Yesu alikula na kunywa na walevi, Je, Rais Samia anatumia Falsafa hii?

Kwa hiyo JK ni jembe siyo jembe?
 
Hua sipendi watu wa kawaida kuwafananisha na manabii. Manabii ni level zingine mtu wa kawaida hata kama akawaje hawezi fikia level hiyo.

Tuwasifu na kiwasifia lakini tusiwalandanishe na manabii
 
Hua sipendi watu wa kawaida kuwafananisha na manabii. Manabii ni level zingine mtu wa kawaida hata kama akawaje hawezi fikia level hiyo.

Tuwasifu na kiwasifia lakini tusiwalandanishe na manabii

Wapi kafananishwa??
 
Hua sipendi watu wa kawaida kuwafananisha na manabii. Manabii ni level zingine mtu wa kawaida hata kama akawaje hawezi fikia level hiyo.

Tuwasifu na kiwasifia lakini tusiwalandanishe na manabii

Ukisoma uelewe pia
 
Kwa hiyo waisilamu na wakristo wapo Tanzania tu hapa ulimwenguni?

Sidhani Kama ungeweza muuliza swali Kama Hilo.

Mimi ni Mkristo lakini inashangaza kuona Viongozi wakiislam wakituacha Kwa gap kubwa la kiuongozi wanapochukua Madaraka.

Niliwahi kuandika Uzi wa namn hiyo mwaka Jana Mods wakaufuta
 
Kusema ukweli mama kayushika pabaya,hoja tuliyobaki nayo ni Mikutano ya siasa kupigwa pini.
 
Kwani tuna awamu ngapi? utalaamu wako hauna maana yoyote ndiyo matokeo ya elimu yetu mbovu inatoa watalaamu wabovu.
Ni vigumu kuelewa concept ya utafiti kama hukupita elimu ya juu. Tutakuwa tunapishana lakini sababu iliyo dhahiri ni gap la uelewa lililopo. Tangu lini idadi ya marais ikawakilisha waumini wote? Yaani marais sita ndio wabebe conclusion kwamba 'wakristu wako hivi na waisilamu wako vile'? Ajabu! Endelea kujivunia ujinga kama wafanyavyo Msukuma na Kibajaj
 
Mpuuzi wewe na elimu yako ya juu ambayo haina manufaa hata kwenye familia yako, siku ukifa hao watoto wako watarithi hayo makaratasi yako ya kijinga? dunia ya leo siyo ya kujisifia elimu ya juu mpuuzi wewe, Lipumba na Msukuma nani wenye manufaa kwa taifa? siku Msukuma akifa ataacha mali watu watafaidi Lipumba ataacha hizo degree zake 4 warithi ndugu zake? Hizo ni sifa za kijinga huko kijijini kwenu kawatishie mpuuzi wewe. Huelewi hata maana ya sampling, tafuta pesa jomba acha sifa za kijinga mpuuzi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…