YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Tatizo mwenzako ana google sidhani kama ana background ya marketing ndio maana hata hakuelewi unavyomwambia kitabu yeye anasema articles. Sijui ni article gani zinazo onglea principles of marketing in details hili aelewe hoja yako, hata unapomfahamisha wewe unaongelea soko lingine yeye kakazana tu na sigara na pombe not knowing different product requires different strategies.

The only way wataweza fanikiwa na mijengo yao ya apartments nje ya dar ni kwa sababu there are few players in the market and limited options to the buyers. Lakini ideally if there was a competition in the market you are argument makes more sense.

Mr. Multi-Talented, ZeMarcopolo, naomba umjibu member huyu!
 
ZeMarcopoloameshindwa kutofautisha jukwaa la siasa na hili ambalo tunaongelea vitu professional oriented! Amekazania Marketing ya sigara na bia anasahau Real Estate ina unique features! Chakushangaza eti ananipa shule? Shule ya kuuza sigara na bia?

Wewe kweli SIFURI, umesoma vizuri Cartman alichoandika.

Kimsingi Cartman anapinga hoja yako kuwa apartments hazihitajiki mikoani. Ila kwa vile upeo wako wa kuelewa ni mdogo unadhani amekuunga mkono. Soma tena alichoandika halafu soma kile ulichoandika wewe halafu fanya comparison. Hahahahahahahahaha we kweli bweeege...

Jifunze kusoma na kudigest kile unachosoma...
 
Mbona sometime una-argue kitoto sana? Kwa hiyo kujua Land Tenure systems za nchi tofauti ni lazima uwe umeishi katika nchi hizo, ikiwa wewe sheria za nchi yako tu huzijui? Kwa hiyo the moment you land in any foreign country, unajua kila kitu cha nchi hiyo? Exposure haimanishio hivyo Mkubwa! Wake up! Ndio maana naona swali lako halina mashiko!

Jibu swali acha porojo dogo,

Umewahi kutoka nje ya Tanzania for at least 6 months. Mbona swali liko straight forward kabisa?

Kwa sababu thinking yako wewe ni kwamba ili nyumba iuzwe ni lazima iwe imejengwa. Ndio maana nakuuliza haya maswali ili niweze kujua exposure yako ni ya wapi na wapi.

Sasa jibu swali tuendelee na mjadala.
 
Wewe kweli SIFURI, umesoma vizuri Cartman alichoandika.

Kimsingi Cartman anapinga hoja yako kuwa apartments hazihitajiki mikoani. Ila kwa vile upeo wako wa kuelewa ni mdogo unadhani amekuunga mkono. Soma tena alichoandika halafu soma kile ulichoandika wewe halafu fanya comparison. Hahahahahahahahaha we kweli bweeege...

Jifunze kusoma na kudigest kile unachosoma...

Kaaaaaaazi kweli kweli!!! Kinachokuwasha ni mtu kuiunga mkono hoja yangu? Poor ZeMarcopolo!!!!! mjibu basi ni articles zipi zinaongelea marketing principles in details zaidi ya books?
 
Unaelewa unachokiandika? Yaani wanakaa kwenye apartments at the same time wana nyumba zao? Mbona hueleweki hapa? Kwanza nyumba ni nini na apartment ni nini? Swali lako halieleweki, omba mtu akusaidie kuuliza then lirudishe nikupe jibu lako!

Nimetoa maelezo hapo juu, swali lako halieleweki, soma kwanza mwenyewe kama liko sawa, then ulirudishe nikujibu

Yaani unashangaza sana.

Maswali rahisi kuelewa unashindwa!!!

Ngoja nikurahisishie ili ubongo wako mdogo uweze kuelewa.

Je ni nchi gani duniani ambayo watu wake iwapo watapewa option ya kukaa kwenye apartments au kwenye their own family houses watachagua kukaa kwenye apartments?

Au kwa lugha nyepesi zaidi je ni nchi gani duniani ambayo raia wake wanapendelea zaidi apartments kuliko detarched houses?

Usijifanye hujaelewa swali, hapo hata mtoto wa darasa la pili anayejua kusoma anaelewa kilichoandikwa kwahiyo jibu na kama umeshindwa kujibu sema usaidiwe.
 
Tatizo lako lingine ni kushindwa kusoma na kuelewa.

Kuna mtu yeyote kwenye thread hii aliyesema apartments Tanzania zikijengwa popote pale zinalipa?

Umeanza kurudi taratibu sio? utueleze kwa mifano kwamba wapi zikijengwa zinalipa na wapi hazilipi maana unaanza kukubali kwamba si pote zinalipa? SASA UNABISHA nini? Kwani mie nilisema hazilipi popote pale Tanzania, a confusion between YOU and YOURSELF!!!!
 
Kaaaaaaazi kweli kweli!!! Kinachokuwasha ni mtu kuiunga mkono hoja yangu? Poor ZeMarcopolo!!!!! mjibu basi ni articles zipi zinaongelea marketing principles in details zaidi ya books?

Mbona uko desperate sana.

Hakuna kichaa anayekosa wafuasi. We si uliona watu walivyojazana Loliondo? Does that make kikombe cha babu genuine? Usiwe mjinga dogo, mtu kukuunga mkono wewe haifanyi hoja yako iwe na mashiko, hoja yako inakuwa na mashiko kama hoja hiyo imetetewa kwa evidence.

Unataka details gani wakati basics hujui? That is your problem unakimbilia details wakati hujaelewa basics matokeo yake unakuja kuandika vituko hapa JF.
 
Ukasema marketing sio kazi yake kujua kama apartments zinahitajika. Ukapewa somo la kazi ya marketing.
Somo umeshindwa kuelewa. Sasa sijui unataka nini zaidi ya hapo?

Wewe ni kigezo tosha kuwa elimu yetu imeshuka sana kwa kweli!!!

Marketing kweli sio kazi yangu ila PROPERTY MARKETING naielewa!!! Mimi siwezi kukataa kujifunza, tatizo ni pale unaponifundisha marketing ya bia na sigara, halafu unasema ninashindwa kuelewa!

Ulisema utanifundisha specific marketing ya Real Estate, lakini umeingia mitini,, au wa kukupa DESA kasepa!
 
Umeanza kurudi taratibu sio? utueleze kwa mifano kwamba wapi zikijengwa zinalipa na wapi hazilipi maana unaanza kukubali kwamba si pote zinalipa? SASA UNABISHA nini? Kwani mie nilisema hazilipi popote pale Tanzania, a confusion between YOU and YOURSELF!!!!

Tatizo lako lingine ni SHORT MEMORY.

Post yangu ya kwanza kabisa kuandika katika hii thread iko ukurasa wa kwanza, fungua usome nimeandika hivi:

Mwandishi wa article yuko out of touch na reality.

Huwezi kusema mikoani ardhi iko plenty!!! This is ridiculous...

Nyumba ni tofauti na kilimo, huwezi kujenga sehemu nyumba kwa sababu tu kuna ardhi. Thamani ya nyumba ina uhusiano wa moja kwa moja na mahali nyumba hiyo ilipo.

Mtu akiwa na kiwanja cha sq. m 1200 downtown na heka 30 kijijini ni faida zaidi kwa mfanyabiashara huyo kujenga appartments downtown kulilo kwenda kujenga nyumba kwenye eneo kubwa la kijijini.

Kusema kuwa maeneo kama Morogoro watu hawahitaji apartments pia sio ukweli. Kuna familia zinaishi miaka mingi kwenye maghorofa ya msajili wa majumba Morogoro, je famili hizi zisingependa apartments hizo ziwe mali yao?

Speaking of Kibaha, Kuna appartments ambazo sasa hivi zimeuzwa na NHC. Walionunua wako happy tu kuwa now they own the place they live.

Let the forces of demand and supply play their part...

Unaona jinsi ulivyo na kumbukumbu fupi. Sasa nionyeshe ni wapi nimesema apartments zikijengwa popote pale zinalipa.
 
Marketing kweli sio kazi yangu ila PROPERTY MARKETING naielewa!!! Mimi siwezi kukataa kujifunza, tatizo ni pale unaponifundisha marketing ya bia na sigara, halafu unasema ninashindwa kuelewa!

Ulisema utanifundisha specific marketing ya Real Estate, lakini umeingia mitini,, au wa kukupa DESA kasepa!

Nimekuuliza kama umeelewa basics za sales and marketing ili niendelee kukufundisha real estate sales and marketing. Umeshindwa kujibu kama umeelewa basics, sioni manufaa ya kukufundisha details kama basics umeshindwa kuelewa.
 
Jibu swali acha porojo dogo,

Umewahi kutoka nje ya Tanzania for at least 6 months. Mbona swali liko straight forward kabisa?

Nje nimekaa zaidi ya hiyo miezi sita na kila mwaka naenda si chini ya mara mbili kwa ajili ya international professional conferences, Seminars/Workshops! Sema tena!
 
Nje nimekaa zaidi ya hiyo miezi sita na kila mwaka naenda si chini ya mara mbili kwa ajili ya international professional conferences, Seminars/Workshops! Sema tena!

Excellent.

Je, ni nchi gani na mji gani uliyokaa zaidi ya miezi sita?
 
Kwa sababu thinking yako wewe ni kwamba ili nyumba iuzwe ni lazima iwe imejengwa.

Haya nimeyaeleza wapi kama si maono yako? Kwa taarifa yako nimefanya sana hizo pre-sales home, people buying homes from the drawing board! Au una hoja gani hapa?
 
Haya nimeyaeleza wapi kama si maono yako? Kwa taarifa yako nimefanya sana hizo pre-sales home, people buying homes from the drawing board! Au una hoja gani hapa?

Sasa kama hilo unalijua kwanini unauliza maswali y kitoto?

Kuna maswali unaliza hapa ya kitoto mno kiasi kwamba unaleta picha kwamba exposure yako ni sifuri kabisa.

Kwa mfano ulipokuwa unauliza mtu wa marketing atafanyaje kazi kabla nyumba haijajengwa. Yaani maswali yako yanatia aibu kwakweli.
 
Ndio maana nakuuliza haya maswali ili niweze kujua exposure yako ni ya wapi na wapi.

Sasa jibu swali tuendelee na mjadala.

Bado nakuona too childish! Kukaa nje ya nchi na hoja ya apartments zinalipa au hazilipi katika mazingira ya Tanzania! vina uhusiano gani? Mbona unakimbia hoja, acha porojo za vijiweni!

Hoja yangu imejikita Tanzania, kwa hapa tu huja-eplore vya kutosha untaka tu-cross boarder!!! Huu ugonjwa wa nche ya nchi kwako utaisha lini, mbona watu tulisha-graduate from this mental disease?
 
Nje nimekaa zaidi ya hiyo miezi sita na kila mwaka naenda si chini ya mara mbili kwa ajili ya international professional conferences, Seminars/Workshops! Sema tena!

Excellent.

Je, ni nchi gani na mji gani uliyokaa zaidi ya miezi sita?

Bado nakuona too childish! Kukaa nje ya nchi na hoja ya apartments zinalipa au hazilipi katika mazingira ya Tanzania! vina uhusiano gani? Mbona unakimbia hoja, acha porojo za vijiweni!

Hoja yangu imejikita Tanzania, kwa hapa tu huja-eplore vya kutosha untaka tu-cross boarder!!! Huu ugonjwa wa nche ya nchi kwako utaisha lini, mbona watu tulisha-graduate from this mental disease?

Hahahahahahahahahahahahahahahha...

Hahahahahahahahahahahahahahaha...

Dogo umefulfill vigezo vyote vya kuitwa TAPELI.

Yaani nje umekaa sana, lakini the moment unaulizwa jina la nchi uliyokaa tayari swali linakuwa la moto. Hahahahahahahahahahahaa...

Kijana wewe ni MWIZI...
 
Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.

Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.
 
Hoja yangu imejikita Tanzania, kwa hapa tu huja-eplore vya kutosha untaka tu-cross boarder!!! Huu ugonjwa wa nche ya nchi kwako utaisha lini, mbona watu tulisha-graduate from this mental disease?

Ndio maana nilikwambia una KIFAFA cha hoja.

Ebu jisome hapa chini ulichoandika, halafu fananisha na ulichoandika hapo juu.

Dogo, una memory fupi mno...

Hivi dunia ya leo utaongelea Real Estate Investment tena kwenye apartments bila kuongelea Dubai? Wewe si uko exposed, vipi tena? Hujui hao wazungu unaowakubali sana wanakwenda Dubai na Hong Kong kushangaa ultra-modern buildings???

Kuna uwezekano hapa napoteza muda tu, HUJITAMBUI.

Ili uwe uwe umequalify kuendelea kufundishwa na mimi inabidi ujibu hili swali:

Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.

Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.
 
Yaani unashangaza sana.

Maswali rahisi kuelewa unashindwa!!!

Ngoja nikurahisishie ili ubongo wako mdogo uweze kuelewa.

Je ni nchi gani duniani ambayo watu wake iwapo watapewa option ya kukaa kwenye apartments au kwenye their own family houses watachagua kukaa kwenye apartments?

Au kwa lugha nyepesi zaidi je ni nchi gani duniani ambayo raia wake wanapendelea zaidi apartments kuliko detarched houses?

Usijifanye hujaelewa swali, hapo hata mtoto wa darasa la pili anayejua kusoma anaelewa kilichoandikwa kwahiyo jibu na kama umeshindwa kujibu sema usaidiwe.

Nimekusoma! Kwanza inabidi uelewe kwa nini apartments?

Vertical development imetoka na uhaba wa ardhi hasa kwa mijini kushindwa ku-accommodate the growing population, then kupata highest and best use ya land, wataalamu wa mipango miji waka-adopt vertical development! In this case unakuwa na units nyingi, and so familia nyingi zaidi kutegemea how much you want to go vertically katika ardhi ambayo mtu angejenga nyumba ya familia moja au mbili!

Huo ndio msingi wa kuwa na apartments na wa si suala la nchi gani eti watu wanapenda apartments zaidi ya standalone units! Ndio maana nikasema je, ni mikoa yote tunahiyaji hizo apartment na kibiashara zinalipa?

Ni kwasababu hiyo ya apartments kuendelea kuwa nyingi zaidi na kuwa rahisi kuishi ulinganisha na standalone kwa Europe na USA kwa mfano, unakuta zinakuwa na classes tofauti, some are normal apartments and some are executive apartments! Some have a gated community with a lock-up and go environment, and some have all the facilities under one roof, and that people can develop socialization!
 
Back
Top Bottom