Hahaha ,mkuu hawawezi kukujibu ,kwasababu Anachoamini ni uongo,je atapata wapi majibu?Sasa wewe mbona unataka kubadilika kutoka kwenye majibu uliotoa mwanzoni. Haya tufanye majibu yale ya mwanzo ulikosea haya twende unavyotaka wewe saivi. Umesema kuwa yesu alivyokuwa duniani alivaa mwili wa ubinadamu. Je yesu alivyovaa mwili je baba aliyekuwa mbinguni ndio huyo huyo yesu? Au baba ni baba na yesu ni yesu (mwana?)