Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.

hata allah amesema viapo vyenu vya upuuzi Allah hatawashika...Petro haku retardi hadi aliifia Imani...
 
Point yako ni nini hasa????

Unawasi wasi kwamba huyo aliyekuwa anatajwa na yohana siye aliyekuja????

Soma yohana 1:6-15 umjue yohana alikuja/aliletwa kwa kazi gani,ongeza na 23-27.
anamaanisha kina yohana walikuwa wanasoma maandiko ya zamani wanafanya modification kidogo wanaandika
 
Hii ndio Sera ya ACT Wazalendo Chini ya Alhaji Zitto Kabwe
 
Sikia paul akiwapiga vijembe akina petero.2wakorintho 11.

Paulo Anajivunia Mateso Yake
16 Nasema tena, mtu ye yote asidhani kwamba mimi ni mjinga. Lakini hata kama mkinidhania hivyo, basi nipokeeni kama mjinga ili nipate kujisifu kidogo. 17 Ninayosema sasa, kwa majivuno, nasema kama mjinga na wala si kwa mamlaka ya Bwana. 18 Kwa sababu wengine wanajivunia mambo ya kidunia, basi na mimi nitaji sifu. 19 Ninyi mnawavumilia wajinga kwa kuwa mna hekima mno! 20 Tena mnavumilia hata kama mtu anawafanya watumwa au anawany onya na kuwadanganya au anajigamba mbele yenu au anawapiga makofi usoni. 21 Naona aibu kukubali kwamba sisi ni wadhaifu kiasi ambacho hatuwezi kufanya mambo kama hayo. Lakini cho chote ambacho mtu anathubutu kujivunia, sasa nasema kama mjinga, mimi pia naweza kuthubutu kujivunia.
22 Je, wao ni Waebrania? Mimi pia ni Mwebrania. Wao ni uzao wa Ibrahimu? Na mimi pia. 23 Wao ni watumishi wa Kristo? Mimi ni mtumishi bora zaidi, nasema kama kichaa. Nimefanya kazi zaidi, nimefungwa gerezani zaidi, nimechapwa viboko visivyo na hesabu, na mara nyingi nilikuwa karibu kufa. 24 Mara tano nimechapwa viboko aro baini kupungua kimoja na Wayahudi. 25 Nimechapwa kwa chuma mara tatu. Nimepigwa mawe mara moja. Mara tatu nimevunjikiwa na meli. Nimeelea baharini usiku kucha na mchana kutwa. 26 Katika safari zangu nyingi, nimekuwa katika hatari za mafuriko, hatari za wany ang’anyi, hatari kutoka kwa Wayahudi wenzangu na hatari kutoka kwa watu wa mataifa mengine; nimekuwa katika hatari mijini, nyikani, baharini na katika hatari kutoka kwa ndugu wa uongo. 27 Nimekuwa katika kazi ngumu na taabu, siku nyingi nimekuwa bila usingizi, nimekuwa na njaa na kiu, mara nyingi nimekuwa bila chakula, katika baridi na bila nguo. 28 Na ukiacha mambo mengine nimelemewa na wasiwasi juu ya makanisa yote. 29 Je, ni nani ana kuwa mdhaifu nisijisikie mdhaifu? Nani anashawishiwa kutenda dhambi nisijisikie nachomwa na uchungu?
30 Nikilazimika kujisifu, basi nitajisifia yale mambo yanay oonyesha udhaifu wangu. 31 Mungu na Baba wa Bwana Yesu, yeye ambaye amebarikiwa daima, anajua ya kuwa mimi sisemi uongo. 32 Kule Dameski, gavana aliyekuwa chini ya Mfalme Areta aliu linda mji wa Dameski ili wapate kunikamata, 33 lakini nilish ushwa kwa kapu kubwa kupitia katika dirisha ukutani nikaepuka kukamatwa.

Ukisoma wakorintho 31,paul kamtaja Baba wa bwana yesu,ambae ndo nani sasa ?
 
anamaanisha kina yohana walikuwa wanasoma maandiko ya zamani wanafanya modification kidogo wanaandika
Teh teh teh, baada ya kushindwa pa kushika sasa, kaamua ayakane maandishi.

Wambie Yesu ni Mungu wake hata mtume wake analijua hilo.
 
Paulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia
By the way, hayo ni mawazo ya wanafalsafa. Hakuna kitu kinaitwa Mungu. Amini nakuambia, unapoteza muda kuamini habari hizi
 
Ni ufalme wa mbinguni aliouvua yeye.
 
Nasikia paul hakuwa anapatana na wale wanafunzi halisi wa yesu,akina yohana,

hebu sikia huu mpasho.

2 Wakorintho 10 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo Atetea Huduma Yake
10 Mimi Paulo nawaandikia nikiwasihi kwa unyenyekevu na upole wa Kristo, mimi ambaye ni mpole ninapokuwa pamoja nanyi, lakini mwenye ujasiri nikiwa mbali nanyi! 2 Nawaomba msinifanye niwe mkali nitakapofika kwenu, kama ninavyotarajia kuwa mkali kwa watu fulani, ambao wanadhani kwamba nafuata kawaida za dunia katika mwenendo wangu. 3 Ingawa tunaishi duniani lakini hatupigani kama watu wa ulimwengu. 4 Silaha zetu si za kidunia, bali silaha zetu zina nguvu ya kimungu iwezayo kubomoa ngome. 5 Tunaharibu hoja na mabishano yaliyo kinyume cha kumjua Mungu. Tunateka mawazo yote na kuyafanya yamtii Kristo, 6 na tutakuwa tayari kuadhibu uasi wo wote baada ya kuhakikisha utii wenu. 7 Tazameni vizuri mambo yaliyo mbele ya macho yenu. Kama mtu ye yote anaamini kuwa yeye ni wa Kristo, basi ajiangalie tena, kwa maana na sisi pia ni wa Kristo kama yeye alivyo. 8 Kwa sababu hata kama tunajivunia mno madaraka tuliyo nayo, ambayo Bwana ametupatia kwa ajili ya kuwa jenga na sio kuwagandamiza, sitaona haya kuyatumia. 9 Sitaki ionekane kama nataka kuwatisha kwa barua zangu. 10 Kwa maana wengine wanasema, “Barua zake zina uzito na ni kali lakini mtu mwenyewe ni mdhaifu na kuzungumza kwake hakuvutii.” 11 Watu kama hao wajue ya kuwa, wanavyotuona katika barua tukiwa hatupo nanyi, ndivyo tulivyo, na ndivyo tutakavyofanya tutakapo kuwa pamoja nanyi. 12 Hatuthubutu kujiweka kwenye kundi moja au kujilinganisha na hao wanaojiona kuwa wao ni wa maana sana. Wana pojilinganisha wenyewe kwa wenyewe, wanaonyesha ya kuwa hawana busara.
 
Kumbe UNASIKIA?endelea kusikia, USHAURI,KUW MAKINI SANA UNAPOTAFSIRI MAANDIKO YA PAULO,MAANA YEYE HAKUW NA AKILI KAMA ULIYONAYO WEW,ZAID YATAKUCHANGANYA TU,SOMA..
 
Kumbe UNASIKIA?endelea kusikia, USHAURI,KUW MAKINI SANA UNAPOTAFSIRI MAANDIKO YA PAULO,MAANA YEYE HAKUW NA AKILI KAMA ULIYONAYO WEW,ZAID YATAKUCHANGANYA TU,SOMA..View attachment 411710
utetezi wako dhaifu sana..kwanini uendelee kuudanganya moyo wako mkuu?,mbona ushahidi uko wazi tu kwamba paul alikua magumashi
 
Akili nyingine ni hazijui kwamba hazijui...hapo hats huoni kwamba Prof Paulo anakupiga vijembe wewe? wewe kwani unamuamini Paulo ni mtume?! si unamuona mjinga! Meza sasa vidonge vyake......hhhhhhhh...
 
utetezi wako dhaifu sana..kwanini uendelee kuudanganya moyo wako mkuu?,mbona ushahidi uko wazi tu kwamba paul alikua magumashi
Ikiwa Paul akiwa Magumashi na huyo Mudi atakuwaje?.think big,by the way hawawezi kulingana,maan mmoja anajua kusoma(msomi aliyebobea) Mwingine hajui,MUDI NDIYE MTUME MBUMBUMBU KATI MITUME WOTE,ukiwa unabish taja mtume/nabii mwingin asiyejua kusoma kama Yey,hat mmoj!!!!..nasubir JINA sio maelezo!!!..
 
Biblia kitabu cha Yuda1:4
"Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri,watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii,makafiri,wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi,nao humkana yeye aliye pekee yake Mola na Bwana wetu Yesu kristo.
 
Huwezi kumwelewa Mungu wa kweli kama utamfananisha na wanadamu au kutumia principle za kianadamu kama ambavyo kuna watu wanataka experimental proof za uwepo wake.Mungu awasaidie,kama ukiandika mambo mabaya juu ya watawala wetu na wenye mamlaka unaadhibiwa itakuaje kwa yeye awezaye kuangamiza mwili pamoja na roho.Kuna muda ni bora kunyamaza kuliko kuongea.Jameni tumia muda wako haijalishi wewe imani yako ni ipi.jifunze kuhusu wenzako wanachokiamini ukiwa na mtazamo chanya,wengi mnajifunza ukiwa na mtazamo hasi huwezi kuwaelewa.Two people can differ and both be right,you need to be able to see through the eyes of others.
Siku zote wanadamu hawawezi kukubaliana katika mambo yote(if two people agree in everything one of them is not thinking) ,kwa hiyo tofauti hazitaisha,lakini let us look on waht we share in common and not what we differ.Kuna kazi kubwa ya kufanya ili uiponye roho yako,miungu ni wengi ila almight God ni mmoja,si wote wanaweza kumtambua.Je huyo unayemwamini ndiye?Una kazi kubwa ya kufanya kuliko unavyofikiria.
Watanzania this is the game of life and death take it serious siyo issue ya ushabiki,napenda kuongea na wale wachunguzi wa mambo na si waliozaliwa katika dini/imani fulani na hawajafanya juhudi yoyote kujua dini yao na za wenzao,tena hata hawajawahi kuwauliza wazazi wao kwa nini wanaamini hicho wanchoamini.Je kama baba yako aliamini dini hiyo ili tu amuoe mama yako au mama alibadili dini ili aolewe na baba yako.Binafsi mtu yeyote anayebadilisha dini kwa ajiri ya ndoa kwangu namwona haijui imani yake ndiyo maana anaweza badili kwa ajiri ya tamaa za mwili na mambo ya muda mfupi hapa duniani.
To all the Christians who are reading this post,muda wa kuigiza ndani ya ukristo umekwisha,roho yako inakushuhudia ukifa leo utaenda wapi,muda wa kuyafuata mambo ya dunia hii umeisha,muda wa kuiga life style za wana wa dunia hii umeisha.Napenda tangazo la kiwi "stand out of the crowd",wewe unatakiwa uwe tofauti,usiihi maisha fulani au uwe na tabia fulani kwa sababu wengi wanaishi hivyo.Nilishaelezea mtakatifu ni aliyetengwa,sasa huwezi kusema unaenda mbinguni na hujajitenga na mambo ya dunia hii yasiyompendeza Mungu.Mwenye masikio na asikie.
Only politicians and musicians who do not know the one almight God can tell you we all worship the same God and have peace in their mind while saying these words.Ukithamini imani ya mwezako utagundua miungu ni tofauti,huyu anasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,yule anasema mtapewa wanawali,huyu anasisitiza mume mmoja mke mmoja,mwingine waweza oa hata wake wanne.You do not need a degree education to know they are different even if they all recognize Ibrahim as the father of faith.
 
Akili nyingine ni hazijui kwamba hazijui...hapo hats huoni kwamba Prof Paulo anakupiga vijembe wewe? wewe kwani unamuamini Paulo ni mtume?! si unamuona mjinga! Meza sasa vidonge vyake......hhhhhhhh...
ha ha ha,hapo paul anawasema wakina matayo,petro,yohana,ina maana group la paul lilikuwa na beef na kundi la akina peter.
Picha huoni na video pia huoni,ha ha ha
 
ha ha ha,hapo paul anawasema wakina matayo,petro,yohana,ina maana group la paul lilikuwa na beef na kundi la akina peter.
Picha huoni na video pia huoni,ha ha ha
wee kweli ashki majununi..angalia maajabu haya wale aliowaacha Muhammad walivyo chinjana..asumani, Omari, abubakari...huko huono eeh?
 
Waebrania10:5-7 anzia hapo.5.Kwa hio ajapo ulimwenguni asema, dhabihu na toleo hukutaka,,Lakini mwili uliniwekea tayari......
SWALI

KWAKO NJANO5
1.Hapa Yesu aliongea akiwa kwenye hali gani???
2.Je Unaamini mwili ni kama vazi tu na sio utambulisho wa mtu halisi???
3.Je! Andiko hili limekubainishia kwamba Yesu ni Roho na alivaa tu ule mwili ila hakuwa na hata chembe ya binadamu???
3.Hivi unajua kwamba ili uwe binadamu lazima kufanyike mapenzi baina ya mwanamume na mwanamke na mimba itungwe??? Je hayo yalifanyika ili YESU atokee???
 
Tatizo la kusoma Biblia kama gazeti, Ushauri: unaposoma Biblia omba Mungu akupe ufahamu wa maandiko utakayosoma. Tatizo lenu mmekaririshwa na marehemu muhammad
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…