YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Wewe kweli Mr. ZERO!! Hivi dunia ya leo utaongelea Real Estate Investment tena kwenye apartments bila kuongelea Dubai? Wewe si uko exposed, vipi tena? Hujui hao wazungu unaowakubali sana wanakwenda Dubai na Hong Kong kushangaa ultra-modern buildings???

Kwa sababu unapenda sana wazungu, jaribu kumsoma Thorsten Botz-Bornstein (a German philosopher specializing in aesthetics and intercultural philosophy) anavyoyaongelea hayo majiji!

"Both cities possess port locations that are central to trade and both cities have attracted massive international capital as well as large expat communities. Furthermore, both cities have been submitted to spectacular developments transforming them within a few decades from fishing villages deprived of any urban history into hubs linking the East and the West."

Sijawahi kuona mwehu zaidi yako. Wewe ndiye uliyeanzisha thread ya kuhusu apartments, sasa jijibu mwenyewe kwenye thread post yako umetaja Dubai? Kama hujataja Dubai, huu wehu unaoandika sasa umetoka wapi?

Yaani dogo una KIFAFA cha hoja ambacho kuna uwezekano kimesabaishwa na ulevi.
 
Mawazo yako yako too limited.

Hivi unajua kuwa katavi kuna mbuga kubwa ya wanyama? Je, unajua kuna watu wangapi duniani wanashindwa kwenda Katavi kwa sababu hakuna descent housing na enough information on the internet about Katavi?

Duuuuh! Kwa hiyo tuendelee kujenga apartment KATAVi kwa sababu ya kukaribisha watu kutoka kila pande ya dunia? Unaelewa unachokiongelea lakini? Unaweza kutofautisha investment in hotel na apartment, serviced apartment au hotel apartment? Hoja yako ni hapa?

Hoja yako ni nini hapa zijengwe then wauziwe watu kutoka mataifa ya mbali? Unaelewa Sheria ya Ardhi inasemaje kuhusu non-citizen kuwa na Certificate Right of Occupancy? Au unaongelea locals wanunue wawapangishe hao wageni? Je, hao wageni ni long term au short term? Demand yao ni apartment au hotel? Kweli wewe Multi-Talented

Unajua kuanzishwa kwa mkoa mpya Katavi kumeongeza wahamiaji kwa kiasi gani?

Na hao wahamiaji demand yao ni kubwa kwenye apartment na si standalone? Hii research yako kiboko!!!

Hivi umeshawahi kuishi nje ya Tanzania at least kwa miezi sita tu? thinking yako imekaa ki-mwananyamala-posta, Ubungo-Kariakoo, Gongolamboto-Kivukoni, Vituka-Charambe! Wake Up dogo...

Hoja ilikuwa narrowed to Tanzanian Real Estate Market unakazania nje ya Tanzania! Unaweza anzisha thread ya Dunia nzima na ukaangalia investment ya Real Estate
 
Huna uwezo wa kuelewa property sales and marketing kama umeshindwa kuelewa maana na tofauti ya sales and marketing. Ndio maana nilikuuliza kama umeelewa somo nililokupa awali.

Nafikiri hoja ni katika Real Estate, so let's dwell on Real Estate Marketing and Sales, ndio tutaenda sawa? Acha kuruka viunzi Mr. Multi-Talent!

Kwa nini unapenda kukimbia hoja, acha mifano ya kuuza sigara na bia, nielezee Property Sales na Marketing twende sawa
 
Sijawahi kuona mwehu zaidi yako. Wewe ndiye uliyeanzisha thread ya kuhusu apartments, sasa jijibu mwenyewe kwenye thread post yako umetaja Dubai? Kama hujataja Dubai, huu wehu unaoandika sasa umetoka wapi?

Yaani dogo una KIFAFA cha hoja ambacho kuna uwezekano kimesabaishwa na ulevi.

si wewe unataka mifano ya nje au?
 
Hivi umeshawahi kuishi nje ya Tanzania at least kwa miezi sita tu? thinking yako imekaa ki-mwananyamala-posta, Ubungo-Kariakoo, Gongolamboto-Kivukoni, Vituka-Charambe! Wake Up dogo...

Hoja yako ni nini hapa! Kuishi ama kutoishi nje kuna impact gani katika Real Estate Market ya Tanzania!

Huko nje unaongelea wapi? Kwenda kufanya nini? Akili yako inakutuma ukisha-cross boarder tayari unajua kila kitu? Yale yale ya zamani! Wewe kizazi cha lini? Bado una ndoto hizi?

Ijue kwanza Tanzania yako vizuri, maana hata sheria basic za Ardhi kwamba non-citizen haruhusiwi kumiliki ardhi/nyumba hujui, bado unaimba Ulaya, Ulaya!
 
Duuuuh! Kwa hiyo tuendelee kujenga apartment KATAVi kwa sababu ya kukaribisha watu kutoka kila pande ya dunia? Unaelewa unachokiongelea lakini? Unaweza kutofautisha investment in hotel na apartment, serviced apartment au hotel apartment? Hoja yako ni hapa?

Hoja yako ni nini hapa zijengwe then wauziwe watu kutoka mataifa ya mbali? Unaelewa Sheria ya Ardhi inasemaje kuhusu non-citizen kuwa na Certificate Right of Occupancy? Au unaongelea locals wanunue wawapangishe hao wageni? Je, hao wageni ni long term au short term? Demand yao ni apartment au hotel? Kweli wewe Multi-Talented

Na hao wahamiaji demand yao ni kubwa kwenye apartment na si standalone? Hii research yako kiboko!!!

Hoja ilikuwa narrowed to Tanzanian Real Estate Market unakazania nje ya Tanzania! Unaweza anzisha thread ya Dunia nzima na ukaangalia investment ya Real Estate

Tatizo lako lingine ni uwezo mdogo wa kuelewa. Yaani hata hapo umeshindwa kuelewa tena!!!

Unazidi kujiaibisha tu.
 
Hoja yako ni nini hapa! Kuishi ama kutoishi nje kuna impact gani katika Real Estate Market ya Tanzania!

Huko nje unaongelea wapi? Kwenda kufanya nini? Akili yako inakutuma ukisha-cross boarder tayari unajua kila kitu? Yale yale ya zamani! Wewe kizazi cha lini? Bado una ndoto hizi?

Ijue kwanza Tanzania yako vizuri, maana hata sheria basic za Ardhi kwamba non-citizen haruhusiwi kumiliki ardhi/nyumba hujui, bado unaimba Ulaya, Ulaya!

Acha porojo. Jibu swali, umeshawahi kukaa nje ya Tanzania for at least 6 months?

Swali liko straight forward, acha longolongo.
 
Nafikiri hoja ni katika Real Estate, so let's dwell on Real Estate Marketing and Sales, ndio tutaenda sawa? Acha kuruka viunzi Mr. Multi-Talent!

Kwa nini unapenda kukimbia hoja, acha mifano ya kuuza sigara na bia, nielezee Property Sales na Marketing twende sawa

Huwezi kufundishwa real estate sales and marketing kama hujaelewa basics of sales and marketing.

Kama shuleni ulikimbilia huko bila kujua basics, ndio maana unakuja kuandika mambo yanayotia aibu chuo ulichosoma.
 
Na hao wahamiaji demand yao ni kubwa kwenye apartment na si standalone? Hii research yako kiboko!!!

Kumbe dogo hata maana ya research hujui. Yaani hapahapa nimeshakuwa na research yangu tena!!!

Umenikumbusha pale uliposema kwenye research asilimia 50 ndio statistically significant. Hahahahahahahahahaa mzee unafikiria utafikiri tume ya uchaguzi!!!
 
Ebu nitajie nchi moja duniani ambayo watu wake wanapendelea kukaa kwenye apartments kuliko kwenye nyumba zao peke yao at the same cost.

Hilo swali nimekuuliza naona unajifanya hujaliona. Acha kujibalaguza, jibu swali hilo tuone upeo wako unaishia wapi, TAPELI we...
 
Ijue kwanza Tanzania yako vizuri, maana hata sheria basic za Ardhi kwamba non-citizen haruhusiwi kumiliki ardhi hujui

Wewe dogo uko full porojo. Hivi Tanzania kuna mtu anayeruhusiwa kumiliki Ardhi?

Ndio maana nimekuuliza kama umeshawahi kukaa nje ya Tanzania, kwa sababu una upeo sifuri kuhusu mtu kuishi nje ya nchi yake.

Ebu jibu hilo swali la kama umekaa nje ya nchi ili nikueleze jinsi foreginers wanavyofanya kumiliki immovable assets katika nchi mbalimbali.

Yaani kwakweli dogo inabidi hapa ulipe tuition fees maana shule ninayokupa ni ya kiwango hadimu. Tatizo lako huna shukurani, ningekufundisha vitu vingi zaidi...
 
Hoja yako ni nini hapa! Kuishi ama kutoishi nje kuna impact gani katika Real Estate Market ya Tanzania!

Huko nje unaongelea wapi? Kwenda kufanya nini? Akili yako inakutuma ukisha-cross boarder tayari unajua kila kitu? Yale yale ya zamani! Wewe kizazi cha lini? Bado una ndoto hizi?

Ijue kwanza Tanzania yako vizuri, maana hata sheria basic za Ardhi kwamba non-citizen haruhusiwi kumiliki ardhi/nyumba hujui, bado unaimba Ulaya, Ulaya!
Tatizo mwenzako ana google sidhani kama ana background ya marketing ndio maana hata hakuelewi unavyomwambia kitabu yeye anasema articles. Sijui ni article gani zinazo onglea principles of marketing in details hili aelewe hoja yako, hata unapomfahamisha wewe unaongelea soko lingine yeye kakazana tu na sigara na pombe not knowing different product requires different strategies.

The only way wataweza fanikiwa na mijengo yao ya apartments nje ya dar ni kwa sababu there are few players in the market and limited options to the buyers. Lakini ideally if there was a competition in the market you are argument makes more sense.
 
Tatizo lako lingine ni uwezo mdogo wa kuelewa. Yaani hata hapo umeshindwa kuelewa tena!!!

Unazidi kujiaibisha tu.

Acha kuruka ruka kama Kunguru Mr. Multi-Talented, ni kipi nilichojibu tofauti na ulivyoandika! Changanua uwekezaji wa apartments ukavyolipa KATAVI
 
Huwezi kufundishwa real estate sales and marketing kama hujaelewa basics of sales and marketing.

Kama shuleni ulikimbilia huko bila kujua basics, ndio maana unakuja kuandika mambo yanayotia aibu chuo ulichosoma.

Mbona bado unapiga chenga? Mimi si nimeleta hoja? Challenge me basing on the subject matter, stop meandering like a river on a flood plain!

Hoja yako ni kutaka ku-proove kwamba apartments popote pale ukijenga Tanzania zinalipa, lakini hoja yako unaitetea kwa kutoa mifano ya kuuza sigara na bia? Are you serious?
 
Kumbe dogo hata maana ya research hujui. Yaani hapahapa nimeshakuwa na research yangu tena!!!

Kumbe napoteza muda wangu tu hapa! I thought you have facts of what you have been advocating here, kumbe ni facts za vijiweni tu? Umeshindwa kutofautisha jukwaa la siasa na hili? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!

Yaani facts zako ziko based kwenye Marketing na Sales ya Sigara na bia, na ndio hii unataka itumike kwenye real estate?

Nilikuleza Mwanzo kwamba kwa nini Real Estate imeitwa REAL Property na hizo nyingine zimeitwa PERSONAL Property! Ungekubali kusoma hili ukalielewa, usingepoteza muda wako wa kutuletea links za Sales and Marketing za bia!
 
Ebu nitajie nchi moja duniani ambayo watu wake wanapendelea kukaa kwenye apartments kuliko kwenye nyumba zao peke yao at the same cost.

Unaelewa unachokiandika? Yaani wanakaa kwenye apartments at the same time wana nyumba zao? Mbona hueleweki hapa? Kwanza nyumba ni nini na apartment ni nini? Swali lako halieleweki, omba mtu akusaidie kuuliza then lirudishe nikupe jibu lako!

Hilo swali nimekuuliza naona unajifanya hujaliona. Acha kujibalaguza, jibu swali hilo tuone upeo wako unaishia wapi, TAPELI we...

Nimetoa maelezo hapo juu, swali lako halieleweki, soma kwanza mwenyewe kama liko sawa, then ulirudishe nikujibu
 
Wewe dogo uko full porojo. Hivi Tanzania kuna mtu anayeruhusiwa kumiliki Ardhi?.

Sheria za ardhi Tanzania, unawezamilki ardhi kwa miaka 33, 66 au 99 subject to renewal upon expiration of Certificate Right Of Occupancy! Ukiwa foreigner unaweza milki ardhi through TIC, na hapa utapewa Derivative Right of Occupancy(TIC wanapata Cerificate Right of Occupancy toka kwa Commissioner for Lands)! Kwa Tanzania, Rais ndiye Trustee wa ardhi!

Ebu jibu hilo swali la kama umekaa nje ya nchi ili nikueleze jinsi foreginers wanavyofanya kumiliki immovable assets katika nchi mbalimbali.

Mbona sometime una-argue kitoto sana? Kwa hiyo kujua Land Tenure systems za nchi tofauti ni lazima uwe umeishi katika nchi hizo, ikiwa wewe sheria za nchi yako tu huzijui? Kwa hiyo the moment you land in any foreign country, unajua kila kitu cha nchi hiyo? Exposure haimanishio hivyo Mkubwa! Wake up! Ndio maana naona swali lako halina mashiko!

Hapo kwenye RED, napatamani sana, inabidi ujipange vizuri usije ukakurupuka kama kawaida yako
 
Tatizo mwenzako ana google sidhani kama ana background ya marketing ndio maana hata hakuelewi unavyomwambia kitabu yeye anasema articles. Sijui ni article gani zinazo onglea principles of marketing in details hili aelewe hoja yako, hata unapomfahamisha wewe unaongelea soko lingine yeye kakazana tu na sigara na pombe not knowing different product requires different strategies.

The only way wataweza fanikiwa na mijengo yao ya apartments nje ya dar ni kwa sababu there are few players in the market and limited options to the buyers. Lakini ideally if there was a competition in the market you are argument makes
more sense.

ZeMarcopolo ameshindwa kutofautisha jukwaa la siasa na hili ambalo tunaongelea vitu professional oriented! Amekazania Marketing ya sigara na bia anasahau Real Estate ina unique features! Chakushangaza eti ananipa shule? Shule ya kuuza sigara na bia?
 
Mbona bado unapiga chenga? Mimi si nimeleta hoja? Challenge me basing on the subject matter, stop meandering like a river on a flood plain!

Hoja yako ni kutaka ku-proove kwamba apartments popote pale ukijenga Tanzania zinalipa, lakini hoja yako unaitetea kwa kutoa mifano ya kuuza sigara na bia? Are you serious?

Tatizo lako lingine ni kushindwa kusoma na kuelewa.

Kuna mtu yeyote kwenye thread hii aliyesema apartments Tanzania zikijengwa popote pale zinalipa?

Hoja feki uliyoleta ni kwamba kuna mikoa apartments hazihitajiki. Umeshindwa kujustify kauli yako objectively.

Mbaya zaidi umesema wewe hujui marketing, ukaulizwa unajuaje kama hazihitajiki kama marketing hujui.

Ukasema marketing sio kazi yake kujua kama apartments zinahitajika. Ukapewa somo la kazi ya marketing.
Somo umeshindwa kuelewa. Sasa sijui unataka nini zaidi ya hapo?

Wewe ni kigezo tosha kuwa elimu yetu imeshuka sana kwa kweli!!!
 
Back
Top Bottom