Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Last seen 2012Vipi mkuu ulimpataga mmasai au bado. Nataka kubadili kabila.
🤣🤣🤣🤣, yaani tangu 2008 hadi leo hakuna mmasai aliyewezeshwa kuona huu uzi?Watu wa JF ya zamani walikuwa hawana ushirikiano hata kidogo, afu ndio tunaambiwa kulikuwa na madini
Raia wa JF ya zamani walikuwa matapeli tuu🤣🤣🤣🤣, yaani tangu 2008 hadi leo hakuna mmasai aliyewezeshwa kuona huu uzi?