Mimi nafikiri tujifunze kuwa hapa tunaeleweshana na inakuwa vizuri watu wenye elimu, wanapobishana kwa hoja.
Mimi nimejifunza mengi kwenye hii thread kwa sababu nilikuwa mbioni kukopa apartment, lakini watu tunachokosea na wa TZ au mimi nilichokikosa ni elimu ya watu wengi kama hapa,mtu ukiamka asubuhi unafikiri ili mradi mtu anaweza kukukopa US$ 200,000 basi uzitumbukize kwenye apartment-hamna sehemu yenye forum ambapo mtu unaweza kusikiliza na kuuliza na kupata opinion za watu wengi kama hapa.Nawashukuru wote waliochangia.
BTHW jamani TZ mambo mengine hayaendi kama dunia nyingine,hivi unaweza kuamini mtu-watu wenye haya magorofa yenye apartments DSM wanaziuza kabla hayajaisha?na jengo ukiona limeisha jua limeishauzwa lote?lakini cha kuchekesha sijajua inakuwaje watu wanakwepa kodi kiasi hiki,naelewa kila mtu anapenda kukwepa kodi, lakini alipe kidogo,just imagine wengi wa wa hawa wote wanataka hizo thousands of US$ uwalipe cash?ni kweli TRA,police,wizara zote hazina nguvu ya kuona hiki kitu kilicho wazi?
Wacha wengine tujiishie tulikozoea.:tape: