Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
Hivi chawa wa mbowe wanatofauti gani na chawa wa mama?
 
Upande wa mtandaoni mashambulizi yaliongozwa na kigogokigogo na Mange Kimambi.

Ila frontline Lisu Akiwa na usaidizi wa watu Wachache kama kina Mdude_Nyagali
Exactly, Utawala wa Magufuli uliogopeka sana kuanzia CCM hukohuko...serikalini, upinzani, Vyombo vya Habari, NGO's, Wafanya Biashara (Wakubwa) hadi mtaani.

CCM huko huko kulijaa woga kuanzia Viongozi Wastaafu, Wabunge, hata makada wa kawaida.

Hawa akina Warioba, Tibaijuka nk ujasiri wa kuongea leo sio kama zama hizo.

Mtibeli yupo sahihi sana.
Mkosoaji mkuu wa JPM alikuwa Lissu, aliyem-challange hadharani.

Prof Asad aliwahi kukosoa utawala wa JPM kupitia Vitabu vya ukaguzi.
Lakini alipokutana naye face to face akaulizwa athibitishe kama kuna missing ya 1.5 trillion aliruka futi mia.

Angalau Nyalandu yeye alionesha ujasiri kipindi hicho cha kujiuzuru ubunge.
 
Mimi mwanzoni nilikua namsupport lisu
Ila alichoandika yeriko kinafikirusha sana
Kuendesha taasisi inayopigwa vita na serikali ni kazi ngumu sana

Tunaweza mtuhumu sana mbowe ila ukweli ni kwamba tatizo lipo kwa watanzania na sio mbowe hata akiingia lisu kuwa mwenyekiti atagundua tatizo liko kwa watanzania muamko bado ni mdogo sana

Mbowe ame-sacrifice maisha yake kuipigania chadema kwa maumivu makubwa sana ni basi tu wapiga kelele hawawezi ona
So mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa maisha?!.
Hv kwann team mbowe wote hawana akili wala hoja...yaani ni viazi full!.
 
Kuhusu JPM vs Lissu umepatia hoja 100%. Lissu ni mpambanaji wa uhakika. Hakuna ubishi.

Sasa jiulize kama hiyo inampa Lissu uwezo mkubwa wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Kama vile Messi angetaka kuwa Rais wa FCB.

Umri wa Lisu kwa sasa ni kuwa kocha. Kuongoza mapambano au huoni kwa sasa Lisu ni mtu mzima?
 
Siku nyingine usijiweke kundi moja na yeriko amekuzidi mambo mengi sana kwenye siasa you're no body usijipe umuhimu huo

Yeriko baada ya uchaguzi wa 2015 alikuwa anasakwa mpaka kova akaja kwenye vyombo vya habari kwamba serikali inamsaka mpaka lowasa naye akatoa tamko kwamba aachiwe huku zoezi la uwizi wa kura ukiendelea pale masaki alafu bila aibu unamuita keyboard warriors

Yeriko ni muhamga mkubwa sana wa kesi nyingi za uchochezi usijifananishe nae kwenye siasa amekuzidi mambo mengi sana korido za mahakama anazijua sana

Unahaki ya kumpinga lakin hauko naye sawa kwenye mambo ya siasa ni ujinga kumuita keyboard warriors
Wewe ndo keyboard warriors na sio yeriko

Mimi sio mwanasiasa
Ningekuwa mwanasiasa ningekuwa zaidi ya huyo Yericko wako
 
1.Hupigi kura mkuu

2.TL anatumika na Diaspora na Maria Sarungi

3.TL sio mtu mbaya, shida yake ni confrontation politics, nani atamwamini mtu wa namna hii?

4.CDM sio taasisi yenye fedha kama CCM, hizo Elf kumi kumi za Diaspora zinaweza endesha harakati za CDM kwel?

5.CDM itajiondolea uwezo wao kama tassisi wa kuaminika na taasisi kwenye mambo mengine ya kiserikali, hiyo openness anayoitaka TL ni ya kuendesha chekechea sio Chama cha siasa chenyr ushawishi...

6.TL anajua kuzungumza, amewahi kuongoza taasis gani ya mafanikio tangu azaliwe?

Mnamponza kijana apotee
Huyu ndo mlitupa akagombea urais huku hamu muamini.?
 
Yericko anapambania tumbo lake Kwa kivuli cha kulima bamia na kuuza vitabu.

Kwa Elimu yake aliyosoma VETA umeme wa majumbani bado hiatoshi kumfanya kuwa na uelewa mpana wa siasa za upinzani
 
Umri wa Lisu kwa sasa ni kuwa kocha. Kuongoza mapambano au huoni kwa sasa Lisu ni mtu mzima?
Lissu anaweza kabisa kuongoza CHADEMA. Lakini msiweke tumaini lililopitiliza mkitarajia kuwa
atakuwa masihi fulani hivi. Kwamba akiwepo pale basi problem solved. Msije kuhuzunika baadaye.

Hapa JF ni vyema wadau waweze kuchambua sifa zote za Lissu, hasi na chanya, ili kuweza kutoa ushauri maridhawa kwa wahusika.

Hakuna haja ya ushabiki kwenye siasa. Hakuna malaika wala hakuna kiongozi anayestahili kupewa blank cheque (carte blanche).
 
Kwema Wakuu!

Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.

Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.

Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.

Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.

Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.

Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.

Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.

Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,

Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.

Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza 😃😃

Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.

Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.

Nishamaliza
Unajisumbua bure Lissu hawezi kushindaaa,hata afanyaje and bad is wanaopiga propaganda sio wapiga kuraa na sio wanachamaaaa
 
Lissu anaweza kabisa kuongoza CHADEMA. Lakini msiweke tumaini lililopitiliza mkitarajia kuwa
atakuwa masihi fulani hivi. Kwamba akiwepo pale basi problem solved. Msije kuhuzunika baadaye.

Hapa JF ni vyema wadau waweze kuchambua sifa zote za Lissu, hasi na chanya, ili kuweza kutoa ushauri maridhawa kwa wahusika.

Hakuna haja ya ushabiki kwenye siasa. Hakuna malaika wala hakuna kiongozi anayestahili kupewa blank cheque (carte blanche).

Lissu kawazidi kila kitu wanasiasa wote wa Tz

Lazima awe mwenyekiti
 
Unajisumbua bure Lissu hawezi kushindaaa,hata afanyaje and bad is wanaopiga propaganda sio wapiga kuraa na sio wanachamaaaa

😃😃
Sisi kweli sio wapiga Kura na sio wanachama.

Na Sisi ndio tupo wengi ambao tunapigaga Kura za uchaguzi Mkuu
 
Back
Top Bottom