuhimu huoKwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Wewe ni pro-Lissu wa sikuzote.Kwema Wakuu!

Tuwahurumie vijana wa Mbowe maana wanatumika bila kujua. Kazi yao ni kushambulia na kujeruhi yeyote anayetishia maslahi yao kwa kunusa nafasi ya uenyekitiKwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Kwamba CCM ni mkoloni?
Kulikuwa na JKN wangapi wanaodai uhuru wakati huo?
FYI Mbowe Sr alifadhili hiyo safari..
Mazingira ya siasa za Tanzania sasa ni sawa na miaka 60 iliyopita?
Mkoloni asingeammua kuachia uhuru wa nchi hizi unadhani mapambano ya Kina Nyerere yangefua dafu?
Nyerere alikuwa mropokaji? Au strategist?
Siasa za sasa ni zaidi ya kuropoka kwenye majukwaa ingekwa hivyo Mtukila angekuwa Rais wa nchi hii kitambo sana.
🌤️🙋♂️👊👏🤝🙏Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Mropokaji ni mtu anayeongea pasipokuwa na hoja. Tusaidie ni wapi ambapo Lissu aliwahi kuongea bila hoja.Kuwa wakiki nguli hakumnyimi mtu sifa ya uropokaji ,,,, hii ni inborn Simlaumu, ukweli ni viatu havimtoshi
Mnaongelea Mbowe kupoteza mali kana kwamba wengine hawajawahi kupoteza chochote, unajua namna maisha ya Lissu yalivyokuwa yapotezwe? Unajua mchungu na fadhaha alizopitia? Unajua majeraha aliyoyapata na utimamu wa mwili alioupoteza au kwenu mali matters kuliko chochote?Kwani chadema wamnyima lisu kumpa fomu ya kugombea uenyekiti
Unajua mali mbowe alizopoteza
1.Hupigi kura mkuu
2.TL anatumika na Diaspora na Maria Sarungi
3.TL sio mtu mbaya, shida yake ni confrontation politics, nani atamwamini mtu wa namna hii?
4.CDM sio taasisi yenye fedha kama CCM, hizo Elf kumi kumi za Diaspora zinaweza endesha harakati za CDM kwel?
5.CDM itajiondolea uwezo wao kama tassisi wa kuaminika na taasisi kwenye mambo mengine ya kiserikali, hiyo openness anayoitaka TL ni ya kuendesha chekechea sio Chama cha siasa chenyr ushawishi...
6.TL anajua kuzungumza, amewahi kuongoza taasis gani ya mafanikio tangu azaliwe?
Mnamponza kijana apotee
Ukimuuliza unachowezakushindana nacho kwenye elimu yako ni kipi hana jibu.Angekuwa mropokaji asingekuwa Mwanasheria na wakili Nguli.
Nafikiri hujui mambo yanayomfanya mtu awe Mwanasheria Nguli na wakili mbobevu.
Ungekuwa Una idea Walau kidogo Wala usingefikiri achilia mbali kusema Lisu ni mropokaji
Kuhusu JPM vs Lissu umepatia hoja 100%. Lissu ni mpambanaji wa uhakika. Hakuna ubishi.Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Team Mbowe huyo anajizima data mkuu, halafu hiyo team wengi hawana hoja & akili ni viazi kabisa!!.Ulikuwepo awamu ya 5?