ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
- Thread starter
-
- #281
Wewe kweli SIFURI.
Yaani umeenda kuchukua maneno na kuyapaste hapa.
Nchi yetu ina janga la wasomi feki kwa kweli.
Swali nililokuuliza ni Dar es Salaam City Center. Sasa angalia u SIFURI wako, hii copy paste yako inaelezea vipi bei ya Dar es Salaam? Umeshindwa hata kusoma article uliyoleta inayokwambia kwamba "demand and supply is a local issue" na kimsingi article yote uliyoileta inazungumzia demand and supply, sasa sijui factor gani mpya uliyoitaja kwa sababu swali ni kutaja hiyo MORE than demand and supply.
Umenifanya nimkumbuke marehemu Regia Mtema aliyesema elimu imeshuka na kwamba siku hizi mwanafunzi wa chuo kikuu uwezo wake ni kama mtoto wa form four!
Umesema kuna factor zaidi ya demand and supply lakini article uliyoleta inaelezea jinsi demand and supply zinavyoweza kubadilika!
Dogo, bado hujajibu swali. Jibu swali nikufafanulie u SIFURI uliopo kwenye mfano wako wa TANESCO.
Unachotaka ni kupata inputs au ligi baina yangu na wewe? Unasema nikuleta article niliyocopy,ok, maelezo yangu hayafai na maelezo ya wengine hayafai, why dont you describe your intensions? Hata hizi sentence chache zimeshindwa kukupa jibu...."You cannot fill a real estate supply shortage by manufacturing more identical units. Each piece is different and there is a finite supply. It's not a manufactured commodity.".........."Supply and demand in real estate isn't as easy to balance as it is in manufactured commodities (NA NDIO MAANA NIKAKWAMBIA IT IS MORE OF FORCES OF DEMAND AND SUPPLY). Making more takes time, and there may not be room to make that happen in any given area. You can't move it to where the buyers are.".............."In short, keep up with the big picture, but regionalize your primary focus. Supply and demand in real estate will always be a local issue."
Bado tu hujapata content ya more of DD na SS katika real estate, wewe unataka nikuletee huyo MORE, do you need a tangible MORE? Omba jirani akusaidie hicho nilichoPASTE ili uelewe kwamba we cant just conclude on DD and SS and jump to real estate investment! Kama bado hunielewi sina mbeleko ya kubeba nayo! Nitakuwa nimeshindwa, hata wakufunzi huwa wana-admit wakikutana na vichwa maji! Nieleze kuhusu TANESCO