ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
You still believe these are my thoughts! You may agree to disagree but that is the actual on the ground! Ni kwa huu unaouita ujinga ndio unanifanya nizidi kuongeza siku! Hata hivyo nashukuru kwa kunisaidie niendelee kutoa maelezo maana imenisaidia kuzidi kupata more deals through PM, wewe kalaghabhao!
Hahahahahahahahhahahaha yaani thread umeaznisha mwenyewe halafu umeikimbia!!!
Taja mkoa usiohitaji apartments.
Wanaokupa deals ni wanajiingiza kwenye mdomo wa mamba. Hakuna tapeli anayekosa wateja. Wewe ni tapeli. Huna taaluma ya real estate na ndio maana umeshindwa kujibu maswali rahisi.
Taja mkoa usiohitaji apartments.
Weka list ya vitabu aliyoomba Gaijin.
Leo hii unataka nikutajie ni mikoa gani hahitaji apartments! Mimi sifanyi kazi ya bure, kama unataka nikutajie ni mikoa gani njoo kibiashara tufanye kazi!
Unatka nikupe desa la bure kwa kukutajia mikoa isiyohitaji apartments, then what?
Suala la list ya vitabu nimelitoleaa maelezo hapo juu labda kama you still jump the gun!
Kumbe lengo lako ni kuandika thread ambayo itakufanya uweze kuwaibia watu kwa kuwadanganya kuwa una jibu la maswali yao.
We kweli mwenzawazimu!!!
Sisi wenzako hapa JF tuko kwa ajili ya kujadili na tukiona mawazo ya kipuuzi kama yako lazima tuyashughulikie. Mimi niliona malicious intention tangu mwanzo kwa sababu thread yako imekaa kimagumashi, kumbe kweli lengo lako kuwaibia watu!!!
Eti kuna mikoa haihitaji apartmets, lakini kuitaja hiyo mikoa mpaka upewe PESA!!!
Humpati mtu hapa MWIZI mkubwa weee...
Nina wasiwasi na capacity ya ubongo wako! Yaani suala la where to invest apartment or standalone unafikiri ni kutaja tu bila kufanya analysis ya kutosha! Wewe kweli Mbulula! Hata hivyo umeelimika vya kutosha na mimi sitachoka kukuelimisha ila kwa kazi ya kwenda field kupata data from the grassroot lazima unilipe, hata ukiniita tapeli, life goes on!Eti kuna mikoa haihitaji apartmets, lakini kuitaja hiyo mikoa mpaka upewe PESA!!!
Humpati mtu hapa MWIZI mkubwa weee...
Humpati mtu hapa MWIZI mkubwa weee...
Nina wasiwasi na capacity ya ubongo wako! Yaani suala la where to invest apartment or standalone unafikiri ni kutaja tu bila kufanya analysis ya kutosha! Wewe kweli Mbulula! Hata hivyo umeelimika vya kutosha na mimi sitachoka kukuelimisha ila kwa kazi ya kwenda field kupata data from the grassroot lazima unilipe, hata ukiniita tapeli, life goes on!
Keep up DUDE, unazidi kunimiminia clients!
Wewe ni MWIZI.
Huna tofauti na wale waganga wa kienyeji wanaojifanya wameona mkosi mkubwa utatokea na ili wautaje huo mkosi inabidi kwanza wapewa PESA!!!
Kama una shida ya pesa we sema tu tutakuchangia, lakini usianze porojo porojo zisizo na mantiki. Hii ni JF ukileta porojo unachapwa viboko. Mwizi mkubwa wee...
Tuendelee na mjadala Mr. ZeMarcopolo, ua ndo unadhibitisha your level of Intelligence Quotient! Bado hujanijibu unaongelea apartments zipi?apartments for owner occupied? For Rentals? or For Sale?
Let me tell you one thing.
Wewe umejitambulisha kwamba real estate ndio field yako professionally. Unaposema kitu ni profession yako, inabidi uweze kuongea kwa authority with evidence. So far umeshindwa kufanya hivyo.
Thread hii imefanya ujishushie heshima mno na umekuwa ukichangia kama mtoto wa kijiweni. Taaluma sio kujua terminologies and classifications tu jamani!
Hilo swali unalouliza hapo nimeshakupa ufafanuzi earlier. Wewe taja mkoa mmoja tu ambao any of hizo types of apartments hazihitajiki.
Mbona nimekujibu kwa kukupa mfano wa TANESCO kujenga flat staff hata Namtumbo? Au na hii post hukuisoma! Ok, nitaendelea kukusaidia! Kujenga apartments wawezajenga kila mkoa, hadi mikoa mipya ya Njombe na Katavi! Lakini businesswise, itategemea una motive gani ya kujenga hizo apartmemnts, na hapa ndipo giza nene lilipotanda kichwani mwako! Mbona NMB Bank wako almost 90% ya wilaya zote Tanzania, na almost kila benki yao ina apartment mbili juu for manager and senior staff? Usiwe una kurupuka kujibu hoja ambazo hujaelewa mantiki, mwombe hata jirani yako akusaidie kukupa tafsiri ya the whole content and theme!
Wewe kweli SIFURI.
Inaelekea wewe ndio wale waliokuwa wanaiba mitihani shuleni!!!
Swali rahisi unashindwa kuelewa.
Swali liko hivi>>> Taja mkoa wowote wa Tanzania ambao kuna aina fulani ya apartments hazihitajiki. Hapa jibu linatakiwa kuwa jina la mkoa sio porojo porojo.
Wewe ndio umesema apartments zinahitajika lakini sio kila mkoa, sasa utaje mmoja wa mikoa ambapo apartments hazihitajiki.
Acha porojo. Unaulizwa utaje sehemu ambazo hazihitajiki, wewe unataja ambapo zinahitajika!!!
Thread hii imefanya ujishushie heshima mno na umekuwa ukichangia kama mtoto wa kijiweni. Taaluma sio kujua terminologies and classifications tu jamani!
Hakuna mkoa usiohitaji apartments
Asante mkuu, hapo ndio tatizo lilipo...Hapa umefanya assumption kwamba kila mtu anafanya kazi posta!!!
That is why you thread is VOID...
Ongezea kabisa NULL and VOID! Nashukuru kwa mjadala ambao hata hivyo hukujua naongelea nini uliingia kichwa kichwa ukifikiri tunaongelea siasa au mpira, Enjoy our Sunday Mr. "Nominal" Great Thinker!