YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

You still believe these are my thoughts! You may agree to disagree but that is the actual on the ground! Ni kwa huu unaouita ujinga ndio unanifanya nizidi kuongeza siku! Hata hivyo nashukuru kwa kunisaidie niendelee kutoa maelezo maana imenisaidia kuzidi kupata more deals through PM, wewe kalaghabhao!

Wanaokupa deals ni wanajiingiza kwenye mdomo wa mamba. Hakuna tapeli anayekosa wateja. Wewe ni tapeli. Huna taaluma ya real estate na ndio maana umeshindwa kujibu maswali rahisi.

Taja mkoa usiohitaji apartments.

Weka list ya vitabu aliyoomba Gaijin.
 
Hahahahahahahahhahahaha yaani thread umeaznisha mwenyewe halafu umeikimbia!!!

Taja mkoa usiohitaji apartments.

Nimekutega your level of understanding kwa kuuliza apartments for owner occupied? For Rentals? or For Sale? Hapa nilitaka nijue kama muda wote tuna-argue ulikuwa unaelewa unachokiandika au ni kubwabwaja tu! Matokeo yake unasema hakuna apartments za kuhifadhi Korosho, zote ni za kuhishi! Nikusaidie tu kwamba huwa kuna motives za investments, na smart investors wanafanya SWOT analysis! Leo hii unataka nikutajie ni mikoa gani hahitaji apartments! Mimi sifanyi kazi ya bure, kama unataka nikutajie ni mikoa gani njoo kibiashara tufanye kazi!
 
Wanaokupa deals ni wanajiingiza kwenye mdomo wa mamba. Hakuna tapeli anayekosa wateja. Wewe ni tapeli. Huna taaluma ya real estate na ndio maana umeshindwa kujibu maswali rahisi.

Taja mkoa usiohitaji apartments.

Weka list ya vitabu aliyoomba Gaijin.

Asante sana mkuu, as long as sijatiwa hatiani, na hao wa kutakiwa kunitia hatiani ndio wateja wangu wakubwa, just name me in whatever way!

Unatka nikupe desa la bure kwa kukutajia mikoa isiyohitaji apartments, then what?

Suala la list ya vitabu nimelitoleaa maelezo hapo juu labda kama you still jump the gun!
 
Leo hii unataka nikutajie ni mikoa gani hahitaji apartments! Mimi sifanyi kazi ya bure, kama unataka nikutajie ni mikoa gani njoo kibiashara tufanye kazi!

Unatka nikupe desa la bure kwa kukutajia mikoa isiyohitaji apartments, then what?

Suala la list ya vitabu nimelitoleaa maelezo hapo juu labda kama you still jump the gun!

Kumbe lengo lako ni kuandika thread ambayo itakufanya uweze kuwaibia watu kwa kuwadanganya kuwa una jibu la maswali yao.

We kweli mwenzawazimu!!!

Sisi wenzako hapa JF tuko kwa ajili ya kujadili na tukiona mawazo ya kipuuzi kama yako lazima tuyashughulikie. Mimi niliona malicious intention tangu mwanzo kwa sababu thread yako imekaa kimagumashi, kumbe kweli lengo lako kuwaibia watu!!!

Eti kuna mikoa haihitaji apartmets, lakini kuitaja hiyo mikoa mpaka upewe PESA!!!

Humpati mtu hapa MWIZI mkubwa weee...
 
Go to hell, umezidiwa unaanza kutokwa na nyongo!
 
Eti kuna mikoa haihitaji apartmets, lakini kuitaja hiyo mikoa mpaka upewe PESA!!!

Humpati mtu hapa MWIZI mkubwa weee...
Nina wasiwasi na capacity ya ubongo wako! Yaani suala la where to invest apartment or standalone unafikiri ni kutaja tu bila kufanya analysis ya kutosha! Wewe kweli Mbulula! Hata hivyo umeelimika vya kutosha na mimi sitachoka kukuelimisha ila kwa kazi ya kwenda field kupata data from the grassroot lazima unilipe, hata ukiniita tapeli, life goes on!
 
Wewe ni MWIZI.

Huna tofauti na wale waganga wa kienyeji wanaojifanya wameona mkosi mkubwa utatokea na ili wautaje huo mkosi inabidi kwanza wapewa PESA!!!

Kama una shida ya pesa we sema tu tutakuchangia, lakini usianze porojo porojo zisizo na mantiki. Hii ni JF ukileta porojo unachapwa viboko. Mwizi mkubwa wee...
 
Tuendelee na mjadala Mr. ZeMarcopolo, ua ndo unadhibitisha your level of Intelligence Quotient! Bado hujanijibu unaongelea apartments zipi?apartments for owner occupied? For Rentals? or For Sale?
 
Let me tell you one thing.

Wewe umejitambulisha kwamba real estate ndio field yako professionally. Unaposema kitu ni profession yako, inabidi uweze kuongea kwa authority with evidence. So far umeshindwa kufanya hivyo.

Thread hii imefanya ujishushie heshima mno na umekuwa ukichangia kama mtoto wa kijiweni. Taaluma sio kujua terminologies and classifications tu jamani!

Hilo swali unalouliza hapo nimeshakupa ufafanuzi earlier. Wewe taja mkoa mmoja tu ambao any of hizo types of apartments hazihitajiki.
 
Mbona nimekujibu kwa kukupa mfano wa TANESCO kujenga flat staff hata Namtumbo? Au na hii post hukuisoma! Ok, nitaendelea kukusaidia! Kujenga apartments wawezajenga kila mkoa, hadi mikoa mipya ya Njombe na Katavi! Lakini businesswise, itategemea una motive gani ya kujenga hizo apartmemnts, na hapa ndipo giza nene lilipotanda kichwani mwako! Mbona NMB Bank wako almost 90% ya wilaya zote Tanzania, na almost kila benki yao ina apartment mbili juu for manager and senior staff? Usiwe una kurupuka kujibu hoja ambazo hujaelewa mantiki, mwombe hata jirani yako akusaidie kukupa tafsiri ya the whole content and theme!
 
Wewe kweli SIFURI.

Inaelekea wewe ndio wale waliokuwa wanaiba mitihani shuleni!!!

Swali rahisi unashindwa kuelewa.

Swali liko hivi>>> Taja mkoa wowote wa Tanzania ambao kuna aina fulani ya apartments hazihitajiki. Hapa jibu linatakiwa kuwa jina la mkoa sio porojo porojo.

Wewe ndio umesema apartments zinahitajika lakini sio kila mkoa, sasa utaje mmoja wa mikoa ambapo apartments hazihitajiki.

Acha porojo. Unaulizwa utaje sehemu ambazo hazihitajiki, wewe unataja ambapo zinahitajika!!!
 
Hakuna mkoa usiohitaji apartments
 
Thread hii imefanya ujishushie heshima mno na umekuwa ukichangia kama mtoto wa kijiweni. Taaluma sio kujua terminologies and classifications tu jamani!

Nafikiri kama ni kujishushia heshima zaidi wewe, ndio unazidi kuiporomosha ya kwako kwa kufikiri hapa tunaongea siasa au ushabiki wa Manchester na Arsenal, na kwamba unaweza ukabishana tu na facts on the ground! Mimi na wewe nani anapotosha? Kama kuna terminologies au classifications si unaomba unapewa ufafanuzi ! You seem to be characterized by inferiority complex na ndio maana unashindwa kuomba ni wapi hukuelewa kutokana hizo terminologies au classifications unazosema!
 
That is why you thread is VOID...

Ongezea kabisa NULL and VOID! Nashukuru kwa mjadala ambao hata hivyo hukujua naongelea nini uliingia kichwa kichwa ukifikiri tunaongelea siasa au mpira, Enjoy our Sunday Mr. "Nominal" Great Thinker!
 
Kama umeanzisha mada ya field ambayo unajitambulisha kuwa umeisomea halafu mpaka mwisho kila mtu unasema hajakuelewa, inabidi ujiulize tena shule ulienda kufanya nini!!!
 
Nimeshangaa sana kuona bei ya Apartment Dar mjini inalingana na bei ya apartment ambayo mtu atachukua New York au London jijini kati kabisa, Sijui hii ni kwa sababu gani, wanajenga kwa gharama sana na tax kubwa au ni vile ni wao wenyewe wana tamaa na profit kubwa zaidi? hata chumba tu vijana wanashindwa kuchukua chumba cha kuishi wasome chuo since hostel unakuta zimejaa ati sababu vyumba tu vina bei sawa na bei iliyopo majiji expensive kabisa duniani, we utamchaji vipi mtu chumba kimoja laki 7-1.5 milioni kwa mwezi? hiyo ni Dar au??
 
Back
Top Bottom