Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
YESU SIO EMANUEL.

EMANUEL MAANA YAKE "MUNGU PAMOJA NASI"

Issaya alivyo tabiri alimaanisha MAKAFIRI wata mwita YESU MUNGU(yaani watasema Mungu pamoja nasi)

kwa hivyo huo ni utabiri tu kuwa watu watamuona au watamwita Yesu mungu ili hali sio.

Yesu jina lake ni hilo YESU,,, hana jengine zaid Issa, Jesus, na yote yana maana moja.
 
Yesu ni Mungu 100% hata kesho.kubishi kwako hakumbadili kuwa vile utakavyo wewe.
 
Mungu mwenyewe unayetaka tumjadili Alishakufaga......
Hivi hadi leo mtu unajadili kuhusu sijui Mungu,Ukristo,Uislam???......Wastage of time!
 
biblia kapewa mtume gani ? hakunaga kitabu cha mungu kinachoitwa biblia.

Ndivyo ulivyofundishwa sio kosa lako hili swali inakupasa umuache ajiulize Mkristo mwenye imani yake sio wewe muislam ujiulize, pia Mkristo sio kazi yake kujiuliza au kutaka kujua kuran ilidondoka kutoka juu au iliandikwa pangoni coz silo alilofundishwa hilo ni lako wewe Muislam kujiuliza,hizi imani ni zakutuongoza kuishi kwa kuhishiamiana na kuvumiliana na haya yatawezekana kama Mkristo akakamata Bible akawahubiria wakristo wenzake pia Musilam akakamata kuruan akawahubiria Waislam wenzake ili kama kuna atakaevutiwa atahamia upande wa pili but haya mambo ya kuchukua vifungu kutoka hapa na pale kuja kuulizana humu nikupoteza tu muda, jiombee nafsi yako usitegemee kuwa utakuwa na Sir_Mimi au hata baba au mama yako utakapohesabiwa mema au mabaya yako fikiri nje ya box broder.
 
isaya hakuwa anamtabilia yesu,hebu kaisome vizuri hiyo haya,alikuwa anamtabilia mfalme ahaz kama sikosei ukifuata mtiririko wote wa aya utaona huo kweli,sijui ilikuaje wanasema isaya alimtabilia kuzaliwa kwa yesu,ngoja nitafute nikuwekee hapa usome kisha ufanye judgement mwenyewe
 
Kijana haya mambo yana kuzidi kimo kama umemaliza quran yote kuisoma nenda kafundishe wenzio hiyo.hii huiwezi.
 
Mkuu ukiona kiatu kinapwaya mguuni jua ni kikubwa kukuzidi sio saizi yako.usije sema kimekosewa kutengenezwa.

Hivi niwaulize swali moja nyinyi waislam,

Huwa mnapata kiherehere kutoka wapi kuifungua bible,mnatafuta nini mule ambacho mnahisi labda labda kinapungua kwenye msahafu?

Naomba jibu.
 


Ukiisoma Biblia kwa miwani ya vitabu vingine vinavyotambulika kuwa ni vitakatifu utapotea kabisa. Isome yenyewe ikifundishe yenyewe kwani Biblia inatafsiri Biblia. Sa wewe unamsemea Isaya Nabii kuwa alichokisema sicho! Haya unamshitaki Paulo kwa hilo mbona Yohana ndiye aliyesema kwa wazi kabisa juu ya uungu wa Yesu wala humtaji? Tena Yohana anasema Yesu alikuwako na kushiriki uumbaji na alikuwako kwa Mungu naye "Neno" alikuwa Mungu. Sijui kama unajua ya kwamba sifa moja ya uungu ni uumbaji? Hata kwa kutumia utaratibu wa kujenga hoja wa Sokorati utakubali ya kuwa Yesu ni Mungu. Hebu tujaribu.

Kweli No 1. Mungu pekee tu ndiye anayeumba
Kweli No. 2. Yesu alishiriki uumbaji wa dunia na vyote vilivyomo kama fundi stadi
Kweli No. 3 Yesu ni Mungu

Halafu juu ya Issa ama nani ipo shule moja ya ----- inakataa kuwa Yesu si Issa bali ni Yasuh al Masih. Yasuh ipo karibu sana na viini vya lugha za mashariki vinavyolizunguka jina la Yesu hususan Kiebrania kama vile Yeshua na Yoshua. Issa ipo mbali sana. Kiingereza ni Jesus, Kiyunani ni Iesou, wapo wanaolitamka Jezu, ama Jesu. Issa ipo mbali sana. Wale wataalamu niliowataja hapo juu -------wanasema Issa alizaliwa chini ya mtende ila Yasuh Al Masih katika zizi la ngombe kama inavyosema Biblia.
 
ETI MAKAFIRI,NGOJA NIKUFUNDISHE MAKAFIRI NI KINA NANI,MSIKITI WANAJENGA DINI GAN?JIB UNALO
 
We hamnazo kwanin msisome vitu kwa makin ndo mchallenge ujinga?Biblia hamjui,mnachojua ni kujitoa MHANGA,kajifunge hata mabom huko coz dini yako inaruhus,HAPA KINACHOELEZW NI NIN NA UNACHOBISHA NI NN?
 
ETI MUISLAM,HATA QURAN YENYEW HUJUI NA UNAIKATAA,UTAIWEZ BIBLE?NIMEKUWEKEA HIYO SURA UNAYOIKANA(ETI NIMEDANGANYA THEN ONYESHA WAP NIMEBADILISHA)MUISLAM UBWABWA!!.Quotation yang ilikuw aya ya 3!!..
 
We hamnazo kwanin msisome vitu kwa makin ndo mchallenge ujinga?Biblia hamjui,mnachojua ni kujitoa MHANGA,kajifunge hata mabom huko coz dini yako inaruhus,HAPA KINACHOELEZW NI NIN NA UNACHOBISHAView attachment 408658 NI NN?
punguza hasira mkuu,haya mambo hayataki hasira,subiri nakuletea hiyo aya ya isaya ..
By the way hizo link unazoweka sidhani kama kuna mtu anafungua,bora uweke peupe tu,watu wengine tunaogopa virus hatuclick
 
Unaona tatizo lilipo? Maana ya neno utafsiriwa tofauti. Baki na tafsiri yako na sie wengine tutabaki na yetu. Ubaya zaidi hayupo aliepewa huo ujumbe ili atuambie maana halisi. Kama umemuomba Mungu akakufungulia kua huo mstari unamaanisha hivyo basi hongera.

Na mimi nimemuomba Mungu na tafsiri alionipa ni kua Yesu ni Mungu aliletwa duniani na ili kuweza kutuokoa ilibidi achukue umbo la kibinadamu na kua mtu.
 
Nilichoeleza mimi ni kwamba Yesu sio Mungu. Na ndio maana nimetoa andiko la yohana 20:17 yesu akisema kuwa Mungu wake anayemuabudu yeye ndio Mungu wetu sisi sote. Sasa toa wewe ufafanuzi wa yohana 20:17
Alivyokua duniani Yesu alijivua uungu. Ndo mana akawa anamtegemea Mungu baba!
Angekua Mungu akati yuko duniani hasingezaliwa, hasingesikia njaa, hasingeweza jaribiwa na hasingekufa. Yesu alichukua ubinadamu ili aishi duniani.
 
Kama ni Mungu au mtu itakusaidia nini wewe? waache wenye kuabudu ni Mungu waabudu hivyo na waache wasioamini hivyo waendelee kama kweli siku ya mwisho ipo tutajua nani alikosea na nani hakukosea haina haja ya kulumbana.

Nenda kafanye kazi sio kujiumiza katika mambo yasiyokusaidia au umetumwa na unarejesha (retirement)?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…