Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 261
- 395
Atapokelewa na baba Nisha wa ArushaAnakuja lini mkuu, ili tuwe tayari kumpokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapokelewa na baba Nisha wa ArushaAnakuja lini mkuu, ili tuwe tayari kumpokea
Ni wazi kwa Wayahudi mpaka sasa wanaamini Yesu/masiha hajarudi,lakini ipo hivyo kwa mapenzi yake Mungu,hawa Wayahudi watapewa neema ya kutubu na Mungu siku ambayo Yesu atarudi kule Israel kuamua vita ya almagedoni na wataokolewa,sisi wengine tumepewa neema hiyo sasa hivi ajabu ni kwamba watakuja kugundua Yesu alikuja muda na wao ndio waliomchoma lakini watatubu na watasamehewa.Kuna wengine wana mashaka hata kama alikuja..., Wayahudi kwa kuwa wanapokea kibano cha muda mrefu na kuambiwa kwamba atakuja Messiah kuwakomboa wengine walikuwa dissapointed sana Messiah huyu kusulubiwa hivyo kibano kuendelea kama awali...
I might be wrong au huenda nimekosea historical facts...
Kwahio ana upendeleo wa kuwaonyesha neema wengine na kuwaficha wengine ili aje awachome ?Ni wazi kwa Wayahudi mpaka sasa wanaamini Yesu/masiha hajarudi,lakini ipo hivyo kwa mapenzi yake Mungu,hawa Wayahudi watapewa neema ya kutubu na Mungu siku ambayo Yesu atarudi kule Israel kuamua vita ya almagedoni na wataokolewa,sisi wengine tumepewa neema hiyo sasa hivi ajabu ni kwamba watakuja kugundua Yesu alikuja muda na wao ndio waliomchoma lakini watatubu na watasamehewa.
10 Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimchoma; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.
Zekaria 12:10
Njaa tu inakusumbua, dunia itafika mwisho tu, sababu nyota zote hufa kwa kulipuka, hata jua letu litalipuka…,Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Basi mpendwa wangu wokovu kuupata si kazi ngumu kama unavyodhani kazi yako ni moja tu,kumkiri Yesu kwa kinywa chako sawasawa na maelekezo yaliyopo kwenye neno la Mungu hili;
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Warumi 10:8
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10:9
Ikiwa unataka kuokoka omba sara hii kwa imani;
Ee Bwana Yesu!naomba unisamehe dhambi zangu,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu,andika jina langu kwenye kitabu cha uzima wa milele,nakupokea ndani ya moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen!
Ikiwa umeomba sara hii nakuhakikishia umekuwa mwana wa Mungu kwa kuzaliwa kwa mara ya pili kwa njia ya Yesu Kristo.Kuanzia sasa umeokoka,Yesu anasema usitende dhambi tena,nenda kwenye kanisa lolote waambie niliokoka JamiiForum watakusaidia kuukulia wokovu na hakika utamwona Mungu duniani na Mbinguni,Ubarikiwe nimekuandikia haya yote kwa pendo la Mungu.
Ndivyo unavyodanganywa, kujidanganya, na kutaka kutudanganya nasi? Wote waliambiwa hivyo. Wamekufa wakingojea kama utakavyofanya.Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Basi mpendwa wangu wokovu kuupata si kazi ngumu kama unavyodhani kazi yako ni moja tu,kumkiri Yesu kwa kinywa chako sawasawa na maelekezo yaliyopo kwenye neno la Mungu hili;
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Warumi 10:8
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10:9
Ikiwa unataka kuokoka omba sara hii kwa imani;
Ee Bwana Yesu!naomba unisamehe dhambi zangu,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu,andika jina langu kwenye kitabu cha uzima wa milele,nakupokea ndani ya moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen!
Ikiwa umeomba sara hii nakuhakikishia umekuwa mwana wa Mungu kwa kuzaliwa kwa mara ya pili kwa njia ya Yesu Kristo.Kuanzia sasa umeokoka,Yesu anasema usitende dhambi tena,nenda kwenye kanisa lolote waambie niliokoka JamiiForum watakusaidia kuukulia wokovu na hakika utamwona Mungu duniani na Mbinguni,Ubarikiwe nimekuandikia haya yote kwa pendo la Mungu.
Kwa hiyo mnaomhubiri Yesu mnapingana hadi kuwe na mhubiri pumba na mhubiri mçhele?Ndugu umepewa uwezo wa kuchambua pumba na mchele,ni wewe kuchagua kati ya Geor davie na hiki nilichoandika kipi ni pumba na kipi ni mchele.
Amina.
Ubarikiwe, Mungu akutie nguvu,uendelee kufanya KAZI ya Mungu shambani mwake maana mavuno ni mengi, watendakazi ni
Amina mtumishi mwenzangu tuhubiri injili kila tupatapo nafasi,maana muda hautusubiri.Amina.
Ubarikiwe, Mungu akutie nguvu,uendelee kufanya KAZI ya Mungu shambani mwake maana mavuno ni mengi, watendakazi ni Wachache.
Hakuna cha kufunilliwa bali utapeli kama ule wa paulo na wengine wengi wanaojifanya kutenda miujiza zaidi ya wizi mtupu.Sawa,sio wote wanajariwa kufunuliwa neema ya wokovu.
Amen! Hallelujah! Amen...Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Basi mpendwa wangu wokovu kuupata si kazi ngumu kama unavyodhani kazi yako ni moja tu,kumkiri Yesu kwa kinywa chako sawasawa na maelekezo yaliyopo kwenye neno la Mungu hili;
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Warumi 10:8
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10:9
Ikiwa unataka kuokoka omba sara hii kwa imani;
Ee Bwana Yesu!naomba unisamehe dhambi zangu,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu,andika jina langu kwenye kitabu cha uzima wa milele,nakupokea ndani ya moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen!
Ikiwa umeomba sara hii nakuhakikishia umekuwa mwana wa Mungu kwa kuzaliwa kwa mara ya pili kwa njia ya Yesu Kristo.Kuanzia sasa umeokoka,Yesu anasema usitende dhambi tena,nenda kwenye kanisa lolote linaloamini wokovu waambie niliokoka JamiiForum watakusaidia kuukulia wokovu na hakika utamwona Mungu duniani na Mbinguni,Ubarikiwe nimekuandikia haya yote kwa pendo la Mungu.
Hakika yu malangoni,tujiandaeni wapendwa.Amen! Hallelujah! Amen...
Naaam! ...Kama Neno lake lisemavyo...."KIla jicho litamuona (Mawinguni akishuka akiwa na jeshi kubwa la Malaika na akiwa katika utukufu mkubwa)....Kila goti litapigwa...Na Kila Ulimi utamkiri kuwa ni "Bwana Mwokozi"! Amen.
Neno la Bwana ni upanga wa roho (wenye makali na ufyekao kuwili), na ni hazina yenye utajiri mkubwa. Neno lake limekwa wazi ili watu waijue kweli, na kweli iweze kuwaweka huru. Kila alishikaye neno lake na amri zake ataokoka kuepuka ile hukumu. Na neno lake litawekwa wazi hata ile siku ya hukumu. Hivyo kila ali puuzaye neno lake na amri zake atahukumiwa.
Neno lake lipo na lilikuwepo kabla hata ya kuundwa kwa misingi ya ulimwengu (dunia), hivyo maandiko yanahitimisha kuwa mbingu na nchi zitapita lakini (neno) lake halitapita kamwe pasipo yote "Ukamilifu wa dahari" kutimia.
Aaai...Yah ! Yah! Yah!....Hey! Don't ignite me (the fire of the Holly spirit) and make me start preaching on this forum🙂 without a permit🙂....Hamnisikii mimi...Wacheni Nipite🙂