Yesu hakua na uwezo wa kupaa

Yesu hakua na uwezo wa kupaa

KIDO123

Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
18
Reaction score
29
Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
 
Wadau wa jf kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa yesu kuwa ni mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.

Umeshiba ftari utatafuta ya rohoni sio?
 
Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
Tuseme ndio hivyo kama ulivyo sema , umepungukiwa nini au umeongezekewa nini
 
Mmepigwa na kitu kizito. Njama za kuwateka akili tu. Huyo mwenyewe hajawahi kuwepo. Yaani mtu ana miaka 20, anamuaminisha mtu wa miaka 80 uwepo wa vitu ambavyo inasemekana ni vya miaka zaidi ya elfu 2000
 
Yaani Yesu ili kuwaonyesha watu kwamba ana uwezo wa kupaa aliita watu viwanja vya jangwani halafu akapaa ili awaoneshe kwamba anaweza
 
Ĺ
Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
Hili suala linahitaji akili nyingi kuling'amua na sisuala la kuwaza ngono tu juu ya mabikira 72 ilhali wanawake wao wametengwa haijulikana nao kama watakutana na Mishababi yenye mpini wa punda au la.
 
Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
elewa tu hivyo kwanza
 
Back
Top Bottom