Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu jesus ndo huyo god au?Inakuwaje wanajamvi!
Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako.
Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu.
JESUS FIRST JESUS FOREVER
JESUS IS GOD
HAPA KWENYE JESUS IS GOD fafanua....
Ndy hyo aliyepigwa makofi na wayahudi,,Jesus is god
Yaani huyu jesus ndo huyo god au?
Kuna watu ni wachokozi balaa!Ngoja tuone.Inakuwaje wanajamvi!
Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako.
Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu.
JESUS FIRST JESUS FOREVER
JESUS IS GOD
HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU
Sasa wewe unakuja na ushahidi wa quran pekee huku quran hiyo hiyo inakuagiza uheshimu vitabu vikuu vya mwenyezi Mungu ambavyo ni ;Na Ushahid Mwingne Katika Qur an Wa Kufahamisha Kuwa Masihi Mwana Wa Mariam Ni Mtu Ni Katika Hiyo Hiyo Suurat Al Maaidah Allah Aliposema
مَّا الْمَسِيحُ ابْنُ مَرْيَمَ إِلَّا رَسُولٌ قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِهِ الرُّسُلُ وَأُمُّهُ صِدِّيقَةٌ ۖ كَانَا يَأْكُلَانِ الطَّعَامَ ۗ انظُرْ كَيْفَ نُبَيِّنُ لَهُمُ الْآيَاتِ ثُمَّ انظُرْ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ ﴿٧٥﴾
75. Al-Masiyh mwana wa Maryam si chochote ila ni Rasuli (Mtume) tu, wamekwishapita kabla yake Rusuli (wengine). Na mama yake ni Muumini mkweli wa dhati. Wote wawili walikuwa wanakula chakula. Tazama jinsi Tunavyowabainishia Aayaat (Ishara, Hoja, Dalili) kisha tazama vipi wanavyoghilibiwa.
Yesu ni mtume sio mungu wala sio mwana wa mungu turudini katika haqqi ndugu zangu kwa ufahamu wa salafy swaaleh
Watamtambua vyema siku atakaporudi duniani kuja kulichukua kanisa lake. Na ndipo watakapoliq na kusaga meno.YESU NI MUNGU NA MFALME WETU wachache sana watalitambua hilo wakiwa bado binadamu hai.
Je Mungu ni Yesu?YESU NI MUNGU NA MFALME WETU wachache sana watalitambua hilo wakiwa bado binadamu hai.
Mungu ni Yesu ndioJe Mungu ni Yesu?
Vyovyote vile HAIJALISHI yeye bado ni Mungu na hayo makofi aliumba yeye.Ndy hyo aliyepigwa makofi na wayahudi,,
Mungu gani anasulubiwa mpakaka anakata moto?Jesus is god
Yaani huyu jesus ndo huyo god au?
MUNGU alipokuwa mtoto alikuwa anaogeshwa 🤣🤣,Vyovyote vile HAIJALISHI yeye bado ni Mungu na hayo makofi aliumba yeye.
Siyo nyie mmeliwekea uungu jiwe jeusi na kuliabudu na kulisujudia.
Injili ya kweli haijasema yesu ni mungu hebu fuatilia kuhusu tawrati na injili ni kitu gani watu waisraail wamevifanyia hvyo vitabu vitakatifu mpka allah akateremsha qur an kusahihisha yale ambayo wanawaisrail wameyaharibu.Sasa wewe unakuja na ushahidi wa quran pekee huku quran hiyo hiyo inakuagiza uheshimu vitabu vikuu vya mwenyezi Mungu ambavyo ni ;
1. Torati
2. Zaburi
3. Injili ambamo ni habari za Yesu mfalme mkuu.
4. Quran yenyewe
Sasa kwa nini mnapingana na Kitabu cha Injili ambacho quran yenu inakitambua?