YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Wewe kweli SIFURI.

Yaani umeenda kuchukua maneno na kuyapaste hapa.

Nchi yetu ina janga la wasomi feki kwa kweli.

Swali nililokuuliza ni Dar es Salaam City Center. Sasa angalia u SIFURI wako, hii copy paste yako inaelezea vipi bei ya Dar es Salaam? Umeshindwa hata kusoma article uliyoleta inayokwambia kwamba "demand and supply is a local issue" na kimsingi article yote uliyoileta inazungumzia demand and supply, sasa sijui factor gani mpya uliyoitaja kwa sababu swali ni kutaja hiyo MORE than demand and supply.

Umenifanya nimkumbuke marehemu Regia Mtema aliyesema elimu imeshuka na kwamba siku hizi mwanafunzi wa chuo kikuu uwezo wake ni kama mtoto wa form four!

Umesema kuna factor zaidi ya demand and supply lakini article uliyoleta inaelezea jinsi demand and supply zinavyoweza kubadilika!

Dogo, bado hujajibu swali. Jibu swali nikufafanulie u SIFURI uliopo kwenye mfano wako wa TANESCO.

Unachotaka ni kupata inputs au ligi baina yangu na wewe? Unasema nikuleta article niliyocopy,ok, maelezo yangu hayafai na maelezo ya wengine hayafai, why dont you describe your intensions? Hata hizi sentence chache zimeshindwa kukupa jibu...."You cannot fill a real estate supply shortage by manufacturing more identical units. Each piece is different and there is a finite supply. It's not a manufactured commodity.".........."Supply and demand in real estate isn't as easy to balance as it is in manufactured commodities (NA NDIO MAANA NIKAKWAMBIA IT IS MORE OF FORCES OF DEMAND AND SUPPLY). Making more takes time, and there may not be room to make that happen in any given area. You can't move it to where the buyers are.".............."In short, keep up with the big picture, but regionalize your primary focus. Supply and demand in real estate will always be a local issue."

Bado tu hujapata content ya more of DD na SS katika real estate, wewe unataka nikuletee huyo MORE, do you need a tangible MORE? Omba jirani akusaidie hicho nilichoPASTE ili uelewe kwamba we cant just conclude on DD and SS and jump to real estate investment! Kama bado hunielewi sina mbeleko ya kubeba nayo! Nitakuwa nimeshindwa, hata wakufunzi huwa wana-admit wakikutana na vichwa maji! Nieleze kuhusu TANESCO
 
Kama hilo swala umeshindwa kujibu usijisikie mnyonge.

Niko tayari kukupa upeo zaidi. Lengo langu ni kukufanya uwe tayari kujifunza na next time ukija hapa usije kama unataka kulecture watu, kuwa tayari kutoa na kupokea taarifa. Usitake kulipwa pesa kwa sababu huna thamani hiyo.

Sasa nipe go ahead nikufafanulie u SIFURI uliokuwa kwenye mfano wako wa TANESCO iwapo umeshindwa kutoa jibu la demand and supply.

Asante sana Zemarcopolo, tell me about TANESCO na usifuri wako, sorry usifuri wangu!
 
Wewe ndio unajifanya kukandia Ulaya na Marekani halafu unaenda kuokoteza majibu kwenye pages za watu wa Ulaya na Marekani.

Fungua kitabu chako cha Ardhi University upate majibu, si umesema vipo endless?

Au website ya wachina, si umesema wachina siku hizi ndio kila kitu.

Mwizi we...

Ahaaaa haaaa! Burudani tosha unanipa leo! Lete vitu, lete vitu ZeMarcopolo, bia yangu inashuka kiulaini kabisa
 
Unachotaka ni kupata inputs au ligi baina yangu na wewe? Unasema nikuleta article niliyocopy,ok, maelezo yangu hayafai na maelezo ya wengine hayafai, why dont you describe your intensions? Hata hizi sentence chache zimeshindwa kukupa jibu...."You cannot fill a real estate supply shortage by manufacturing more identical units. Each piece is different and there is a finite supply. It's not a manufactured commodity.".........."Supply and demand in real estate isn't as easy to balance as it is in manufactured commodities (NA NDIO MAANA NIKAKWAMBIA IT IS MORE OF FORCES OF DEMAND AND SUPPLY). Making more takes time, and there may not be room to make that happen in any given area. You can't move it to where the buyers are.".............."In short, keep up with the big picture, but regionalize your primary focus. Supply and demand in real estate will always be a local issue."

Bado tu hujapata content ya more of DD na SS katika real estate, wewe unataka nikuletee huyo MORE, do you need a tangible MORE? Omba jirani akusaidie hicho nilichoPASTE ili uelewe kwamba we cant just conclude on DD and SS and jump to real estate investment! Kama bado hunielewi sina mbeleko ya kubeba nayo! Nitakuwa nimeshindwa, hata wakufunzi huwa wana-admit wakikutana na vichwa maji! Nieleze kuhusu TANESCO

Unashindwa kuelewa kwa sababu sio maneno yako. Umecopy na kupaste.

Mwanzoni nilikuwa nashangaa kwanini unaandika vitu halafu unashindwa kuvielewa wewe mwenyewe, kumbe unachofanya ni kucopy na kupaste.

Demand and Supply zina different characteristics in different products. Article hiyo inazungumzia special characteristics of demand and supply in real estate business. Haizungumzii kwamba kuna factor nyingine other than demand and supply inayodecide price.

Katika free market ambapo serikali au authorities hazingilii bei za products, forces za demand and supply ndio zinaamua bei. Hivyo hivyo kwa real estates.

Hata hivyo swali uliloulizwa lilikuwa specific for Dar es Salaam. Umeshindwa kulijibu, lakini hakuna shaka. SIo kosa lako, uwezo wako ndipo ulipoishia.

My next post will explain your TANESCO example.
 
Sasa nimeanza kuelewa kwamba ninargue na MBULULA, professional article unaisoma kama tabloid article?
 
Kwenye post yako ya TANESCO umeandika hivi

Unaona unavyojichangaya? You keep on proving your immaturity on understanding the subject matter! Kwani leo hii TANESCo wakisema wajenge apartments Namtumbo kwa ajili ya staff wake kuna tatizo? Je, hii ndio ilikuwa hoja yangu? Hoja umeamua kuiweka ki-league zaidi ndio maana you run put of the line, poor DUDE!

Hapo unasema kwamba iwapo TANESCO wataamua kujenga apartments Namtumbo hiyo siyo hoja yako ya kwamba apartments hazihitajiki Namtumbo. Kwambo hoja wako wewe ni investor kama NSSF asiende kujenga apartments Namtumbo kwa sababu hazihitajiki.

Nikurudishe kwenye somo la demand and supply.

Unaposema TANESCO wanaamua kujengo apartments namtumbo unamaanisha kwamba at that particular time tayari namtumbo kunakuwa na demand ya Apartments. Kwahiyo hapo kuna aina tatu za supply:
1. Tanesco wanaweza kuamua kujenga wenyewe kama ulivyosuggest.
2. Smart investor anaweza kulearn about the demand na kwenda kujenga apartments Namtumbo na kuwauzia Tanesco.
3. Smart investor anaweza kulear about the demand na kwenda kujenga apartments Namtumbo na kuwapangisha Tanesco.

Kwahiyo the fact kwamba Tanesco wanaweza kuhitaji apartments Namtumbo inakuwa ni investment opportunity kwa real estate investor.

Unaposema kwamba hiyo sio hoja yako unakuwa kama mtu anayetaka kuvaa soksi juu ya viatu kwa sababu Tanesco hawakatazwi kujengewa nyumba na investor.

Kwenye ile article uliyofanya plagiarism wamekushauri hivi "Supply and demand in real estate isn't as easy to balance as it is in manufactured commodities. Making more takes time, and there may not be room to make that happen in any given area. You can't move it to where the buyers are.
As a real estate agent or broker, pay careful attention to the factors that influence your local market. If you're in a market that has industry and a great many relocations for jobs, watch your local businesses and industries carefully for up or down sizing. If your market is resort, vacation or second homes, factors that can have great impact can include the local weather trends, aging of the population, general stock market and investment health, etc. Things that impact discretionary income have more of an influence on this type of market."

Hapo wanakwambia ufuatilie na kujua je Tanesco au shirika lingine wana mahitaji ya apartments Namtumbo?

Kuna sehemu umetofautisha nyumba zilizojengwa kwa ajili ya kuuzwa, rental na kwa ajili ya self use! This is ridiculous.

Real estate investor anachotakiwa kufuatilia ni trends zitakazomuonyesha je, sehemu fulani kuna watu wanaotaka property/apartments? Whether they want for rental, sale or matumizi yao wenyewe is none of your business. Demand mwenzie supply na usifikirie kikomunist kwamba lazima umuuzie end user. Fill the demand with supply, ndio kazi ya investor. Sio kudictate kwamba kuna mikoa haihitaji apartments.

Hayo mambo ya kudictate yalikuwa yanafanyika enzi za ujamaa za kuwahamisha watu ili wakae karibu karibu au kwaamuru kuwa lazima walime pamba na waiuze duka la ushirika. Wewe kama kijana unapaswa kuachana na mawazo ya namna hiyo kwa sababu yameshaprove failure.
 
Hii unaongelea exception ya Joint Venture Agreement maana in real sense Smart investor hawezi kujenga Namtumbo apartments bila ya pre-costruction agreement! What if anamaliza kujenga TANESCO nao wanajenga za kwao? Si itakula kwake? Sikuongelea aina hii ya uwekezaji katika thread yangu, pole sana
 
Jifunze kusoma na kuelewa. Unapoambiwa u fill demand sio maana yake ukimbie tu kujenga apartments.

Tanzania haiendelei kwa sababu watu wengi are not good at what they do. Huwezi kuwa kila siku uko kwenye industry halafu capacity yako ndio kama hii ya kuplagiarise hata characteristics of demand and supply.

Maendeleo hayaji kwa miujiza, watanzania tufanyeni bidii. Maisha ya magumashi ni mbio za sakafini...
 
Kumbe nafundisha mlevi. Ndio maana huelewi.

Kumbe unafundisha mimi nilifikiri unaendelea kuomba ufafanuzi wa thread yangu, imekuwa kunifundisha kumbe?

Hivi unywaji na ulevi ni sawa? which is the subset of the other?
 
Jifunze kusoma na kuelewa. Unapoambiwa u fill demand sio maana yake ukimbie tu kujenga apartments.

Tanzania haiendelei kwa sababu watu wengi are not good at what they do. Huwezi kuwa kila siku uko kwenye industry halafu capacity yako ndio kama hii ya kuplagiarise hata characteristics of demand and supply.

Maendeleo hayaji kwa miujiza, watanzania tufanyeni bidii. Maisha ya magumashi ni mbio za sakafini...

Of which you are part ya huo mfumo! Tuendelee na TANESCO!
 
Kuna majuwaa matatu tu yanayowafaa walevi. Jukwaa la MMU, jokes na chit chat.

mbona unakimbia swali, au unafikiri kila mzungu Padri, nipe tofauti ya unywaji na ulevi!, simple na which is the subset of the other?
 
Go ahead of dreaming is you think dreaming is always to success! Some may dream to be gays, take care!

JF is a home of great thinkers, if you dont belong here, keep on meandering like a river on a flood plain!

You keep on proving your immaturity by not getting the content but rather dwelling to minor issues like spelling mistake

"Go ahead of dreaming is you think dreaming is always to success!" ?

Madudu gani unaandika hayo?

Kama lugha za watu kituo cha polisi, Kiswahili hujakatazwa.

Hapo utasingizia spelling mistake napo?
 
Habari ya Weekend Kiranga!
Na wewe umakariri Ile structure na grammar ya sekondari kwamba hakuna waters wala peoples au ile hesabu ya 1+1=2 not otherwise!
 
Back
Top Bottom