YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Mbona uko desperate sana.

Hakuna kichaa anayekosa wafuasi. We si uliona watu walivyojazana Loliondo? Does that make kikombe cha babu genuine? Usiwe mjinga dogo, mtu kukuunga mkono wewe haifanyi hoja yako iwe na mashiko, hoja yako inakuwa na mashiko kama hoja hiyo imetetewa kwa evidence.

Unataka details gani wakati basics hujui? That is your problem unakimbilia details wakati hujaelewa basics matokeo yake unakuja kuandika vituko hapa JF.

Basics ipi? ya link ulizo-google na kuishia kutoa mifano ya kuuza sidara na bia wakati tunaongelea Real Estate? Basics ipi? Toa mifano basing on our topic!
 
Basics ipi? ya link ulizo-google na kuishia kutoa mifano ya kuuza sidara na bia wakati tunaongelea Real Estate? Basics ipi? Toa mifano basing on our topic!

Very short memory,

Mara hii umeshasahau kuwa nilikuandikia somo ambalo umeshindwa kulielewa. Jambo ambalo lilinilazimu kukutafutia other source.

Very short memory, you have...
 
Nimekusoma! Kwanza inabidi uelewe kwa nini apartments?

Vertical development imetoka na uhaba wa ardhi hasa kwa mijini kushindwa ku-accommodate the growing population, then kupata highest and best use ya land, wataalamu wa mipango miji waka-adopt vertical development! In this case unakuwa na units nyingi, and so familia nyingi zaidi kutegemea how much you want to go vertically katika ardhi ambayo mtu angejenga nyumba ya familia moja au mbili!

Huo ndio msingi wa kuwa na apartments na wa si suala la nchi gani eti watu wanapenda apartments zaidi ya standalone units! Ndio maana nikasema je, ni mikoa yote tunahiyaji hizo apartment na kibiashara zinalipa?

Ni kwasababu hiyo ya apartments kuendelea kuwa nyingi zaidi na kuwa rahisi kuishi ulinganisha na standalone kwa Europe na USA kwa mfano, unakuta zinakuwa na classes tofauti, some are normal apartments and some are executive apartments! Some have a gated community with a lock-up and go environment, and some have all the facilities under one roof, and that people can develop socialization!

Acha maneno mengi yasiyojibu swali uliloulizwa:
Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.

Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.
 
Tatizo lako lingine ni SHORT MEMORY.

Post yangu ya kwanza kabisa kuandika katika hii thread iko ukurasa wa kwanza, fungua usome nimeandika hivi:

Unaona jinsi ulivyo na kumbukumbu fupi. Sasa nionyeshe ni wapi nimesema apartments zikijengwa popote pale zinalipa.

Ndio ueleze ni wapi zinalipa na wapi hazilipi?
 
Mwandishi wa article yuko out of touch na reality.

Huwezi kusema mikoani ardhi iko plenty!!! This is ridiculous...

Nyumba ni tofauti na kilimo, huwezi kujenga sehemu nyumba kwa sababu tu kuna ardhi. Thamani ya nyumba ina uhusiano wa moja kwa moja na mahali nyumba hiyo ilipo.

Mtu akiwa na kiwanja cha sq. m 1200 downtown na heka 30 kijijini ni faida zaidi kwa mfanyabiashara huyo kujenga appartments downtown kulilo kwenda kujenga nyumba kwenye eneo kubwa la kijijini.

Kusema kuwa maeneo kama Morogoro watu hawahitaji apartments pia sio ukweli. Kuna familia zinaishi miaka mingi kwenye maghorofa ya msajili wa majumba Morogoro, je famili hizi zisingependa apartments hizo ziwe mali yao?

Speaking of Kibaha, Kuna appartments ambazo sasa hivi zimeuzwa na NHC. Walionunua wako happy tu kuwa now they own the place they live.

Let the forces of demand and supply play their part...

Mimi naongelea investment ya apartments wewe unaongelea watu kuuziwa majengo ya msajili!

Nieleze for a fresh investment na utupe hiyo marketing strategy yako ya kuuza hizo apartments
 
Mimi naongelea investment ya apartments wewe unaongelea watu kuuziwa majengo ya msajili!

Nieleze for a fresh investment na utupe hiyo marketing strategy yako ya kuuza hizo apartments

Sasa dogo,

Kama ya msajiri yamepata wateja kwanini useme apartments hazihitajiki? Mtu smart angesema kukubaliwa kwa majengo ya msajiri ni ishara kwamba apartments zinaweza kuapa wateja.

By the way hiyo post niliiandika tangu ukurasa wa kwanza. Usirudishe mjadala nyuma unnecesarily, nimeiletea kukumbusha tu tulipotoka maana ulionyesha kusahau kabisa.
 
Acha maneno mengi yasiyojibu swali uliloulizwa:
Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.

Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.

Nimekupa jibu kwa mapana zaidi ili nikusaidie! Na nimekupa vigezo vya kwa nini watu si tu wapende au wasipende apartments!

Haps sio suala la nchi, ni miji yoyote ambapo crime rates zinakuwa juu, na hivyo kwa purpose ya security watu wana-prefer kuisi kwenye gated community ambapo mtu akifunga unit yake anaweza hata akasafiri, a lock up and go environment
 
Sasa dogo,

Kama ya msajiri yamepata wateja kwanini useme apartments hazihitajiki? Mtu smart angesema kukubaliwa kwa majengo ya msajiri ni ishara kwamba apartments zinaweza kuapa wateja.

By the way hiyo post niliiandika tangu ukurasa wa kwanza. Usirudishe mjadala nyuma unnecesarily, nimeiletea kukumbusha tu tulipotoka maana ulionyesha kusahau kabisa.

umeongelea wateja wapi, si long term tenants ambao wangependa kuuziwa? Kwa hiyo ukijenga mpya utawapata tena hao long term tenants? na unafikiri wakiuziwa katika market price hata hao watanunua? unajua kilio chao vchae bei ambazo huwa wanataka?
 
Nimekupa jibu kwa mapana zaidi ili nikusaidie! Na nimekupa vigezo vya kwa nini watu si tu wapende au wasipende apartments!

Haps sio suala la nchi, ni miji yoyote ambapo crime rates zinakuwa juu, na hivyo kwa purpose ya security watu wana-prefer kuisi kwenye gated community ambapo mtu akifunga unit yake anaweza hata akasafiri, a lock up and go environment

Hold on a second, gated community na apartment ni vitu viwili tofauti. Usichanganye mambo dogo. Ndio maana nimekuuliza umeshawahi kuishi wapi na wapi duniani? Usisome tu maneno na kujenga picha za kimanzese manzese.

Ebu tuwekane sawa kwanza, unaelewa maana ya gated community?
 
Ukirudi andaa majibu ya maswali haya:

Je, gated community ni nini?

Halafu swali la awali liko pale pale,
Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.

Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.
 
Kwa kutumia premise ya mada,nakubaliana na mwanzisha mada kuwa Si kila mkoa unahitaji apartments kwa wingi, ingawa kuna soko LA apartments kwa kila mkoa kutokana na segment ya soko inayokuwa imelengwa.kwa maoni YANGU Si kuwa apartments hazina mvuto lakini zimelenga wahusika ambao hawazihitaji.unapojenga apartment ya kuikodisha kwa $1000 unaondoa Tabaka loote LA wafanyakazi Wa Tanzania. Unabakiza upper class.kitu kinachosababisha zikose masoko ya uhakika.kwa uchumi wetu mdogo ni vigumu kukuta MTU Mwenye disposable income ya $1000 katavi.
Kwa Dar es salaam,ninaweza sema imekuwa hit ans miss.NHC na private developers wetu hawana weledi Wa soko la Nyumba.wanalazimisha vitu kwa kukisia au kuota.kwa uhalisia ni apartment chache Dar zenye thamani ya $2000 kwa Mwezi,lakini hii ndio baseline price ya maeneo Kama Upanga,Mikocheni na masaki.

Ndio maana hizi apartments wanaishia kukaa expatriates ,Indians included.

Mtanzania Mwenye disposable income ya $2000 most likely yuko above 40,Ana familia na hawezi kukubali kukaa Gorofani Upanga.huyu ni MTU anayeweza kukaa kwenye stand alone house.

Soko LA apartments duniani kwa mijini linawalenga recent graduates na watu wenye filia ndogo.kwa nchi zenye matatizo ya Ardhi zinawalenga wenye kipato kidogo.
Matajiri wengi wanakuwa na town houses na family houses.

Ushauri kwa NHC watazame no watu wangapi chini ya miaka 35 wanapanga,kipato Chao na mahitaji YAO yakoje.then wajenge Nyumba/apartments kuwalenga hawa.siwashauri wajenge stand alone units kwani wengi wenye uwezo Wa kununua wanapenda kujenga wenyewe.hakuna anayetaka kukaa "kota".
 
Kwa kuongezea.
Soko kubwa LA watu wanaohitaji Nyumba za kupanga/apartments ni watu wenye kipato cha Kati.most ni university graduates na mid level employees.wengi Wa hawa watu income bracket YAO ni chini ya 2M net.taking 25% estimate for housing Tunaona kuwa asilimia kubwa wako radhi kutumia 500,000 kwenye Nyumba. Kwa mantiki hii NHC walitakiwa kujenga apartments za bei hiyo kushuka chini.kulazimisha watu wakae Nyumba za $2000 ni ulimbukeni kwa kuwa eti ulaya zipo.someone should tell them that our GDP is $20B while Europe is over $10Tr.that's enough explanation.
 
Hold on a second, gated community na apartment ni vitu viwili tofauti. Usichanganye mambo dogo. Ndio maana nimekuuliza umeshawahi kuishi wapi na wapi duniani? Usisome tu maneno na kujenga picha za kimanzese manzese.

Ebu tuwekane sawa kwanza, unaelewa maana ya gated community?

Pole sana! Nikuulize wewe maana ya Gated community?

Nimekueleza hapo juu tofauti ya apartments kwamba zina level tofauti tofauti, sasa unasema gated community na apartments ni tofauti! Kwani gated community ni nini na apartments ni nini? How is the word "gated" derived? By the way, Doesn't people live in apartments form a community?

Mipe definition ya gated community unavyoifahamu wewe na exposure yako
 
Back
Top Bottom