ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
- Thread starter
-
- #61
Tatizo lako unajiona kwamba wewe ni lecturer na wengine ni wanafunzi. Kumbuka kuwa hujui background za wachangiaji wa hii thread. You are a self appointed expert ambaye kitu kikifika asilimia 50 unachukulia kuwa kiko statistically significant.
Hapa umetoa mfano wa maghorofa ya Chalinze lakini statement yako haitoi jibu kwamba iwapo Chalinze zingejengwa nyumba za chini zingeuzika kirahisi. Tatizo la Chalinze ni ghorofa au ni location?
Sielewi ni kwa nini tunashindwa kuelewana ZeMarcopolo? Nina wasiwasi hoja yangu umeitafsiri tofauti, kama nilivyomjibi Koba hapo juu, Mimi sijasema ni mwiko kujenga apartments Tunduma na Katavi, no! Hoja yangu zikijengwa leo zitalipa ati kisa zinalipa Dar es Salaam? Tatizo la Chalinze ni maghorofa na location pia