Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia @Maxence Melo asije akatuuza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…nimecheka sana hii.
Melo alikuwa mkombozi wetu
 
Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
Huu uzi wako mfupi umefunga ndomo hoja zote za Yerricko
 
Kwamba wakati kuna kikao cha panya mabaka,kijivu na panya wooote wakilenga kujadili namna ya kumfunga paka kengele ilihali hawatoi sauti Lissu hakuwepo bali alikuwa ulingoni akipambana na paka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Rubbish ๐Ÿ—‘ ๐Ÿšฎ! Ukiondoa uropokaji na mihemko Lissu anabaki na nini ? !!! Huyo ananufaika na watu wa nje wenye maslahi yao binafsi ! Pia kuna hoja ya msingi inamfanya ashindwe kuvivaa viatu vya mwenyekiti ,,, property qualification! Hii dunia haina huruma tena ,,,,
Kama ni hivyo HAKUKUWA NA HAJA YA KUMMINIA MVUA YA RISASI ZILE.
 
Ford foundation wana fund wanaharakati binafsi na sio political parties...

Na kwa sheria za TZ hairuhusiwi kabisa, labda mafunzo na capacity building sio fund za daily activities

Sasa unaambiwa Kufund event moja kama mkutano mkuu wa Chama inahutajika 1B TL atazi rise vipi?

Nakubaliana na wewe kwamba siasa za opposition itabidi zibadilike, lakini ni kitu gani kinamzuia TL kufanya siasa anazotaka kufanya sasa akiwa Makam Mwenyekit?

Ni Bahati mbaya TL hajawahi ongoza taasisi yeyote yenye mafanikio kama kiongozi toka azaliwe...
Mimi mwanzoni nilikua namsupport lisu
Ila alichoandika yeriko kinafikirusha sana
Kuendesha taasisi inayopigwa vita na serikali ni kazi ngumu sana

Tunaweza mtuhumu sana mbowe ila ukweli ni kwamba tatizo lipo kwa watanzania na sio mbowe hata akiingia lisu kuwa mwenyekiti atagundua tatizo liko kwa watanzania muamko bado ni mdogo sana

Mbowe ame-sacrifice maisha yake kuipigania chadema kwa maumivu makubwa sana ni basi tu wapiga kelele hawawezi ona
 
Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
Siku nyingine usijiweke kundi moja na yeriko amekuzidi mambo mengi sana kwenye siasa you're no body usijipe umuhimu huo

Yeriko baada ya uchaguzi wa 2015 alikuwa anasakwa mpaka kova akaja kwenye vyombo vya habari kwamba serikali inamsaka mpaka lowasa naye akatoa tamko kwamba aachiwe huku zoezi la uwizi wa kura ukiendelea pale masaki alafu bila aibu unamuita keyboard warriors

Yeriko ni muhamga mkubwa sana wa kesi nyingi za uchochezi usijifananishe nae kwenye siasa amekuzidi mambo mengi sana korido za mahakama anazijua sana

Unahaki ya kumpinga lakin hauko naye sawa kwenye mambo ya siasa ni ujinga kumuita keyboard warriors
Wewe ndo keyboard warriors na sio yeriko
 
Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
Wewe ni pro-Lissu wa sikuzote.
Kila mtu anakujua as Yericko alivo Pro-mwamba.
 
Tuwahurumie vijana wa Mbowe maana wanatumika bila kujua. Kazi yao ni kushambulia na kujeruhi yeyote anayetishia maslahi yao kwa kunusa nafasi ya uenyekiti
 
Kwamba CCM ni mkoloni?
Kulikuwa na JKN wangapi wanaodai uhuru wakati huo?

FYI Mbowe Sr alifadhili hiyo safari..

Mazingira ya siasa za Tanzania sasa ni sawa na miaka 60 iliyopita?

Mkoloni asingeammua kuachia uhuru wa nchi hizi unadhani mapambano ya Kina Nyerere yangefua dafu?

Nyerere alikuwa mropokaji? Au strategist?

Siasa za sasa ni zaidi ya kuropoka kwenye majukwaa ingekwa hivyo Mtukila angekuwa Rais wa nchi hii kitambo sana.

..Ccm ni wakatili kuliko wakoloni wa Kiingereza.

..wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika, viongozi au wanachama wa Tanu hawakutekwa, kuteswa, au kupotezwa.

..Tanganyika tulipata uhuru wa nchi, sasa tunapigania uhuru wa wananchi.
 
Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
๐ŸŒค๏ธ๐Ÿ™‹โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘๐Ÿค๐Ÿ™
 
Kuwa wakiki nguli hakumnyimi mtu sifa ya uropokaji ,,,, hii ni inborn Simlaumu, ukweli ni viatu havimtoshi
Mropokaji ni mtu anayeongea pasipokuwa na hoja. Tusaidie ni wapi ambapo Lissu aliwahi kuongea bila hoja.
 
Kwani chadema wamnyima lisu kumpa fomu ya kugombea uenyekiti
Unajua mali mbowe alizopoteza
Mnaongelea Mbowe kupoteza mali kana kwamba wengine hawajawahi kupoteza chochote, unajua namna maisha ya Lissu yalivyokuwa yapotezwe? Unajua mchungu na fadhaha alizopitia? Unajua majeraha aliyoyapata na utimamu wa mwili alioupoteza au kwenu mali matters kuliko chochote?
 
Lisu hanauwezo wakuongoza chama, kama hamuamini mpeni uentekiti mtajua hamjui, Meenyekiti anatakiwa awenimtu mwenye busara na akili zakutulia.

Ulopokaji na uanaharakati wenye misifa ya kijinga hautakipeleka chama popote.
 
Point yako namba tatu ndio hasa kinachitakiwa kufanywa na wapinzani. Kama wanaibiwa kura na ccm kwa kushirikiana na mamlaka tena bila aibu wala kificho na hakuna hatua zinazochukuliwa na serikali na CDM yenyewe zaidi ya kulalamika unapenda upinzani uwe vipi? Confrontational politics ndio suluhisho la siasa za hovyo za ccm. Kama polisi inashiriki kuisadia ccm kupitisha mabox ya kura feki kama wapinzani wanavyodai basi watakabiliana na vijana wa CDM kwenye vituo vya kura muhimu haki itendeke, vinginevyo hakuna sababu ya kushiriki uchaguzi wala kupiga kura ikiwa chla tawala kinafanya hujuma za wazi na hakuna hatua zinazochukuliwa.
1.Hupigi kura mkuu

2.TL anatumika na Diaspora na Maria Sarungi

3.TL sio mtu mbaya, shida yake ni confrontation politics, nani atamwamini mtu wa namna hii?

4.CDM sio taasisi yenye fedha kama CCM, hizo Elf kumi kumi za Diaspora zinaweza endesha harakati za CDM kwel?

5.CDM itajiondolea uwezo wao kama tassisi wa kuaminika na taasisi kwenye mambo mengine ya kiserikali, hiyo openness anayoitaka TL ni ya kuendesha chekechea sio Chama cha siasa chenyr ushawishi...

6.TL anajua kuzungumza, amewahi kuongoza taasis gani ya mafanikio tangu azaliwe?

Mnamponza kijana apotee
 
Angekuwa mropokaji asingekuwa Mwanasheria na wakili Nguli.

Nafikiri hujui mambo yanayomfanya mtu awe Mwanasheria Nguli na wakili mbobevu.
Ungekuwa Una idea Walau kidogo Wala usingefikiri achilia mbali kusema Lisu ni mropokaji
Ukimuuliza unachowezakushindana nacho kwenye elimu yako ni kipi hana jibu.
 
Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
Kuhusu JPM vs Lissu umepatia hoja 100%. Lissu ni mpambanaji wa uhakika. Hakuna ubishi.

Sasa jiulize kama hiyo inampa Lissu uwezo mkubwa wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Kama vile Messi angetaka kuwa Rais wa FCB.
 
Back
Top Bottom