Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Ndio... lakini
Wek picha yako kuendana na maaudhui
Wek picha yako kuendana na maaudhui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikusaidie..hiyo picha ya kwanza timu imeshinda ubingwa lakini wanaondoka kwa basi tena wamesimama wakati kombe liko kwenye gari kali huku bosi akimwaga hela.Hata sielewi
Nmekuelewa bossNgoja nikusaidie..hiyo picha ya kwanza timu imeshinda ubingwa lakini wanaondoka kwa basi tena wamesimama wakati kombe liko kwenye gari kali huku bosi akimwaga hela.
Hiyo ya pili inaonesha eneo la parking lakini hiyo sehemu iliyowazi wanaikwepa kisa juu kuna nyaya ambayo ndege wanakaa na kunya.hivyo wanaogopa kuchafua magari yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namuona MO anaondoka na kombe[emoji3]