Yero Subai - Mmasai

Yero Subai - Mmasai

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Posts
1,078
Reaction score
101
Nina swali muhimu, kuna mmasaai yeyote yuko UK anataka dili la ku-shoot tangazo? Kama vipi ni-PM, nitawasiliana zaidi wikiendi kama mambo poa. Sitaki mmasai feki.......dili ni 50/50 nasubiri habari zaidi. Yaani bado uhakika. Nitakuunganisha moja kwa moja kwa mtaka huduma.
 
Watu wa JF ya zamani walikuwa hawana ushirikiano hata kidogo, afu ndio tunaambiwa kulikuwa na madini
 
Back
Top Bottom