Yesu Kristo anarudi

Ni wazi kwa Wayahudi mpaka sasa wanaamini Yesu/masiha hajarudi,lakini ipo hivyo kwa mapenzi yake Mungu,hawa Wayahudi watapewa neema ya kutubu na Mungu siku ambayo Yesu atarudi kule Israel kuamua vita ya almagedoni na wataokolewa,sisi wengine tumepewa neema hiyo sasa hivi ajabu ni kwamba watakuja kugundua Yesu alikuja muda na wao ndio waliomchoma lakini watatubu na watasamehewa.
10 Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimchoma; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.
Zekaria 12:10
 
Amina.

Ubarikiwe, Mungu akutie nguvu,uendelee kufanya KAZI ya Mungu shambani mwake maana mavuno ni mengi, watendakazi ni Wachache.
 
Kwahio ana upendeleo wa kuwaonyesha neema wengine na kuwaficha wengine ili aje awachome ?
 
Njaa tu inakusumbua, dunia itafika mwisho tu, sababu nyota zote hufa kwa kulipuka, hata jua letu litalipuka…,
 
Ndivyo unavyodanganywa, kujidanganya, na kutaka kutudanganya nasi? Wote waliambiwa hivyo. Wamekufa wakingojea kama utakavyofanya.
 
Ndugu umepewa uwezo wa kuchambua pumba na mchele,ni wewe kuchagua kati ya Geor davie na hiki nilichoandika kipi ni pumba na kipi ni mchele.
Kwa hiyo mnaomhubiri Yesu mnapingana hadi kuwe na mhubiri pumba na mhubiri mΓ§hele?
 
Amina.

Ubarikiwe, Mungu akutie nguvu,uendelee kufanya KAZI ya Mungu shambani mwake maana mavuno ni mengi, watendakazi ni

Amina.

Ubarikiwe, Mungu akutie nguvu,uendelee kufanya KAZI ya Mungu shambani mwake maana mavuno ni mengi, watendakazi ni Wachache.
Amina mtumishi mwenzangu tuhubiri injili kila tupatapo nafasi,maana muda hautusubiri.
 
Kwa hiyo mnaomhubiri Yesu mnapingana hadi kuwe na mhubiri pumba na mhubiri mΓ§hele?
Hayo umesema wewe ndugu, mimi sihukumu mtu. Mungu pekee ndie ajuaye kama uliemtaja anamtumikia Mungu au sivyo
 
Ndivyo unavyodanganywa, kujidanganya, na kutaka kutudanganya nasi? Wote waliambiwa hivyo. Wamekufa wakingojea kama utakavyofanya.
Sawa,sio wote wanajariwa kufunuliwa neema ya wokovu.
 
Nashukuru sana kwa ujumbe huu muhimu sana, Mungu aendelee kutulinda tudumu kwenye utakaso, na wokovu kwa watu wote
 
Amen! Hallelujah! Amen...

Naaam! ...Kama Neno lake lisemavyo...."KIla jicho litamuona (Mawinguni akishuka akiwa na jeshi kubwa la Malaika na akiwa katika utukufu mkubwa)....Kila goti litapigwa...Na Kila Ulimi utamkiri kuwa ni "Bwana Mwokozi"! Amen.

Neno la Bwana ni upanga wa roho (wenye makali na ufyekao kuwili), na ni hazina yenye utajiri mkubwa. Neno lake limekwa wazi ili watu waijue kweli, na kweli iweze kuwaweka huru. Kila alishikaye neno lake na amri zake ataokoka kuepuka ile hukumu. Na neno lake litawekwa wazi hata ile siku ya hukumu. Hivyo kila ali puuzaye neno lake na amri zake atahukumiwa.

Neno lake lipo na lilikuwepo kabla hata ya kuundwa kwa misingi ya ulimwengu (dunia), hivyo maandiko yanahitimisha kuwa mbingu na nchi zitapita lakini (neno) lake halitapita kamwe pasipo yote "Ukamilifu wa dahari" kutimia.

Aaai...Yah ! Yah! Yah!....Hey! Don't ignite me (the fire of the Holly spirit) and make me start preaching on this forumπŸ™‚ without a permitπŸ™‚....Hamnisikii mimi...Wacheni NipiteπŸ™‚
 
Hakika yu malangoni,tujiandaeni wapendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…