Maswali yangu ni kujaribu kupata ufahamu wako kwa unachokiandika, ama unaandikiwa? Sasa wewe mwalimu gani hutaki maswali? Utapimaje uelewa wangu bila kukuuliza maswali?
Evidence ipi unataka, kwani tunaongelea nini? Kuhusu tofauti ya Sales na Marketing si nimekujibu hapo juu, ukaingia chaka, unalalamika eti nakuuliza maswali, jibu basi tuendelee!
Naona unanipotezea muda tu.
Huna lengo la kujifunza, unachokifanya wewe ni kubisha tu kitu ambacho inaelekea ni tabia yako uliyozaliwa nayo.
Sitaki kupoteza muda na wewe, nimekutafutia links zinazozungumzia tofauti kati ya sales na marketing. Nimejitahadi kutafuta links toka Mashariki na Magharibi ili nikuache ubishane na Dunia maana watu kama wewe hamshindwi hata kubishana na mlima.
1. Link ya kwanza hii ni ya experts wa India:
Difference between Sales and Marketing ?
2. Hii hapa link nyingine inayoelezea swala hilo hilo:
5 Differences Between Sales and Marketing | Becoming Professional: A Blog
3. Experts column pia wameelezea tofauti kati ya sales and marketing kama ifuatavyo:
Difference Between Sales and Marketing
4. Hawa hapa ni diffen.com unaweza kuweka vitu vyovyote unavyotaka kucompare watakupa differences zake. Kwenye sales and marketing wanakupa difference hizi:
Marketing vs Sales - Difference and Comparison | Diffen
5. Mike Ames naye kwenye blog yake anatoa differences hizi:
What's the difference between "sales" and "marketing" and why should you care? | The Mike Ames Business Development Blog
6. Kwenye website ya Arizona Daily Star nao wamesema hivi:
Learning the difference between sales and marketing
7. Kwenye Slideshare unapata differences hizi:
The Difference Between Marketing and Sales
Nimekufafanulia tofauti kati ya sales na marketing kwa kirefu tena na mifano halisi kwa lugha rahisi ya kawaida. Lengo langu lilikuwa kukujulisha kuwa wewe kwa vile umekiri mwenyewe kuwa huna utaalam wa marketing na kwamba kazi unayofanya wewe ni ya sales basi huna authority ya kusema kuwa kuna mikoa apartments hazihitajiki, kazi hiyo ni ya mtu wa marketing.
Umesema nimeandika PUMBA TUPU. Kauli yako hiyo ni ya kukosa shukurani na kudhihirisha kuwa hauko tayari kujifunza but rather kubishana. Majukwaa ya kubishana yapo lakini sio hili.
Hakuna thamani kupoteza muda na mtu wa aina yako, bishana na DUNIA kwenye hizo links nilizokuwekea.
Kama una references zozote za kupinga hayo niliyoandika ambayo kimsingi ndiyo yanayoelezewa kwenye hizo links basi lete hizo references tuzijadili. Zaidi ya hapo kubishana na wewe inakuwa sawa na kujaza maji kwenye gunia...