Yesu anasema watakao mafuta watapata mabikira 100 peponi

Yesu anasema watakao mafuta watapata mabikira 100 peponi

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa na mke 1 hapa Duniani na ukamfuata Yesu basi peponi atapata wake 100

Biblia haitafsiriwi kijinga hivyo.

Neno la Mungu lipo wazi:
Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa kwani nyote mtafanana na malaika. Biblia siyo kama Quran ambayo imeendekeza mambo ya ngono, kuanzia mtume wao, ni mambo ya ngono tu.

Soma vifungu vifuatavyo ili usirudie tena kuifananisha Biblia na mambo ya Quran:
  • [Mat 22:30]: "...kwa maana katika ufufuo hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni."
  • [Mark 12:25]: "Kwa maana wafufukapo katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; bali huwa kama malaika walio mbinguni."
  • [Luka 20:34-36]: "...watu wa dunia hii huoa na kuolewa... lakini wale watakaohesabiwa kuwa wanastahili kuufikia ulimwengu ule... hawaoi wala hawaolewi..."
 
Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?

Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.

Hapo hapakuwa na mwanamke alikuwa anaongea na wanaume
Na alikuwa anamjibu Petro swali alilouliza
Na hapo inaonesha sisi wa makabila mengine duniani hiyo hukumu haitotuhusu. Itawahusu kabila 12 za Israel.
 
Hebu soma taratibu na mara 2 au 3.

Hasa mstar huu ambao ndio umejengea hoja yako👇👇👇


Umeona neno "Na" hapo . Ni kiunganishi.
ina Maana ni vitu viwili atapata.
1. Ni atapokea mara mia.
2. Atarithi ufalme wa Milele.

Na sio kuwa atapewa kila kitu mara 100 akiwa kwenye huo Ufalme wa Milele.😂😂😂😂

Umesoma neno na haujalielewa.
Na kupewa mara 100 ni ukiwa hapa hapa duniani.

Na pia ukitaka ufafanuzi wa kuacha nyumba na ndugu zako na kumfuata Yesu. Nitakufafanulia pia.

Hoja yako ingekuwa na mashiko kama ingesema
"Watapea mara mia huko kwenye uzima wa milele"
Nyinyi wagalatia mnafurahisha sana pale mnapopingana na Maneno ya Yesu

Watapokea mara 100 hao mabikira Kisha watarithi uzima wa milele s

Sasa hapo shida ipo wapi maana ungeweza kupewa mabikira 100 Kisha ukaenda Jahanam ingekuwa Haina faida ndio maana hapo Yesu akamalizia utapokea mabikira 100 na utaingia peponi

Hapo Yesu alikuwa anaongea maisha ya Baada ya ulimwengu huu

Na kama unasema alikuwa anaongelea mambo ya hapa Duniani lete ushahidi

Ni andiko gani hao waliomfuata Yesu walipata hizo Nyumba 100 hapa Duniani?

Au unataka kusema Yesu alikuwa anawadanganya wanafunzi wake?
 
Wabilah Taofiq
20260224_153414.jpg

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa na mke 1 hapa Duniani na ukamfuata Yesu basi peponi atapata wake 100
 
Mimi ni mkristo ila kwa swala la bikra 72 na mito ya pombe Niko na ndungu zangu waislam.Tumsifu Allah
20260417_175635.jpg

Very correct.
Hawa watu, kwa vile Quran na mtume wake, imejaa mambo ya ngono, wanalazimisha na biblia iwe hivyo.
Quran imejaa uwongo mwingi, lengo ilikuwa ni kuwapata watu kupitia tabia zao. Ili kuwahadaa wapenda ngono, wakaambiwa wakifa watapokelewa na mabikira 72. Ili kuwapata walevi na wapenda pombe, wakawahadaa kuwa wakifa watakutana na mito ya pombe, ukitaka ni kuchota tu! Na watu kwa kunyimwa maarifa, wanaamini.!
 
Nyinyi wagalatia mnafurahisha sana pale mnapopingana na Maneno ya Yesu

Watapokea mara 100 hao mabikira Kisha watarithi uzima wa milele s

Sasa hapo shida ipo wapi maana ungeweza kupewa mabikira 100 Kisha ukaenda Jahanam ingekuwa Haina faida ndio maana hapo Yesu akamalizia utapokea mabikira 100 na utaingia peponi

Hapo Yesu alikuwa anaongea maisha ya Baada ya ulimwengu huu

Na kama unasema alikuwa anaongelea mambo ya hapa Duniani lete ushahidi

Ni andiko gani hao waliomfuata Yesu walipata hizo Nyumba 100 hapa Duniani?

Au unataka kusema Yesu alikuwa anawadanganya wanafunzi wake?

una uelewa mdogo.
Hebu Rudia kusoma huo mstar.
Kasema mnapewa mara mia na kurithi ufalme.

Ni mambo mawili.

Sasa kupewa mara mia ni ridhik za hapa duniani .
Alaf Ni kama alivyosema samehe ndugu yako saba mara sabini.

kwahiyo je ikifika zaid ya hapo usimsamehe?.
 
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa na mke 1 hapa Duniani na ukamfuata Yesu basi peponi atapata wake 100
Kulikuwa na haja gani ya kuonesha upumbavu wako?
 
una uelewa mdogo.
Hebu Rudia kusoma huo mstar.
Kasema mnapewa mara mia na kurithi ufalme.

Ni mambo mawili.

Sasa kupewa mara mia ni ridhik za hapa duniani .
Alaf Ni kama alivyosema samehe ndugu yako saba mara sabini.

kwahiyo je ikifika zaid ya hapo usimsamehe?.
Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Mmezoea kudanganyana Kuna ridhiki ya duniani hapo?

Hapo Yesu aliulizwa kuhusu Maisha ya Baada ya Dunia hii na akatoa majibu yanayohusu maisha Baada ya Dunia hii
 
Pale unapoforce Biblia ifanane na kitabu chako matokeo yake ndio haya.
ni sahihi alipoulizwa juu ya hili alijibu mbinguni HAKUNA KUOA WALA KUOLEWA

Lk 20:34-36

Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika,
 
Back
Top Bottom