Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa na mke 1 hapa Duniani na ukamfuata Yesu basi peponi atapata wake 100
Na hapo inaonesha sisi wa makabila mengine duniani hiyo hukumu haitotuhusu. Itawahusu kabila 12 za Israel.Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.
Hapo hapakuwa na mwanamke alikuwa anaongea na wanaume
Na alikuwa anamjibu Petro swali alilouliza
Nyinyi wagalatia mnafurahisha sana pale mnapopingana na Maneno ya YesuHebu soma taratibu na mara 2 au 3.
Hasa mstar huu ambao ndio umejengea hoja yako👇👇👇
Umeona neno "Na" hapo . Ni kiunganishi.
ina Maana ni vitu viwili atapata.
1. Ni atapokea mara mia.
2. Atarithi ufalme wa Milele.
Na sio kuwa atapewa kila kitu mara 100 akiwa kwenye huo Ufalme wa Milele.😂😂😂😂
Umesoma neno na haujalielewa.
Na kupewa mara 100 ni ukiwa hapa hapa duniani.
Na pia ukitaka ufafanuzi wa kuacha nyumba na ndugu zako na kumfuata Yesu. Nitakufafanulia pia.
Hoja yako ingekuwa na mashiko kama ingesema
"Watapea mara mia huko kwenye uzima wa milele"
Na kurithi ufalme wa milele akiwa huko Mbinguni.Na kupewa mara 100 ni ukiwa hapa hapa duniani
Acha kupotosha maandiko matakatifu matako weweAu unataka kusema Yesu alikuwa anawadanganya wanafunzi wake?
Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa na mke 1 hapa Duniani na ukamfuata Yesu basi peponi atapata wake 100
Very correct.
Hawa watu, kwa vile Quran na mtume wake, imejaa mambo ya ngono, wanalazimisha na biblia iwe hivyo.
Quran imejaa uwongo mwingi, lengo ilikuwa ni kuwapata watu kupitia tabia zao. Ili kuwahadaa wapenda ngono, wakaambiwa wakifa watapokelewa na mabikira 72. Ili kuwapata walevi na wapenda pombe, wakawahadaa kuwa wakifa watakutana na mito ya pombe, ukitaka ni kuchota tu! Na watu kwa kunyimwa maarifa, wanaamini.!
Nyinyi wagalatia mnafurahisha sana pale mnapopingana na Maneno ya Yesu
Watapokea mara 100 hao mabikira Kisha watarithi uzima wa milele s
Sasa hapo shida ipo wapi maana ungeweza kupewa mabikira 100 Kisha ukaenda Jahanam ingekuwa Haina faida ndio maana hapo Yesu akamalizia utapokea mabikira 100 na utaingia peponi
Hapo Yesu alikuwa anaongea maisha ya Baada ya ulimwengu huu
Na kama unasema alikuwa anaongelea mambo ya hapa Duniani lete ushahidi
Ni andiko gani hao waliomfuata Yesu walipata hizo Nyumba 100 hapa Duniani?
Au unataka kusema Yesu alikuwa anawadanganya wanafunzi wake?
Kulikuwa na haja gani ya kuonesha upumbavu wako?Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa na mke 1 hapa Duniani na ukamfuata Yesu basi peponi atapata wake 100
Mathayo 19:27una uelewa mdogo.
Hebu Rudia kusoma huo mstar.
Kasema mnapewa mara mia na kurithi ufalme.
Ni mambo mawili.
Sasa kupewa mara mia ni ridhik za hapa duniani .
Alaf Ni kama alivyosema samehe ndugu yako saba mara sabini.
kwahiyo je ikifika zaid ya hapo usimsamehe?.
ni sahihi alipoulizwa juu ya hili alijibu mbinguni HAKUNA KUOA WALA KUOLEWAPale unapoforce Biblia ifanane na kitabu chako matokeo yake ndio haya.