Yesu rudi utuchukue,demu ajitongozesha kwa diamond kupitia facebook

Ukiona mwanaume unatamaniwa na wanawake isivyokawaida ujue kuna supernatural force/power nyuma yako ambayo ni ya maangamizi. Si jambo la heri.
Ina maana wewe hujui kama hizo ni Fake Facebook account na Profile pic ya mtu mwingine kabisa? anayeijuwa Email ya Diamond anipe hapa niwatumie wale Wanigeria wanaojifanya wanawake warembo na wanataka kuwa na mahusiano na mimi, nadhani hawa wanamfaa sana Diamond kujiongezea sifa za kijinga.
 
anataman myekundu huyo hana lolote asubiri kupakuliwa kama wafanywavo wengne chezea almas wew
 
Kinachonifurahisha ni huyu jamaa,(mwenye thread) yeye hana kingine zaidi ya kusubiri nini kinatokea kwa diamond ili aje kusema jf,kwanini?
 
kaka hela nikila ktu when you got fame and money....kama unatabia za kujig jig jigalo utawakula wengi sana.anywy daidomo anaela ana fame na na msifu hichi anajua kukeep his body katika muonekano wa kistaa zaidi that big up
 
Wengi wao wanapenda pesa yake.....alipokuwa majalala kwao tandale nani alimfuata?awe makini na dunia ndo hii.
 
Wanamuziki Wa Bongo Skuiz kwa made up Storiez wanatisha!!

Aliepost analipwa Bukumbili Kwa Kila Post so tumwache ale Hela
 
Kinachonifurahisha ni huyu jamaa,(mwenye thread) yeye hana kingine zaidi ya kusubiri nini kinatokea kwa diamond ili aje kusema jf,kwanini?

pole sana ..n usilolijua litakutesa
..kama ulikuwa hujui kama diamond ana kampuni pole na ajira na mshahara wangu pale wewe na wengine huenda mnasubili sanaa..kupost hum ni mapenz yangu binafs kuwajuza nn anakifanya boss wangu kumbuka c wote hutembelea website yake...over
 
Poleni sana sana dada zanu. Hamjui thamani ya miili yenu ndiyo maana mnaichezea
 
Daah. Huyo yesu wako akirudi akuchkue pekeako. Mi is not ready
 
uliona wapi binaadamu akatosheka na raha! Kila akipata za hali ya juu ndio hufikiri zitakazofuata ni nzuri zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…