Yes... but

Hata sielewi
Ngoja nikusaidie..hiyo picha ya kwanza timu imeshinda ubingwa lakini wanaondoka kwa basi tena wamesimama wakati kombe liko kwenye gari kali huku bosi akimwaga hela.

Hiyo ya pili inaonesha eneo la parking lakini hiyo sehemu iliyowazi wanaikwepa kisa juu kuna nyaya ambayo ndege wanakaa na kunya.hivyo wanaogopa kuchafua magari yao.
 
Nmekuelewa boss
 
Hauli nyama, lakini unakula vijinyama vinavyobanduka mikononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…