Acha upotoshaji, kwa hiyo mwanamke aliyeacha nyumba (kwa upotoshaji wako mume) atapewa waume 100 mbinguni wamkamue?
Kwa hiyo injili inawahusu wanaume tu? Au tukifika hapo tuseme this is only for men chapter?Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Hapo hapakuwa na mwanamke alikuwa anaongea na wanaume
Na alikuwa anamjibu Petro swali alilouliza
Yesu anasema kama kama uliacha Nyumba Moja ukamfuata utapata 100Kwa hiyo injili inawahusu wanaume tu? Au tukifika hapo tuseme this is only for men chapter?
Mchungaji wenu Ndo alivowafundisha hivo nini mkuu?
Endelea kuitafsiri biblia kwa maana zako lakini! Good luck
Unafurahisha sana chief. Kwa wanawake hawamiliki nyumba?Yesu anasema kama kama uliacha Nyumba Moja ukamfuata utapata 100
Mmiliki wa Nyumba ni mwanamume sio mwanamke
Bro mbona kama unapinga hivi Maneno ya Yesu
Vipi hautaki kumfuata Yesu Ili upate hao mabikira 100
Au Yesu alikuwa Muongo
Jamaa anaforce ππPale unapoforce Biblia ifanane na kitabu chako matokeo yake ndio haya.
Kwa hiyo injili inawahusu wanaume tu? Au tukifika hapo tuseme this is only for men chapter?
Mchungaji wenu Ndo alivowafundisha hivo nini mkuu?
Endelea kuitafsiri biblia kwa maana zako lakini! Good luck
Unafurahisha sana chief. Kwa wanawake hawamiliki nyumba?
Nyie Kama mnapewa mabikira wenu 72 wewe wawahi kabla hawajaisha.
Nenda kasome luka 20, mstari wa 34-36
βYesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.β
ββLkβ¬ β20β¬:β34β¬-β36β¬ βSUVβ¬β¬
Mkuu hili jibu lako m-quote huyo shekhe mwanzisha mada.Biblia baitafsiriwi kijinga hivyo.
Neno la Mungu lipo wazi:
Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa kwani nyote mtafanana na malaika. Biblia siyo kama Quran ambayo imeendekeza mambo ya ngono, kuanzia mtume wao, ni mambo ya ngono tu.
Soma vifungu vifuatavyo ili usirudie tena kuifananisha Biblia na mambo ya Quran:
- [Mat 22:30]: "...kwa maana katika ufufuo hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni."
- [Mark 12:25]: "Kwa maana wafufukapo katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; bali huwa kama malaika walio mbinguni."
- [Luka 20:34-36]: "...watu wa dunia hii huoa na kuolewa... lakini wale watakaohesabiwa kuwa wanastahili kuufikia ulimwengu ule... hawaoi wala hawaolewi..."
Mbina umeweka neno lako ambalo hatulioni kwenye andikoMathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa na mke 1 hapa Duniani na ukamfuata Yesu basi peponi atapata wake 100
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Umeona neno "Na" hapo . Ni kiunganishi.atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele
Ushauri umepokelewa.Mkuu hili jibu lako m-quote huyo shekhe mwanzisha mada.
Anawaonea wivu Wakristo kuwa wao hawatepewa mabikira 72 Kama wao, now anataka Wakristo wapewe 100 kabisa.