YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Hiyo sheria inaweza kuwepo, kwa sababu za kimkataba tu ila sio general sheria

Ni kwamba serikali inamuuzia mtu wa O'bay au Masaki nyumba.

Na wanakubaliana kwamba nyumba hii nnayokuuzia hutapaswa kuiuza kwa mtu mwengine hadi walau baada ya miaka ishirini

Nafikiri transaction kama hiyo itakuwa governed by the general principles of the law of contract.
 
Inashangaza kuona bado mpo mnaoamini kuwa nyumba ina thamani Dar tu. Kwahiyo mikoani mnashauri kusijengwe?

Mbona hoja zako hazina mashiko ZeMarcopolo? Nani kasema mkoani kusijengwe? Ina maana mikoani hakuna nyumba? Je nyumba kwako ni lazima ziwe apartments! Zaribu kuwauliza PSFP kwa nini hawakujenga apartments pale Shinyanga mjini katika mradi wao wa sasa? Au kwa nini PPF hawakujenga apartments kule Kiseke Mwanza au NSSF kule Kinyerezi? No research, no right to speak ZeMarcopolo, usipende kung'ang'ania hoja, kubali kuelimishwa mkuu, huwezi kujua kila kitu man!
 
Hivi mkuu sheria gani inayoruhusu kumuuzia mtu property na kumkataza kuiuza. Hii mbona iko unconstitutional?

Tuweke sawa hapa ZeMarcopolo na EMT! Zile nyumba za serikali ziliziuzwa kipindi kile wakati wa Maghufuli, Mh. Mkapa anamaliza muda wake, zilizwa kwa mkopo wa miaka25 (nilishiriki hili zoezi) na minajiri ya kwamba walioziwa hawaruhusiwi kufanya kuziuza mpaka baada ya miaka25! Katazo hilo lilienda sambamba na kuweka zuio kule kwa Registrar of Titles wizarani.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Inategemea una maana gani by the term "underdevelopment".

Kilichosabisha African underdevelopment ni complex issue, but Europe imechangia pia.

Whether or not hicho kitabu ni propaganda, inategemea na approach yako kwenye suala zima la uhusiano kati ya Europe na Afrika.

Basically, zipo three major views, Eurocentric approach, Afrocentric approach and historical approach.

Inadaiwa hiki kitabu ni baadhi ya vitabu vichache ambavyo at least vimejaribu kuangalia suala from the historical point of view.

Having said that Waafrika nao wamechangia na bado wanaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa tuu to their own underdevelopment. Maana tokea uhuru, we are still underdeveloping

Mkuu nimemsma sana Guyanese Walter Rodney, japo huu mjadala kama alivyosema ZeMarcopolo ni mada nyingine kubwa tu kwani suala la Europe ku-underdevelop Africa ama lah linategemea na wewe ni EURO-Centric au AFRO-Centric viewer, it is more of a debatable argument!
 
Last edited by a moderator:
Tuweke sawa hapa ZeMarcopolo na EMT! Zile nyumba za serikali ziliziuzwa kipindi kile wakati wa Maghufuli, Mh. Mkapa anamaliza muda wake, zilizwa kwa mkopo wa miaka25 (nilishiriki hili zoezi) na minajiri ya kwamba walioziwa hawaruhusiwi kufanya kuziuza mpaka baada ya miaka25! Katazo hilo lilienda sambamba na kuweka zuio kule kwa Registrar of Titles wizarani.

Hapo kwenye red ndivyo nilivyosikia pia.

Kama ziliuzwa kwa mkopo wa miaka 25 vipi kama aliyeuziwa akitaka kulipa mkopo nzima kabla ya hiyo miaka 25?

Atarudishiwa deeds zake ili aweze kuipiga bei nyumba?
 
Tumedandia treni kwa mbele tusubirie yaliyotokea Uk na US 2008 yatatokea karibuni tuu.
 
You are right Mkuu Kiranga, but we cant ignore Pre-Feasibility Study

Pre-feasibility study ya nani? Kwa manufaa ya nani? Na kama hutaki watu wa ignore pre-feasibility study, kwa nini wafuate ushauri wako?

Je wakisema kwamba wameangalia mbali na kugundua kwamba baadaye kutakuja habari za kuvunja majumba ya chini ili kujenga marefu, wakaamua kuanza na marefu kabisa kwa experience waliyopata sehemu ambazo kumebomolewa ya chini ili marefu yajengwe, utawaambiaje?

Wakikwambia wanatumia hela zao, na hupaswi kuwapangia jinsi ya kutumia hela zao kama vile ambavyo hupaswi kumkataza mtu anayenunua Maserati kwa hela zake Tanzania huku akijua barabara mbovu, hata kama anataka kuli park kama a museum piece, utawaambiaje?

If you agree that I am right, and that the market should dictate trends - so long as the buildings satisfies the building code of course- then kwa nini una deviate kwenye hiyo agreement kwa kutaka this "pre-feasibility study" i dictate trends?

The market is the best pre-feasibility study there is.

Waache wajenge mighorofa yao, kama kweli Watanzania hawapendi kukaa kwenye apartments na hawana purchasing power zitawadodea na wanaokuja watajifunza kwamba apartment is not the way to go.

Kama zinapendwa na market ipo, zitanunuliwa na wajenzi watapata incentive za kujenga zaidi.

Wewe ni nani mpaka utake ku dictate trends? Una authority gani ya ku replace what should be decided by market trends on top of satisfying building codes?
 
Naona mna wewe ni walewale ambao hamkuielewa vizuri hoja yangu? Eti nazuia watu wasijenge, Ooooooopss! Kutoa ushauri ni kuzuia? Pole sana mkuu! Na how do you know the market maana naona unajichanganya mwenyewe kwaniunakubali kwamba market is the best pre-feasibility study there is. Hivi umeambiwa majumba ya juu hayavuji kama ni suala la kuvuja, au hujui kuna kitu kinaitwa EXPANSION JOINTS?

Hoja yangu umeielewa vizuri Kiranga, maana naona unaongea kwa hasira as if mimi ni nimekuja na katazo, Who Am I?
 
Hapo kwenye red ndivyo nilivyosikia pia.

Kama ziliuzwa kwa mkopo wa miaka 25 vipi kama aliyeuziwa akitaka kulipa mkopo nzima kabla ya hiyo miaka 25?

Atarudishiwa deeds zake ili aweze kuipiga bei nyumba?

To be honest zile nyumba zilizwa bei rahisi sana maana maeneo kama Uganda Avenue, Oysterbay nyumba ndani ya eka moja mil34? halafu unaambiwa ulipe miaka25! Ninaamini wengi wao wangelipa hata full amount! Lakini kigezo ilikuwa watumishi wa serikali hawana pesa na hivyo kujitutumua kwako kulipa full amount kabla ya miaka25 ilijenga hofu ya kuto-qualify kupata nyumba
 
Naona mna wewe ni walewale ambao hamkuielewa vizuri hoja yangu?

Wewe mwenyewe hujielewi kama unatoa kauli au unauliza swali, utategemeaje wengine wakuelewe?

Eti nazuia watu wasijenge, Ooooooopss! Kutoa ushauri ni kuzuia?

Nani kakuomba ushauri? Una nini cha kukufanya wewe ndiwe uwe wa kutoa ushauri?

Pole sana mkuu! Na how do you know the market maana naona unajichanganya mwenyewe kwaniunakubali kwamba market is the best pre-feasibility study there is.

Hujaonesha nimejichanganya wapi.

Hivi umeambiwa majumba ya juu hayavuji kama ni suala la kuvuja, au hujui kuna kitu kinaitwa EXPANSION JOINTS?

Kwa nini nijenge halafu miaka ya baadaye niingie headaches za expansion wakati naweza kujenga kitu kikubwa sasa? Hususan kama demand ipo?

Hoja yangu umeielewa vizuri Kiranga, maana naona unaongea kwa hasira

Do not flater yourself, you do not posses the requisite level of intelligence to infuriate me.

as if mimi ni nimekuja na katazo, Who Am I?

You tell me, who are you?

Na hujajibu swali.

Kama mtu anataka kujenga kwa hela zake na hajakuuliza ushauri, unapata wapi kiherehere cha kujiteua kuwa mshauri?

Watu wakijenga apartments mikoani kwa hela zao tatizo lako ni nini hasa? Hujaeleza hili vizuri.
 
Acheni siasa kwenye biashara za watu. Wewe jenga yako unayoona inakufaa...

Wewe ndio unaleta siasa wenzio wanazungumzia masuala ya OPTIMAL LAND UTILIZATION!!! Sasa wewe buku 7 unafikiria mambo ya ubunge wa magamba Kilosa!!
 
"Mzungu" anasema first negro economy in Africa

Maana hao wengine ni Waarabu (wa North Afrika), apart from Liberia na Ethiopia ambazo kimsingi wanazuoni wengi wanasema hazikuwahi kuwa colonized (Kama hazijawahi kuwa chini ya mkoloni, zitapataje Uhuru?)

Na ndio maana hawazihesabu

Ukweli ni kwamba, hata kama watu wa hizo nchi ni Waarabu, nchi zao ziko barani Afrika pia na ndiyo maana hata kwenye muungano wa nchi za Afrika zina uanachama. Afrika nayo iko diverse. Siyo ya watu weusi tu.

Tunisia ilipata uhuru wake tarehe 20 mwezi Machi 1956. Na Jamhuri ya Sudan ilipata uhuru wake tarehe 1 mwezi wa Kwanza 1956 na AU inalitambua hilo kama waonyeshavyo kwenye tovuti yao hapa.
 
Wewe mwenyewe hujielewi kama unatoa kauli au unauliza swali, utategemeaje wengine wakuelewe?

Wengine wapi? Kiranga mko wangapi humu!

Nani kakuomba ushauri? Una nini cha kukufanya wewe ndiwe uwe wa kutoa ushauri?

Kumbe JF huwa inaomba kwanza watu ushauri?? Kwani jukwaa la JF liko kwa ajili ya nani au ni a kina Kiranga tu ndio wenye security of tenure ya JF? Unajibu hoja kwa ghadhabu sana mkuu hadi unajisahau, huu sio ubishi wa simba na yanga!

Hujaonesha nimejichanganya wapi.
Unaposema hatuhitaji pre-feasibility wakati huo huo unasema kama market ipo mtu ajenge tu, hiyo market unaijuaje? Na unaposema ati......"kwamba wameangalia mbali na kugundua kwamba baadaye kutakuja habari za kuvunja majumba ya chini ili kujenga marefu, wakaamua kuanza na marefu kabisa kwa experience waliyopata sehemu ambazo kumebomolewa ya chini ili marefu yajengwe, utawaambiaje?......" WATU WANAANGALIAJE MBALI?

Kwa nini nijenge halafu miaka ya baadaye niingie headaches za expansion wakati naweza kujenga kitu kikubwa sasa? Hususan kama demand ipo?

Ni kwa nini hutaki kukubali kwa umeikurupukia hoja yangu? Mimi nimeongelea institutional investors/parastatalswewe unajiongelea wewe wakati hukuwa target yangu! Hivi institutional investors/parastatals wanaweza kukurupuka bila kuangalia Town Planning Drawing na Survey Plans zimekaaje? Are you serious Kiranga? Eti headaches za expansion!! Inawezekana were in different boats!

Do not flater yourself, you do not posses the requisite level of intelligence to infuriate me.

Always learn to chew before you swallow, dont just jump the gun! Sometimes you can be a good observer! Lips are not necessarily to be unzipped irrationally

You tell me, who are you?
I am a JF MEMBER

Kama mtu anataka kujenga kwa hela zake na hajakuuliza ushauri, unapata wapi kiherehere cha kujiteua kuwa mshauri?

Watu wakijenga apartments mikoani kwa hela zao tatizo lako ni nini hasa? Hujaeleza hili vizuri.

Watu gani unawaogelea na mimi nimeogelea watu gani katika thread yangu, tatizo liko wapi mbona thread iko uchi kabisa, watu mnalazimisha vitu ambavyo sijaviandika?
 
Wewe ndio unaleta siasa wenzio wanazungumzia masuala ya OPTIMAL LAND UTILIZATION!!! Sasa wewe buku 7 unafikiria mambo ya ubunge wa magamba Kilosa!!

Kwahiyo kujenga nyumba za chini ndio optimal land utilization?
 
Mbona hoja zako hazina mashiko ZeMarcopolo? Nani kasema mkoani kusijengwe? Ina maana mikoani hakuna nyumba? Je nyumba kwako ni lazima ziwe apartments! Zaribu kuwauliza PSFP kwa nini hawakujenga apartments pale Shinyanga mjini katika mradi wao wa sasa? Au kwa nini PPF hawakujenga apartments kule Kiseke Mwanza au NSSF kule Kinyerezi? No research, no right to speak ZeMarcopolo, usipende kung'ang'ania hoja, kubali kuelimishwa mkuu, huwezi kujua kila kitu man!

Hupasi kuuliza maswali zaidi ya kutoa majibu kutetea hoja yako.

Twende kwenye mfano wa Chalinze.

Unasema Chalinze kujenga maghorofa was a bad decision. Sasa lets say pale Chalinze kuna apartments 30. Je, are you convinced that iwapo zingejengwa nyumba za chini 30 katika eneo lilelile ingekuwa ni better decision? why?

Je, kuna nini kinachokosekana sasa hivi kwenye maghorofa ya Chalinze ambacho kingepatikana iwapo zingekuwa ni nyumba za chini?

Nguzo ngapi za umeme zingehitajika kusambaza umeme kwenye nyumba 30?

Mita ngapi za mabomba zingehitajika?

How much more sq. m. of land zingehitajika in comparison to ghorofa?

Gharama za ulinzi wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi zingeongezeka kiasi gani?

Kama unajiita expert inatakiwa uwe na uwezo wa kujibu hoja na maswali na sio kuuliza maswali ambayo kimsingi wewe ndiye unayetakiwa kujibu. Ingawa research uliyojifunza imekwambia asilimia 50 ndio limit of statistical significance lakini inabidi ufanye revision kwa sababu inawezekana aliyekufundisha hivyo alikuwa anamaanisha kwenye uchaguzi wa viongozi wa kisiasa.

Nchi yetu ina wananchi mil. 45! Ukiwa na product inayopendwa asilimia 10 tu ya raia/wakazi wanaoweza kumudu kuinunua basi una potential customers mil. 4.5. Hawa ni wengi kuliko mara mbili ya population ya Namibia. Kwahiyo inabidi ujifunze kufikiria kwamba unapokuja JF hauji kufundisha watu, ila unakuja kujadili. Kuwa tayari kutoa na kupokea taarifa. Mawazo yako yako kijamaa kwamba mtu anayejenga nyumba inabidi atarget watanzania wote mil. 45. You dont need wateja mil. 45. Just potential customes laki tano tu wanatosha kufanya biashara ya nyumba iwe na mafanikio. Kwahiyo cha msingi ni kuidentify what exactly they need na kujua jinsi ya kukimarket.

Ngoja nikuulize swali la nyongeza. Hivi unajua kuwa watu wangapi sasa hivi wako Marekani, Canada, Ulaya, Australia, Japan, America ya Kusini na Asia ambao wanataka kupangisha nyumba Katavi? Ukiona watu hawaji Katavi au SImiyu kutoka kwenye nchi hizo usifikiri kuwa hawana demand ya kuja, kuna uwezekano wengi wameahirisha kuja simply because hakuna apartments au kwa sababu hakuna satisfactory information/marketing on the internet about those places!!!

You need to widen your vision...
 
Wengine wapi? Kiranga mko wangapi humu!

Legion like the demons across from Capernaum
Exposing closet communism like Applebaum
Yet individual, neither borg nor doppelganger
No false pretence like Carlos Danger

Wengine wote wa JF. Did you look at what you wrote? Was that a statement or a question? Do you know the difference between a statement and a question? Do you know the bare basics of writing?

Kumbe JF huwa inaomba kwanza watu ushauri??

JF ni nani? Ina mapembe? Miguu je? Mingapi?

Kwani jukwaa la JF liko kwa ajili ya nani

JF ipo kwa ajili ya wote, ndiyo maana when you come you better come correct kwa sababu utaulizwa chochote na yeyote. Sasa wewe hujatujibu kwa nini watu waache kufuatilia market forces na wakusikilize wewe. Sijaona jibu la swali hili bado.

au ni a kina Kiranga tu ndio wenye security of tenure ya JF?

I consider tenure and what it offers as intellectual insecurity, not security.By virtue of my stoic adherence to facts and not some ancient cursus honorum. If you would take the trouble to read my post you would see that.

Unajibu hoja kwa ghadhabu sana mkuu hadi unajisahau, huu sio ubishi wa simba na yanga!

Ghadhabu yangu hujaiona bado kwa sababu huna posts zenye akili inayotakiwa kunigadhibisha. Na kati yangu niliyekuuliza kwa nini tukusikilize wewe badala ya the forces of the market on the ground na wewe ambaye hujajibu maswali ila umerukia ad hominem attacks, nani anaendekeza ushabiki hapa?

Unaposema hatuhitaji pre-feasibility wakati huo huo unasema kama market ipo mtu ajenge tu, hiyo market unaijuaje?

Kwa kujenga na kuangalia reaction. Biashara yoyote ina involve risk.You can write all you want, lakini huwezi kujua ukweli mpaka ujenge na kuangalia reaction ya market. Kamsome Schwarzenneger katika "Total Recall" anavyozungumzia the challenges of starting a real estate venture with overanalyzing prospects. Schwarzenneger angetaka kupata a sure deal asingekuwa the real estate mogul he is today. Kwa nini unakataa watu ku test the waters wakati hamna hata research ya maana ya kujua purchasing power ikoje katika nchi ambayo the forces of the informal and unmeasurable economy are as big as those of the formal one, if not even bigger?

Na unaposema ati......"kwamba wameangalia mbali na kugundua kwamba baadaye kutakuja habari za kuvunja majumba ya chini ili kujenga marefu, wakaamua kuanza na marefu kabisa kwa experience waliyopata sehemu ambazo kumebomolewa ya chini ili marefu yajengwe, utawaambiaje?......" WATU WANAANGALIAJE MBALI?

Kwa kuangalia inevitable growth trends. Angalia picha ya downtown Dar 1963 na 2013. Just because you are myopic, do not think everyone is just as myopic as yourself.

Ni kwa nini hutaki kukubali kwa umeikurupukia hoja yangu?

Hujanionesha ni kwa nini nikubali.

Hujanionesha ni kwa nini wewe una authority kuliko nguvu za soko.

Mimi nimeongelea institutional investors/parastatalswewe unajiongelea wewe wakati hukuwa target yangu!

Unajuaje kwamba mimi si institutional investor? Hunijui lakini ushanihukumu kwamba mimi si institutional investor.

Unajuaje kwamba sina interests zangu katika parastatals zinazonipa sababu ya kuongelea hili?

Wapi umesema kwamba unaongelea institutional investors na parastatals katika original post yako? Umeongelea "including institutional investors and parastatals", does that exclude the rest? Throughout my post nime stress kuonesha kwamba nime base kwenye watu "wanaotumia hela zao", hujaliona hilo?

Au unataka watu waingie kichwani mwako na ku divine?

Hivi institutional investors/parastatals wanaweza kukurupuka bila kuangalia Town Planning Drawing na Survey Plans zimekaaje? Are you serious Kiranga? Eti headaches za expansion!! Inawezekana were in different boats!

What has that got to do with building apartments? Nimeongelea adherence to the building code hapo juu. I respect planning and adherence to the building code.

Kuna mahala apartments zinakatazwa na hiyo planning na codes watu wakajenga apartments kinyume na hiyo planning na code? Tutajie.Maana if this is your issue then you failed to express yourself.

Always learn to chew before you swallow,

I can hardly chew where there is nothing but thin air, not even algae or aerial bacteria.

dont just jump the gun!

Talking about the gun while you don't even have a catapult.

Sometimes you can be a good observer!

A skill you obviously lack, you can't even observe the market and base your input on that observation. At least I do caution that we defer to the forces of the market.

Lips are not necessarily to be unzipped irrationally

Your unfounded conclusion, whose interests are not fully understood, are the number one irrational entity in this thread.

I am a JF MEMBER

You need more than that to influence some of us, you need to exercise your brain membranes.

Watu gani unawaogelea na mimi nimeogelea watu gani katika thread yangu, tatizo liko wapi mbona thread iko uchi kabisa, watu mnalazimisha vitu ambavyo sijaviandika?

Kama hamna tatizo umeandika kutoa ushauri wa nini sasa?
 
Hupasi kuuliza maswali zaidi ya kutoa majibu kutetea hoja yako.

Twende kwenye mfano wa Chalinze.

Unasema Chalinze kujenga maghorofa was a bad decision. Sasa lets say pale Chalinze kuna apartments 30. Je, are you convinced that iwapo zingejengwa nyumba za chini 30 katika eneo lilelile ingekuwa ni better decision? why?

Je, kuna nini kinachokosekana sasa hivi kwenye maghorofa ya Chalinze ambacho kingepatikana iwapo zingekuwa ni nyumba za chini?

Nguzo ngapi za umeme zingehitajika kusambaza umeme kwenye nyumba 30?

Mita ngapi za mabomba zingehitajika?

How much more sq. m. of land zingehitajika in comparison to ghorofa?

Gharama za ulinzi wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi zingeongezeka kiasi gani?

Kama unajiita expert inatakiwa uwe na uwezo wa kujibu hoja na maswali na sio kuuliza maswali ambayo kimsingi wewe ndiye unayetakiwa kujibu. Ingawa research uliyojifunza imekwambia asilimia 50 ndio limit of statistical significance lakini inabidi ufanye revision kwa sababu inawezekana aliyekufundisha hivyo alikuwa anamaanisha kwenye uchaguzi wa viongozi wa kisiasa.

Nchi yetu ina wananchi mil. 45! Ukiwa na product inayopendwa asilimia 10 tu ya raia/wakazi wanaoweza kumudu kuinunua basi una potential customers mil. 4.5. Hawa ni wengi kuliko mara mbili ya population ya Namibia. Kwahiyo inabidi ujifunze kufikiria kwamba unapokuja JF hauji kufundisha watu, ila unakuja kujadili. Kuwa tayari kutoa na kupokea taarifa. Mawazo yako yako kijamaa kwamba mtu anayejenga nyumba inabidi atarget watanzania wote mil. 45. You dont need wateja mil. 45. Just potential customes laki tano tu wanatosha kufanya biashara ya nyumba iwe na mafanikio. Kwahiyo cha msingi ni kuidentify what exactly they need na kujua jinsi ya kukimarket.

Ngoja nikuulize swali la nyongeza. Hivi unajua kuwa watu wangapi sasa hivi wako Marekani, Canada, Ulaya, Australia, Japan, America ya Kusini na Asia ambao wanataka kupangisha nyumba Katavi? Ukiona watu hawaji Katavi au SImiyu kutoka kwenye nchi hizo usifikiri kuwa hawana demand ya kuja, kuna uwezekano wengi wameahirisha kuja simply because hakuna apartments au kwa sababu hakuna satisfactory information/marketing on the internet about those places!!!

You need to widen your vision...

Toa shule watu waondoe ukoko wa mawazo ya mwaka 1947.

At this point, one would be excused to think that this self appointed "expertbroker" joke is a redundant disillusioned ex-army barrack gun cum smalltime broker wannabee who is bitter because people with money and larger projects are taking away all his business prospects.

It's not like we haven't given him an opportunity to refute this circumstantial notion.
 
Back
Top Bottom