YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Na ukiangalia nchi nyingi za Ulaya zinazojikongoja hazikujihusisha moja kwa moja kwenye biashara ya utumwa na ukoloni. Does this imply anything?

Hivi Ujerumani nayo ilihusika kwenye utumwa?
 
Ya kwanza kabisa sijui. Ila najua kwamba Ghana siyo ya kwanza kwa sababu, kwa mfano, Sudan ilipata uhuru wake mwaka 1956 na Ghana ilipata uhuru wake mwaka 1957. Hivyo, Ghana haiwezi kuwa nchi ya kwanza Afrika kupata uhuru.

Ninadhani nchi zote zilizopata uhuru kabla ya Ghana zinatofauti na Ghana katika namna ya ukoloni, enzi, na jiografia. Labda, narudia tena, labda ndio maana inatajwa Ghana kuwa ya kwanza kwa Afrika

* Misri, Libya, Sudan zinajitambulisha kuwa ni nchi za Kiarabu kwa mfano .....
 
Hata kama zinajitambulisha hivyo, lakini bado ni nchi zilizopo barani Afrika.

data=VLHX1wd2Cgu8wR6jwyh-km8JBWAkEzU4,bvcpm_mgIE-N1JViwgTCQdsFYEniPHodphGNeTTc4O0zcw_9FZRn7iXWlcst6CfjKs4QwT04GYnAvrDt1WFCcztYpSXmUst9CLEZ4dcN5jDFJLbuWVmlvVEvR_hpvsPg_dnMauy9NLqH8DVNPScVd9WCLeGl3S_DW-LcuOR-cRfJ2I2ixOZobEakdm6Wkdl5I9vhQqfF

Anzia dk ya 0:45 - 1:45

Last edited by a moderator:
Kidate na nani? Mwali?🙂
Mwali ndiye pekee anayeza kudetiwa tuu?

Hahahaaaa madrasa tena? Walikuwa wanatoa shahada katika fani zipi hao? Hicho chuo kipo hadi leo? Na nini cha maana kilichotokea hapo ambacho kilisaidia kuleta maendeleo ya mwanadamu?

Inasemekana bado kipo na kilisaidia kuleta maendeleo ya wanadamu wa huko. Hata hivyo, chuo kiliathirika sana wakati wa biashara ya utumwa. Kutokana na biashara ya utumwa and what followed, what used to be referred to as among the ancient centres of learning, hapafi tena.

Na kuna nchi ngapi hapa duniani ambazo zinafuata hiyo mifumo ya Uingereza?

Nchi zilizoendelea au underdeveloped? Vipi Israel?

What exactly is 'duties to the society'? Hapo kwenye duties inabidi upambanue zadi. Kwa sababu hata kulipa kodi nako ni duty to society vile vile...au siyo?

Tuchukulie kwa mfano the harm principle aka the power not to do whatever is not injurious to others.

This not one of the principles of fundamental justice in many modern systems.

Kwa mfano, sheria nyingi ambazo zinazuia cannibalism, incest, bestiality, duelling and animal cruelty are based on their offensiveness rather than on deeply held social values in the society.

Do you believe in autonomy or freedom?
 
Hata kama zinajitambulisha hivyo, lakini bado ni nchi zilizopo barani Afrika.

Anzia dk ya 0:45 - 1:45

"Mzungu" anasema first negro economy in Africa

Maana hao wengine ni Waarabu (wa North Afrika), apart from Liberia na Ethiopia ambazo kimsingi wanazuoni wengi wanasema hazikuwahi kuwa colonized (Kama hazijawahi kuwa chini ya mkoloni, zitapataje Uhuru?)

Na ndio maana hawazihesabu
 
lol..
Siku hizi private sector milioni 3 mshahara ni kima cha chini unajua....
Halafu kama laki 8 inaonekana kubwa basi tuifikirie kama 400,000 ya mke na 400,000 ya mume.
At the end of the day kama mnatumia gari..lazima mtakuwa mnakaribia huko huko tu., kibaya zaidi mnachokea kwenye mafoleni.
Unaishi Tanzania au USA?, maana hizo data sidhani kama ni za National Bureau of Statistics ya Tanzania.
 
Ninajua kuwa kuna sheria zinazokataza kubadili muonekano wa jengo.

Ila hiyo ya kuwa kuna sheria inayozuwia kuuza sijawahi kuiona

Unaweza kutuwekea kifungu cha sheria?

Manake isije ikawa kuna kosa la interpretation ya maana ya kisheria hapa

Kwa kawaida, anaye-occupy a listing building ana jukumu aka duty of care kuhakikisha kuwa jengo linabakia katika katika hali yake stahiki

Hili jukumu lina-extend hata wakati wa kuuza hilo jengo. Kama unaliuza huku ukijua wazi kuwa mnunuaji atalibomoa au atalifanyia shughuli nyingine tofauti na ile iliyoruhusiwa, then kuna uwezekanao wa kuwa responsible for deliberate negligence (breaching the duty of care).

Ndiyo maana wanashauri kuwa kama unauza a listed building, then ni bora kuji-indemnify mwenyewe dhidi ya mashataka hapo baadae, just in case.

Lakini hicho ulichokielezea sasa sio sawa na kusema "kuna sheria inayomzuwia mtu kuuza jengo lake"

Kwa sababu kimsingi hakuna sheria hiyo

Ni ushauri tu
 
Hivi Ujerumani nayo ilihusika kwenye utumwa?

Yea, Wajerumani walikuwa watumwa wa Jamhuri ya Roman. Tena walikuwa watumwa wa aina yake, kwa maana kuwa wengi wao walikuwa wanatumika zaidi kama gladiators and sex slaves. lol. Would you have turned down that chance?

Kuhusiana na Ujerumani kujihusisha na biashara ya utumwa Afrika yapo maandiko yanayopingana.

"Due to the name change, people often forget that the Brandenburgs, who in 1683 built Ft. Groot Fredericksburg at Princess Town, and two other lodges at Akwida (1685) and Takrama (1687), were Germans. Brandenburg was the name of East Germany before it was united with neighboring provinces to become Germany. In the 17th century they took over a Spanish station at Arguin in Senegal and were also present at Whydah, Benin, for sometime. However, the full extent of German involvement in the slave trade in West Africa and the Americas is not known. At one time they tried to acquire a part of the Virgin Islands, but Togo and Cameroon were the main centers of their activities in West Africa.

Virtually unknown among the European slave traders of West Africa were the Courlanders, a small Germanic nation (population 200,000) situated in the present Republic of Latvia in the Baltics. The Courlabders built a small fort on St. Andrews Island (James Island) in the Gambia in 1652 and colonized Tobago in the 17th century and established sugar, cotton and rum plantations wiith about 7,000 slaves. The British seized James Island in 1661."

Source: Less-Known Participating Nations In The Slave Trade | The Ghanaian Times

Labda huyu mwandishi anaweza kuwa anametumia Afrocentric approach? lol
 
Lakini hicho ulichokielezea sasa sio sawa na kusema "kuna sheria inayomzuwia mtu kuuza jengo lake"

Kwa sababu kimsingi hakuna sheria hiyo

Ni ushauri tu

Kwa hiyo, huyo waziri anayedaiwa kuzuia watu walionunua nyumba za Osterbay kuziuza atakuwa ametumia sheria gani kutoa hiyo amri?

Let alone, sidhani hata kama hizo nyumba ni listed.
 
Yea, Wajerumani walikuwa watumwa wa Jamhuri ya Roman. Tena walikuwa watumwa wa aina yake, kwa maana kuwa wengi wao walikuwa wanatumika zaidi kama gladiators and sex slaves. lol. Would you have turned down that chance?

I wouldn't mind being Mwali's sex slave...would you?🙂

Kuhusiana na Ujerumani kujihusisha na biashara ya utumwa Afrika yapo maandiko yanayopingana.

Labda huyu mwandishi anaweza kuwa anametumia Afrocentric approach? lol

Huyo mwandishi naona katoka kabisa kwenye Afrocentricism na anaelea elea kwenye realm ya conspiracy theory!
 
Kuywa pombe ya aina yoyote unayotaka lakini lakini siyo ile inazoweza kukudhuru?

Everything in moderation - so yes, so long as it's harmless.

Same goes for autonomy and freedom.
 
Kwa hiyo, huyo waziri anayedaiwa kuzuia watu walionunua nyumba za Osterbay kuziuza atakuwa ametumia sheria gani kutoa hiyo amri?

Let alone, sidhani hata kama hizo nyumba ni listed.

Hiyo sheria inaweza kuwepo, kwa sababu za kimkataba tu ila sio general sheria

Ni kwamba serikali inamuuzia mtu wa O'bay au Masaki nyumba.

Na wanakubaliana kwamba nyumba hii nnayokuuzia hutapaswa kuiuza kwa mtu mwengine hadi walau baada ya miaka ishirini

Lakini sheria hiyo haitahusu nyumba ambazo hazijatoka kwa serikali

Nyumba za watu binafsi zitaendelea kuuzwa bila ya kuhusishwa na sheria hiyo
 
Everything in moderation - so yes, so long as it's harmless.

Same goes for autonomy and freedom.

But, whilst autonomy focuses more on positive liberty, freedom focuses on negative liberty.

Hili suala linawasumbua sana Waingereza. Zamani walikuwa na freedoms. For example, they didn't have such rights, as the right to privacy.

They didn't have the so called human rights, until they incorporated the European Convention on Human Rights into their domestic law.

Now, they're seeking to get out this and go back to negative liberty.
 
Well, some things are just not that easy because they are too complex and nuanced hence requiring a balancing act and that's where moderation fits in.
 
Back
Top Bottom