Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Hahaha ,mkuu hawawezi kukujibu ,kwasababu Anachoamini ni uongo,je atapata wapi majibu?
 
Jibu swali ,ni yupi mwenye mamlaka hapo? Usikimbie kimbie, jibu nani ana mamlaka? Yesu au baba wa mbinguni,usilete kiswahili kiswahili hapa huku unakimbia swali la msingi
Wewe embu tuliza akili yako.acha akili zenu za majini.bible inasomwa kwa akili kubwa sio hizi za kutokea kulia kwenda kushoto utadata, sawa?
 

Ni vema ukaaga.byeeee kama ulivyofanya.

Maana huelewi nini unaandika.
 
Inamaana hujui kama bible imekuwepo kabla ya mtume wenu kuja kuwakamata.au unazuga?????
Ndio hatukatai injili ilikuepo kabla ya mtume wetu.na yesu tunamtambua na kumuheshimu na kumuombea mema kama mtume wa mwenyezimungu alietumwa kwa watu wake. Kila mtume alitumwa kwa watu wake,mbn hamuabudu Ibrahim?

Au yakobo nao si mitume? Jibu ni kua hata nyinyi hamupaswi kumfata yesu/issa bcz nyinyi sio watu wake aliotumwa kwenu. Mtume wenu ni Mohammad s.w bisha utakavyo huo ndo ukweli.kama yesu ni mungu mbn Hugo yesu alikua anaomba msaada wa mungu?

Mungu gani? Anajiomba mwenyewe?? Tumia akili za kawaida.
 
Acha kuruka ruka wewe, kwny lugha ya kiarabu wingi unaanzia namba tatu ndomana kwny aya nyingi inaongea km wingi hayo mambo ya holy trinity ni yenu
 

Wewe muhamad hawezi kuwa mtume wangu mimi.hakuna popote kwenye bible yangu ametajwa kuja/wala kutabiriwa.

Utume wa Yesu kwenu sisi hautuhusu, mnajua nyinyi wenyewe mjishughulishe naye vipi.ila sisi kwetu huyu ni Mungu
Yohana 1:1-18 soma ukiwa umetulia acha wenge.
 
And I will pray the Father, and He will give you another Helper, that He may abide with you forever (John 14:16).”
 
And I will pray the Father, and He will give you another Helper, that He may abide with you forever (John 14:16).”
Mkorinto,njoo hapa nimekuletea verse ya bible inayo predict kuja kwa mtume wa watu wrote.njoo ubishe sasa
 
We kweli hujielewi haya nioneshe kwny hiyo aya iliposema yesu ni roho.
Usikurupuke ,hekima umuokoa MTU kiwango changu cha Ilim ya dini hakilingan na chako,by the fuata unachokiamn!!.
 
And I will pray the Father, and He will give you another Helper, that He may abide with you forever (John 14:16).”

Mkorinto,njoo hapa nimekuletea verse ya bible inayo predict kuja kwa mtume wa watu wrote.njoo ubishe sasa
Sibishani nawewe, nakufundisha.

Haya endelea soma john 14:17-27.

Then uje uniambie mudi wako katajwa wapi????
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…