Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

Lisu amebeba matumaini na watanzania wote wanamkubali baba mbowe tuko chini ya miguu yako muachie lissu
 
Pia Lissu alipo hudhuria mara mbili tu vikao vya maridhiano, Lissu akasema mapema hakuna maridhiano pale, ila mwenyekiti yeye alikomaa mwisho wa siku anakuja kushtuka too late,

aaaah wamfananisha lisu na mbowe? hapana lisu ni mtu mwenye akili sana na msomi huwezi mfananisha na mbowe
 
Tatzo ni ndumi la kuwili,,,ananunulika na kurubuniwa kirahisi
Hakuunga juhudi wakati wa simba wa Yuda wala kwa Mkojani halafu leo useme anunulike?
Kwa kipi?
Baada ya Peter Msigwa kuhamia ccm ccm walimzushia sana TL kuhamia huko je kahamia?
 
1. Je TAL hana sifa/vigezo vya kuwa mgombea wa chama cha CDM?

2. Je ni majira ya uchaguzi au anaoutaka uenyekiti nje ya uchaguzi?

3. Chandema wanaojiita chama cha maendeleo na demokrasia, Km ni hivyo demokrasia yao wanaionyeshaje kwa vitendo kama si kupitia chaguzi zao za ndani zikiwa huru na haki?
Wanaojitokeza watu wa ndani ya chama kumpiga TAL asigombee na ilihali hiyo ni haki yake kikatiba je pana demokrasia kweli hapo?
4. Wanaokosoa TAL kugombea uenyekiti je ni wana Chandema hasa au ni maafisa vipenyo ndani ya chama chao wanaungana na CCM kumpiga TAL?
 
Tatzo ni ndumi la kuwili,,,ananunulika na kurubuniwa kirahisi
Angekuwa ananunulika hiyo chadema isingekuwa hapo! Majority ya sisi waswahili ni key board warrior.. tunajua kubweka kwenye mitandao ila field sasa ni mbwa koko
 
Samia hadi akaamua kumpa simba wa zoom jina la "Tundu Lissu " coz of troubles.
 
Labda abadilikf lakini siyo jasiri kama unavyo pambwa naimani mambo yaliwa magumu atamwaga moto maana anauraia wa ubeligiji huyu. Lalini kamanda anauraia wa kilimanjaro tu. Hapo naona mwenye kiti. Yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…