RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Dr.kwaitama ambaye nimpigania demokrasia na mwumini wa mageuzi hapa nchini amesema kwamba yeriko Nyerere ni tapeli na hafai kwenye jamii ya watanzania kwani amekuwa kigeugeu katika misimamo yake hasa kwenye upande wa siasa, mwandishi huyo wa vitabu vya ujasusi amekuwa akitoa lugha za kashifa kwa viongozi wake wa juu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa matusi na kejeli huku awali alikuwa akiaminisha umma kuwa wanafaa kuongoza nchi mfano NI makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu atipas lisu.👇👇👇👇