YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Speaking of copying and pasting, umenikumbusha lile chapisho lako ulilofanya 100% plagiarism.

Kwanza unaonyesha wewe ni kituko cha dunia pale unaposema you are the only evidence of what you are advocating!!! Yaani hapo ni sawa na mwizi anayesema yeye ndio shahidi kuwa hajaiba!!!

Nionyeshe sehemu unayosema nimecopy hiyo thread yangu? Au unaongelea ile post ya DD and SS response to Real Estate Market? Nilikuwekea ile baada ya kuona wewe ni muumini sana wa kitu kinachoandikwa kwenye mtandao, na especially non-Tanzanian! Ndio maana nilikubwagia kama ilivyo usome!

Unasema umeingia field na kuleta data. Sijaona data hata moja uliyoleta. Lakini, this is another interesting thing, unaweza kuandika kwa kifupi tu methodology uliyotumia kwenye hiyo "research" yako?

You must be idiot!!! Are you taking me into an examination room???

Nafikiri hapo juu nilikueleza kwamba investors wengi wanakurupuka na kujikuta wanajenga apartments mikoani wakifiri zitalipa kama Dar, kwa kuchukulia mikoani kuna shida ya nyumba, but experience inaonesha scale of preference iko kwenye standalone, na hata Dar (and I can bet) wengi wanaishi humo ni tenants, either foreigners au locals! Na huu ndio ulikuwa msingi wa hoja yangu, kwani mfano rahisi ni nyumba za NHC pale Medeli Dodoma, karibu na Bunge, it is as good as a white elephant project!

So ieleweke kwamba sijasema hazihitajiki, but je ni kila mkoa tukaweke apartment? Na si kamwe hazitajengwa, it will come a time kila sehemu zitakuwa zinalipa, but when? NOW?
 
Nionyeshe sehemu unayosema nimecopy hiyo thread yangu? Au unaongelea ile post ya DD and SS response to Real Estate Market? Nilikuwekea ile baada ya kuona wewe ni muumini sana wa kitu kinachoandikwa kwenye mtandao, na especially non-Tanzanian! Ndio maana nilikubwagia kama ilivyo usome!

You must be idiot!!! Are you taking me into an examination room???

Nafikiri hapo juu nilikueleza kwamba investors wengi wanakurupuka na kujikuta wanajenga apartments mikoani wakifiri zitalipa kama Dar, kwa kuchukulia mikoani kuna shida ya nyumba, but experience inaonesha scale of preference iko kwenye standalone, na hata Dar (and I can bet) wengi wanaishi humo ni tenants, either foreigners au locals! Na huu ndio ulikuwa msingi wa hoja yangu, kwani mfano rahisi ni nyumba za NHC pale Medeli Dodoma, karibu na Bunge, it is as good as a white elephant project!

So ieleweke kwamba sijasema hazihitajiki, but je ni kila mkoa tukaweke apartment? Na si kamwe hazitajengwa, it will come a time kila sehemu zitakuwa zinalipa, but when? NOW?

Dogo acha porojo. Unasema umefanya research. Vilevile umesema una data.

Katika research neno wengi ni subjective, je kwenye research yako wengi maana yake ni nini? Can you quantify your wengi?
 
So ieleweke kwamba sijasema hazihitajiki, but je ni kila mkoa tukaweke apartment? Na si kamwe hazitajengwa, it will come a time kila sehemu zitakuwa zinalipa, but when? NOW?

Dogo una kifafa cha hoja, lakini umeanza kuonyesha dalili za kuelewa ulipochemka.

Umesema "YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa". Kwa vile una kifafa cha hoja unashindwa kuelewa kuwa kauli yako hii maana yake ni kwamba kuna mikoa hatuhitaji apartments.
 
Kama unakikataa kilichoandikwa na non Tanzanian, lete kilichondikwa na Tanzanian to make your case.

Hakuna sehemu ambapo nimekataa kilichoandikwa na non-Tanzania ila nimeongelea uumini wako wa kuamini property market nature ya Dubai haina tofauti na ya hapa kwetu! Na huu ndio ubishi wetu mkubwa! Ndio maana naona link zako ni upuuzi! Jaribu kusoma globally but be analytic, usisome kwa kumeza! Ndio maana umeangaika kusoma links bila kuelezea uelewa wako in respect to our argument! Bado unaniita mie mzee wa plagiarism!

Usijaribu kwenda out of the line, tuongelee property market nature ya Tanzania!
 
So ieleweke kwamba sijasema hazihitajiki, but je ni kila mkoa tukaweke apartment? Na si kamwe hazitajengwa, it will come a time kila sehemu zitakuwa zinalipa, but when? NOW?

Hapa umeongea kama peasant anayesubiri mvua inyeshe. Kuna kilimo cha kisasa cha umwagiliaji, acha uduni wa kungoja mvua inyeshe.

Create the demand by marketing interventions, usingoje time to come by chances.

Kila sehemu kwenye watu kuna mahitaji ya chakula, nyumba, mavazi na mahitaji mengine. Kwahiyo its up to you to convince people to prefer buying your type of house to others.

Dont sit down and complain, stand up and do something...
 
Twende hatua kwa hatua.

hapo umeandika kitu ambacho kimeonyesha kuwa umeanza kuelewa kidogokidogo. This is a good sign.

Sasa jibu swali hili. Unasema hivi "tatizo lako unaiongelea marketing in general", je, unakubaliana na mimi kwamba marketing in general iko vile nilivyoielezea? If yes, then nitakuelezea jinsi inavyoapply specifically kwenye real estate ili kukupanua akili kidogo. If no, je marketing in general inatofautiana vipi na vile nilivyoielezea?

Bado nakusubiri unieleze hili uki-relate na hoja yetu ya apartment!
 
Hakuna sehemu ambapo nimekataa kilichoandikwa na non-Tanzania ila nimeongelea uumini wako wa kuamini property market nature ya Dubai haina tofauti na ya hapa kwetu! Na huu ndio ubishi wetu mkubwa! Ndio maana naona link zako ni upuuzi! Jaribu kusoma globally but be analytic, usisome kwa kumeza! Ndio maana umeangaika kusoma links bila kuelezea uelewa wako in respect to our argument! Bado unaniita mie mzee wa plagiarism!

Usijaribu kwenda out of the line, tuongelee property market nature ya Tanzania!

Jenga hoja, acha kulialia. What is your point?
 
Dogo una kifafa cha hoja, lakini umeanza kuonyesha dalili za kuelewa ulipochemka.

Umesema "YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa". Kwa vile una kifafa cha hoja unashindwa kuelewa kuwa kauli yako hii maana yake ni kwamba kuna mikoa hatuhitaji apartments.

Hoja zako unavyotumia msuli ni kama vile nimetoa katazo wakati kusema hazihitajiki ni angalizo na ukizidi kusoma thread nimeelezea sababu! Ndio maana nikakwambia I am neither NEMC nor Building Permits Issuing Officer, kusema ukijenga hizo apartments nitakuja kukubomolea, wewe ukitaka jenga popote!
 
Hakuna sehemu ambapo nimekataa kilichoandikwa na non-Tanzania ila nimeongelea uumini wako wa kuamini property market nature ya Dubai haina tofauti na ya hapa kwetu! Na huu ndio ubishi wetu mkubwa! Ndio maana naona link zako ni upuuzi! Jaribu kusoma globally but be analytic, usisome kwa kumeza! Ndio maana umeangaika kusoma links bila kuelezea uelewa wako in respect to our argument! Bado unaniita mie mzee wa plagiarism!

Usijaribu kwenda out of the line, tuongelee property market nature ya Tanzania!

Hapa hakuna ubishi. Kilichopo hapa ni kwamba mimi ninakufundisha wewe masuala mbalimbali kuhusiana na sales and marketing.

By the way, hiyo Dubai umeitoa wapi? Kuna sehemu mimi nimetaja Dubai?au umelewa tayari?
 
Hoja zako unavyotumia msuli ni kama vile nimetoa katazo wakati kusema hazihitajiki ni angalizo na ukizidi kusoma thread nimeelezea sababu! Ndio maana nikakwambia I am neither NEMC nor Building Permits Issuing Officer, kusema ukijenga hizo apartments nitakuja kukubomolea, wewe ukitaka jenga popote!

Usiikimbie thread yako dogo.

Sababu ulizoeleza ni za kitoto, yaani hata mtoto wa darasa la tano anaweza kuzichallenge.

Ebu nitajie nchi moja duniani ambayo watu wake wanapendelea kukaa kwenye apartments kuliko kwenye nyumba zao peke yao at the same cost.
 
Hapa umeongea kama peasant anayesubiri mvua inyeshe. Kuna kilimo cha kisasa cha umwagiliaji, acha uduni wa kungoja mvua inyeshe.

Create the demand by marketing interventions, usingoje time to come by chances.

Tuanze kujadili kwa uhalisia Kidogo! Ebu nieleze investment ya apartment blocks for sale pale Katavi kwa mfano utakavyo-create demand by marketing interventions bila kungoja time to come by chances!

Kila sehemu kwenye watu kuna mahitaji ya chakula, nyumba, mavazi na mahitaji mengine. Kwahiyo its up to you to convince people to prefer buying your type of house to others.

Dont sit down and complain, stand up and do something...

Tumia vizuri hiyo misemo ya watu!!! Property market nature is notorious imperfect!!! Tatizo lako unafananisha property market na cash crops market, hapo ndio unapokosea!
 
Hii ligi haiwezi kuisha dawa moja arushe taulo.

Nami nisingependa iishe mkuu, niko na MULTI-TALENTED(Kama anavyojiita) but not PROFESSIONAL, ZeMarcopolo

Ameshindwa kutofautisha kati ya TALENT na PROFESSION
 
Tuanze kujadili kwa uhalisia Kidogo! Ebu nieleze investment ya apartment blocks for sale pale Katavi kwa mfano utakavyo-create demand by marketing interventions bila kungoja time to come by chances!

Tumia vizuri hiyo misemo ya watu!!! Property market nature is notorious imperfect!!! Tatizo lako unafananisha property market na cash crops market, hapo ndio unapokosea!

Mawazo yako yako too limited.

Hivi unajua kuwa katavi kuna mbuga kubwa ya wanyama? Je, unajua kuna watu wangapi duniani wanashindwa kwenda Katavi kwa sababu hakuna descent housing na enough information on the internet about Katavi?

Unajua kuanzishwa kwa mkoa mpya Katavi kumeongeza wahamiaji kwa kiasi gani?

Hivi umeshawahi kuishi nje ya Tanzania at least kwa miezi sita tu? thinking yako imekaa ki-mwananyamala-posta, Ubungo-Kariakoo, Gongolamboto-Kivukoni, Vituka-Charambe! Wake Up dogo...
 
Nakusubiri unielezee Marketing inavyo-apply specifically kwenye Real Estate Market, au bado unafanya literature review

We kweli mwehu, nimekuuliza very specific question ili nikupe somo hilo unalotaka, umeshindwa kujibu lakini somo unataka!
 
Hii ligi haiwezi kuisha dawa moja arushe taulo.

Mkuu,

Huyu jamaa ni tapeli, nimemshtukia. Ndio maana simwachi ili watu waendelee kuona alivyo mtupu.

Jamaa kafanya research halafu data zake zinasema investor WENGI wamepata hasara, lakini hajui wengi ni wangapi!!!

Huyu kashaumbuka tayari, anachokifanya sasa hivi ni kupangusa pangusa his behind tu aondoke...

Kumbuka kuwa tunachojadili hapa ndicho ambacho dogo kasomea chuo kikuu na ndio kazi yake ya kila siku inayompatia kipato cha kununua bia. Sasa kama mtu yuko empty kiasi hiki kwenye fani aliyesome ataepuka vipi kuitwa TAPELI?
 
Hapa hakuna ubishi. Kilichopo hapa ni kwamba mimi ninakufundisha wewe masuala mbalimbali kuhusiana na sales and marketing.

Kama wewe ni gwiji, nifundishe kwenye PROPERTY SALES and MARKETING, kuliko kuleta links za sales na marketing halafu unaishia kunipa mifano ya kuuza sigara na bia, wakati hoja ni real estate? Are you serious? Jaribu kusoma imperfections za Real Estate Market ili upanue mental box yako kidogo

By the way, hiyo Dubai umeitoa wapi? Kuna sehemu mimi nimetaja Dubai?au umelewa tayari?

Wewe kweli Mr. ZERO!! Hivi dunia ya leo utaongelea Real Estate Investment tena kwenye apartments bila kuongelea Dubai? Wewe si uko exposed, vipi tena? Hujui hao wazungu unaowakubali sana wanakwenda Dubai na Hong Kong kushangaa ultra-modern buildings???

Kwa sababu unapenda sana wazungu, jaribu kumsoma Thorsten Botz-Bornstein (a German philosopher specializing in aesthetics and intercultural philosophy) anavyoyaongelea hayo majiji!

"Both cities possess port locations that are central to trade and both cities have attracted massive international capital as well as large expat communities. Furthermore, both cities have been submitted to spectacular developments transforming them within a few decades from fishing villages deprived of any urban history into hubs linking the East and the West."
 
Kama wewe ni gwiji, nifundishe kwenye PROPERTY SALES and MARKETING, kuliko kuleta links za sales na marketing halafu unaishia kunipa mifano ya kuuza sigara na bia, wakati hoja ni real estate? Are you serious? Jaribu kusoma imperfections za Real Estate Market ili upanue mental box yako kidogo

Your are a pure idiot...

Unataka nikufundishe property sales and marketing, lakini somo la basics of sales and marketing bado hujaelewa.

Yaani wewe ni sawa na mtu anayetaka kufundishwa calculus wakati bado hajaelewa simple arithmetic!

Huna uwezo wa kuelewa property sales and marketing kama umeshindwa kuelewa maana na tofauti ya sales and marketing. Ndio maana nilikuuliza kama umeelewa somo nililokupa awali.
 
Back
Top Bottom