Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Hivi chawa wa mbowe wanatofauti gani na chawa wa mama?
 
Upande wa mtandaoni mashambulizi yaliongozwa na kigogokigogo na Mange Kimambi.

Ila frontline Lisu Akiwa na usaidizi wa watu Wachache kama kina Mdude_Nyagali
Exactly, Utawala wa Magufuli uliogopeka sana kuanzia CCM hukohuko...serikalini, upinzani, Vyombo vya Habari, NGO's, Wafanya Biashara (Wakubwa) hadi mtaani.

CCM huko huko kulijaa woga kuanzia Viongozi Wastaafu, Wabunge, hata makada wa kawaida.

Hawa akina Warioba, Tibaijuka nk ujasiri wa kuongea leo sio kama zama hizo.

Mtibeli yupo sahihi sana.
Mkosoaji mkuu wa JPM alikuwa Lissu, aliyem-challange hadharani.

Prof Asad aliwahi kukosoa utawala wa JPM kupitia Vitabu vya ukaguzi.
Lakini alipokutana naye face to face akaulizwa athibitishe kama kuna missing ya 1.5 trillion aliruka futi mia.

Angalau Nyalandu yeye alionesha ujasiri kipindi hicho cha kujiuzuru ubunge.
 
So mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa maisha?!.
Hv kwann team mbowe wote hawana akili wala hoja...yaani ni viazi full!.
 
Kuhusu JPM vs Lissu umepatia hoja 100%. Lissu ni mpambanaji wa uhakika. Hakuna ubishi.

Sasa jiulize kama hiyo inampa Lissu uwezo mkubwa wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Kama vile Messi angetaka kuwa Rais wa FCB.

Umri wa Lisu kwa sasa ni kuwa kocha. Kuongoza mapambano au huoni kwa sasa Lisu ni mtu mzima?
 

Mimi sio mwanasiasa
Ningekuwa mwanasiasa ningekuwa zaidi ya huyo Yericko wako
 
Huyu ndo mlitupa akagombea urais huku hamu muamini.?
 
Yericko anapambania tumbo lake Kwa kivuli cha kulima bamia na kuuza vitabu.

Kwa Elimu yake aliyosoma VETA umeme wa majumbani bado hiatoshi kumfanya kuwa na uelewa mpana wa siasa za upinzani
 
Umri wa Lisu kwa sasa ni kuwa kocha. Kuongoza mapambano au huoni kwa sasa Lisu ni mtu mzima?
Lissu anaweza kabisa kuongoza CHADEMA. Lakini msiweke tumaini lililopitiliza mkitarajia kuwa
atakuwa masihi fulani hivi. Kwamba akiwepo pale basi problem solved. Msije kuhuzunika baadaye.

Hapa JF ni vyema wadau waweze kuchambua sifa zote za Lissu, hasi na chanya, ili kuweza kutoa ushauri maridhawa kwa wahusika.

Hakuna haja ya ushabiki kwenye siasa. Hakuna malaika wala hakuna kiongozi anayestahili kupewa blank cheque (carte blanche).
 
Unajisumbua bure Lissu hawezi kushindaaa,hata afanyaje and bad is wanaopiga propaganda sio wapiga kuraa na sio wanachamaaaa
 


Lissu kawazidi kila kitu wanasiasa wote wa Tz

Lazima awe mwenyekiti
 
Unajisumbua bure Lissu hawezi kushindaaa,hata afanyaje and bad is wanaopiga propaganda sio wapiga kuraa na sio wanachamaaaa

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sisi kweli sio wapiga Kura na sio wanachama.

Na Sisi ndio tupo wengi ambao tunapigaga Kura za uchaguzi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…