ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
- Thread starter
- #361
Speaking of copying and pasting, umenikumbusha lile chapisho lako ulilofanya 100% plagiarism.
Kwanza unaonyesha wewe ni kituko cha dunia pale unaposema you are the only evidence of what you are advocating!!! Yaani hapo ni sawa na mwizi anayesema yeye ndio shahidi kuwa hajaiba!!!
Nionyeshe sehemu unayosema nimecopy hiyo thread yangu? Au unaongelea ile post ya DD and SS response to Real Estate Market? Nilikuwekea ile baada ya kuona wewe ni muumini sana wa kitu kinachoandikwa kwenye mtandao, na especially non-Tanzanian! Ndio maana nilikubwagia kama ilivyo usome!
Unasema umeingia field na kuleta data. Sijaona data hata moja uliyoleta. Lakini, this is another interesting thing, unaweza kuandika kwa kifupi tu methodology uliyotumia kwenye hiyo "research" yako?
You must be idiot!!! Are you taking me into an examination room???
Nafikiri hapo juu nilikueleza kwamba investors wengi wanakurupuka na kujikuta wanajenga apartments mikoani wakifiri zitalipa kama Dar, kwa kuchukulia mikoani kuna shida ya nyumba, but experience inaonesha scale of preference iko kwenye standalone, na hata Dar (and I can bet) wengi wanaishi humo ni tenants, either foreigners au locals! Na huu ndio ulikuwa msingi wa hoja yangu, kwani mfano rahisi ni nyumba za NHC pale Medeli Dodoma, karibu na Bunge, it is as good as a white elephant project!
So ieleweke kwamba sijasema hazihitajiki, but je ni kila mkoa tukaweke apartment? Na si kamwe hazitajengwa, it will come a time kila sehemu zitakuwa zinalipa, but when? NOW?