Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Marhabaaaaaaaaaa.
Lini-overlook hiyo shkamoo, sorry. ASante kwa hongera.
Barabara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhabaaaaaaaaaa.
Lini-overlook hiyo shkamoo, sorry. ASante kwa hongera.
qouted.Ukiona mwanaume unatamaniwa na wanawake isivyokawaida ujue kuna supernatural force/power nyuma yako ambayo ni ya maangamizi. Si jambo la heri.
Ina maana wewe hujui kama hizo ni Fake Facebook account na Profile pic ya mtu mwingine kabisa? anayeijuwa Email ya Diamond anipe hapa niwatumie wale Wanigeria wanaojifanya wanawake warembo na wanataka kuwa na mahusiano na mimi, nadhani hawa wanamfaa sana Diamond kujiongezea sifa za kijinga.Ukiona mwanaume unatamaniwa na wanawake isivyokawaida ujue kuna supernatural force/power nyuma yako ambayo ni ya maangamizi. Si jambo la heri.
kaka hela nikila ktu when you got fame and money....kama unatabia za kujig jig jigalo utawakula wengi sana.anywy daidomo anaela ana fame na na msifu hichi anajua kukeep his body katika muonekano wa kistaa zaidi that big up
nafikili hajawahi pata mapenzi mazuri ya raha wanawake wengi wanaumia na mapenzi mazuri naona ameona wanawake wazuri wanaenda kwa diamond huenda diamond anajua mapenzi sana na huyu dada ameamua kuelezea hisia zake sema sasa ameweka wazi sana sidhani kama diamond atamchukua nakumbuka kuna kisa kimoja cha marehemu bob marley alikuwa sebuleni kwake yeye na mkewe wanaangalia tv ambapo walikuwa wanaonyesha kipindi cha mashindano ya urembo na binti mmoja mrembo alishinda na alipoulizwa swali na mwandishi wa habari ukipata bahati ya kukutana mtu mashuhuri duniani ungemchagua nani basi yule binti alijibu moja kwa moja ningependa kukutana na bob marley alafu mwandishi akamuuliza kwa sababu gani huwezi amini alijibu simple tu kuwa kwa sababu nampenda thats it. Sasa kilichotokea mke wa bob alikasirika sana lakini kumbuka wao walikuwa nyumbani kwao ila bob anasema yeye hakusema kitu zaidi ya kutabasamu baadae ulipita muda mrefu bob akaamua kumtafuta yule msichana na kuonana naye yeye mwenyewe kwa wakati wake basi watu mbalimbali walishangazwa hilo tukio basi waandishi wa habari wakamuuliza imekuwaje amependa amemtafuta huyo dada na kuwa naye sehemu ya starehe bob alisema inapendeza kuona kuwa kuna mtu anaujasiri wa kutamka anakupenda mbele za watu na ni kitu kizuri kupendwa nikaona si vibaya kuwa na mazungumzo ya pamoja na mtu anayekupenda. Hivyo si diamond wanawake wengi sana tanzania wanampenda hivi karibuni tuliona kwenye gazeti kuna mkaka mmoja amempiga girl friend wake kwa sababu alizidiwa na hisia anamkumbatia diamond na kumlamba kifuani can u think of that? So hisia si kitu cha kawaida ok nafikili diamond anamvuto wa kimahaba ni watu wachache wanao mvuto huo ila namshauri ajitambue na atafute mshauri wa kumfundisha kujihami na hisia nyingi za wanawake nafikili kwa sasa diamond anajua kuwa anamvuto kwa wasichana kwa sababu ukisikiliza matangazo yake hua wanatangaza kwenye radio mfano yule kipenzi cha warembo au sukari ya warembo see nafikili anajijua hivyo kwa yeye hatastahajabu sema wasichana inabidi mstahimili coz kipindi hiki ni hatari magonjwa na watu wenye mvuto wengi walikuwa wanaliliwa na wanawake kama marehemu michael jackson , mwanamziki neo, hata joe thomas, na wengine ndio hivyo matukio juu ya majanga hapa duniani yaani baalaa
Hongera sana.
Halafu mbona umeikwepa shikamoo yangu Idimi.
Kinachonifurahisha ni huyu jamaa,(mwenye thread) yeye hana kingine zaidi ya kusubiri nini kinatokea kwa diamond ili aje kusema jf,kwanini?
uliona wapi binaadamu akatosheka na raha! Kila akipata za hali ya juu ndio hufikiri zitakazofuata ni nzuri zaidi!
nafikili hajawahi pata mapenzi mazuri ya raha wanawake wengi wanaumia na mapenzi mazuri naona ameona wanawake wazuri wanaenda kwa diamond huenda diamond anajua mapenzi sana na huyu dada ameamua kuelezea hisia zake sema sasa ameweka wazi sana sidhani kama diamond atamchukua nakumbuka kuna kisa kimoja cha marehemu bob Marley alikuwa sebuleni kwake yeye na mkewe wanaangalia Tv ambapo walikuwa wanaonyesha kipindi cha mashindano ya urembo na binti mmoja mrembo alishinda na alipoulizwa swali na mwandishi wa habari ukipata bahati ya kukutana mtu mashuhuri duniani ungemchagua nani basi yule Binti alijibu moja kwa moja ningependa kukutana na Bob Marley alafu mwandishi akamuuliza kwa sababu gani huwezi amini alijibu simple tu kuwa kwa sababu nampenda thats it. Sasa kilichotokea mke wa Bob alikasirika sana lakini kumbuka wao walikuwa nyumbani kwao ila Bob anasema yeye hakusema kitu zaidi ya kutabasamu baadae ulipita muda mrefu Bob akaamua kumtafuta yule msichana na kuonana naye yeye mwenyewe kwa wakati wake basi watu mbalimbali walishangazwa hilo tukio basi waandishi wa habari wakamuuliza imekuwaje amependa amemtafuta huyo dada na kuwa naye sehemu ya starehe bob alisema inapendeza kuona kuwa kuna mtu anaujasiri wa kutamka anakupenda mbele za watu na ni kitu kizuri kupendwa nikaona si vibaya kuwa na mazungumzo ya pamoja na mtu anayekupenda. hivyo si diamond wanawake wengi sana tanzania wanampenda hivi karibuni tuliona kwenye gazeti kuna mkaka mmoja amempiga girl friend wake kwa sababu alizidiwa na hisia anamkumbatia diamond na kumlamba kifuani can u think of that? so hisia si kitu cha kawaida ok nafikili diamond anamvuto wa kimahaba ni watu wachache wanao mvuto huo ila namshauri ajitambue na atafute mshauri wa kumfundisha kujihami na hisia nyingi za wanawake nafikili kwa sasa diamond anajua kuwa anamvuto kwa wasichana kwa sababu ukisikiliza matangazo yake hua wanatangaza kwenye radio mfano yule kipenzi cha warembo au sukari ya warembo see nafikili anajijua hivyo kwa yeye hatastahajabu sema wasichana inabidi mstahimili coz kipindi hiki ni hatari magonjwa na watu wenye mvuto wengi walikuwa wanaliliwa na wanawake kama marehemu michael jackson , mwanamziki neo, hata joe thomas, na wengine ndio hivyo matukio juu ya majanga hapa duniani yaani baalaa