Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Kuna watu (pamoja na mleta mada) wanaamini kabisa kwamba majini au mapepo hubadilika na kuvaa mwili Wa binadamu na hivyo kuonekana kama mwanadamu kabisa! Lakini hawaamini kwamba Mungu anaweza kufanya hivyo!!

Waebrania : 13: 2
Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.

Kama malaika anaweza kubadilika akawa mtu (Mgeni), ashindwaje Mungu kuwa MTU?!

Mleta mada ni mganga Wa kienyeji kabisa!
 
Nimekosea hebu weka q.4:171 uone Allah anamfunua Masihi kwamba no Neno na Roho ya Mungu...nano kati ya mitume aliye tambulishwa kihivyo?

Nimeiona hio aya 4:171 (An-Nisaa) sasa naomba ni kujibu kwa kukusaidia..
Kwanza umekuwa mstaarabu kwa kukiri kuwa mwanzo umekosea kunukuu aya japo ulikuja kwa matusi na kashfa halafu ukaingia chaka..
Pili kuhusu hii aya imefafanua mambo makuu ma 3...
Kwanza Allah anawatahadharisha watu waliopewa kitabu(ndani ya quran ikitajwa watu wa kitabu wanakusudiwa WAKRISTO NA WAYAHUD ambao waliletewa injili na taurat) kuwa YESU ni mtume tu kama walivyo mitume wengine nadhani hata wewe umelisema hapo juu kuwa yesu ni mtume hivyo wasipinduke mpaka.

Pili..Kweli kuwa yesu ameumbwa kwa tamko/neno kutoka kwa Allah(kwa kuwa mama yake mariam hakuingiliwa) hivyo mungu alimuamrisha nalaika aende akapulize ROHO kwenye tumbo la Mariam lakini hii haimaanishi kuwa yeye ndio NENO bali yupo alie toa neno(ambae ni allah) Ni kwa kuwa mungu hashindwi na jambo akitamka jambo liwe lina kuwa bila kipingamizi hata leo hii mungi akiamua uwe maiti/mfu unakuwa tu kwa kupitia tamko lake..yani kwa kifupi anaiongoza hii dunia kwa MATAMKO KISHA MATENDO hivyo ni kawaida tu yesu kuumbwa kwa tamko ni sawa na ww kuja duniani pia nikwa tamko...
Lakini cc binadamu ni wabishi na niwepesi wa kukosoa laiti mungu, binadamu wote angewaumba kwa udongo tu na manii wangemkosoa na kusema MUNGU GANI HUYU AMEUMBA KWA FOMULA MOJA TU?? ndo maana katika kuonyosha UFUNDI NA UHODARI WAKE KATIKA UUMBAJI AKAAMUA KUCHANGE DESIGN YA UUMBAJI ili cc binadamu tuzidi kuuona UKUBWA WAKE NA UTUKUFU WAKE mwishoe tuingiwe na uoga,uchamungu na unyenyekevu juu yake lkn imekuwa kinyume..
YESU amekuja kwa styl ile ili pia iwe mtihani kwetu cc binadamu kuweza kun`gamua fumbo hili..

Tatu: Ni kweli kabisa ndani ya AYA hii mungu amemuita YESU NI ROHO, lkn aukisoma vizuri aya kuanzia mwanzo hadi mwisho utaona kuwa roho ile iliomaanishwa pale ni kuwa asili yake ni kama ROHO NYENGINE TU, yaani roho zote zinatoka kwake yeye,yy ndo muumbaji wa roho zote,YESU NI ROHO KAMA ZILIVYO ROHO NYENGINE ZA BINADAMU ZOTE ZIMEUMBWA KWA UDONGO TU,, kipi cha ajabu zaidi ya ufikishwaji tu wa roho hio yako imekuja kwa manii yake imekuja kwa kupuliziwa na ya baba etu adamu imekuja kwa kuumbwa moja kwa moja..Nikama wewe unaenda Mwanza kwa ndege mimi naenda kwa basi mwengine anaenda kwa usafiri binafsi lkn sote tumetumia USAFI KUFIKA..Vyote vilivyomo duniani ni vya mungu..

Mwisho: Nomba uelewe kuwa sina lengo la kukushawishi bali lengo langu ni kuitafsiri hii aya ya 4:171 kama inavyotakiwa ili usiendelee kuipotosha qurani ndugu yangu..Kwenye quran kuna tafsiri na maana ya tafsiri hio sasa usichukue tafsiri tu halafu ukaacha maana ya tafsiri hio...
KARIBU
 
Kwa nini mnapenda ku-edit kauli ya allah? Ref hapo ulipochomekea eti allah kapuliza tumbo la mariam...!? allah mwenyewe kasema kapuliza kum#@ ya (farjaha)ibnata al imran ref q.66:12 wewe unasema kapuliza tumbo...karudia tena ktk q.21:91 anasema waallatee ahsanat 'f a r j a h a.....feeha min roohina...... wewe badala ya kusema kapuliz k%&@ma unasema tumbo...hiyo aya 4:171 inaeleza wazi kwamba Hakika Masihi ni Neno na Roho ya M'Mungu na sema labda sio ya allah hapo tutakubaliana...nasema hivi waAllah huna ubavu wa kumtetea allah wala muhammad kwa uzwazwa waliofanyia dunia...tukiwaelimisha na kunukuu kauli za allah na muhammad mnasema ni matusi na kashfa why? mf; fundisho hili unafundishaje family > sababu za kuoga no ukimuingilia maiti, mnyama, kuntha, mtoto tundu yeyote iwayo ya nyuma au mbele au ukiingiliwa wewe...
IMG_20160601_212021.jpg
IMG_20160601_212021.jpg
Utafundishaje wanao na mameko au utaona ni matusi na kashfu..huu ni msiba dogo...
 
Agizo la Allah alilo MPA muhammad kuwaeleza nyinyi kuwa ni rejea yenu ni Quran, hadith, na miratul rasul!; dhahir eeh sasa mnapiga kata tatu iko wapi kwenye Quran?
Nakwambia hivi Koran haijaruhusu mwanaume kumwingilia mwanamke utupu wa nyuma. Hizo nyaraka hazipo. Sasa ili kukusaidia hayo maandiko uliyotoa ni Aya gani ili tufanye rejea. Maana umetoa kipande tu. Taja aya ili nasisi tufanye rejea.
 
na ukumbuke hadithi yeyote ambayo haiendani na quran hiyo haikubaliki,hayo maandishi hapo juu njoo na sura na aya hapa
 
Mbona kama umenilenga mimi? Mimi nimemwambia atoe ni Aya gani au kwa kuongezea aseme ni hadithi namba ngapi. Naamini ameleta hiyo aya makusudi kabisa maana haina hata reference. Hatujui ni aya gani na mstari gani.....tunaona maandishi tu. Mwe!!!
 
weweMalyenge, post: 17927570, member: 66763"]Nakwambia hivi Koran haijaruhusu mwanaume kumwingilia mwanamke utupu wa nyuma. Hizo nyaraka hazipo. Sasa ili kukusaidia hayo maandiko uliyotoa ni Aya gani ili tufanye rejea. Maana umetoa kipande tu. Taja aya ili nasisi tufanye rejea.[/QUOTE]

Kasome suratul nisaa aya.15 halafu uje humu useme allah katoa hukumu gani kwa wale wanaume wawili wanao lana ndogo! Nilicho kiona hapo ayat ya nisaa.14 inayo wahusu wanawake wanao sagana Allah katoa adhabu kwamba wafungiwe ndani mpaka umauti uwafishe...ukitoa adhabu alioitoa Allah kwa wanaume ni pm tupange unisilimishe kwa mkono wako..
 
Mbona kama umenilenga mimi? Mimi nimemwambia atoe ni Aya gani au kwa kuongezea aseme ni hadithi namba ngapi. Naamini ameleta hiyo aya makusudi kabisa maana haina hata reference. Hatujui ni aya gani na mstari gani.....tunaona maandishi tu. Mwe!!!

Kasome tafsir babu maa ja-a UK.14 sababu za kuoga muisilamu! pale iqra markiti unguja wanakinunua kama njugu kupata ilimu islam wasije wakafa na janaba makafir walie tu...hhhhhhhh..
 
na ukumbuke hadithi yeyote ambayo haiendani na quran hiyo haikubaliki,hayo maandishi hapo juu njoo na sura na aya hapa
Hiyo inaendana na suratul nisaa.15 na suratul baqara.223 dhahir eeh?!
 
Kasome tafsir babu maa ja-a UK.14 sababu za kuoga muisilamu! pale iqra markiti unguja wanakinunua kama njugu kupata ilimu islam wasije wakafa na janaba makafir walie tu...hhhhhhhh..
Umeanza kubadili gea angani. Kuoga janaba not necessarily itokane na kumwingilia mwanamke utupu wa nyuma. Kumbe hata hujui hata unachokizungumza. Sasa hicho kitabu kwanini usikimwage humu tuone huo ukurasa badala yake umeweka kipande tu. Au huo ukurasa wa 14 una robo aya? Lete hoja hapa Allah karuhusu waislamu kuwaingilia wanawake utuou wa nyuma na kuwaingilia maiti. Kimwage kitabu chote wewe babu au bibi.........
 
Naona kimyaaaa. Ukisikia mtu akikwambia rejea tafsiri ya nani nani bin fulani ujue huo ni ubabaishaji. Mwaga aya hapa acha kuleta makaratasi ya kwendea chooni yaliyochapishwa na watu kufanya propaganda. Haiingii akilini Mungu aamrishe kuiingilia maiti. Huyo Mungu hata awe ni Mungu wa makafiri kiasi gani hawezi kusema maneno hayo. Huo ni upuuzi........! Nakumbuka sana toka mwaka 2012 humu JF watu wamekuwa wakipenda sana kuleta huo upuuzi eti ni tafsiri. Why tafsiri hiyo isionekane mtaani in a complete paper back book au hata link ya mtandao tusome hayo mambo ya hovyo mtume aliyoamrishwa? Hizo ni propaganda!!! Kama siyo propaganda mwaga hiyo tafsiri humu. Tutahoji mchapishaji pia ni nani na anuani yake.
 
siwezi kuacha kula kitimoto yangu kwa ajili ya muisilamu dirisha dogo..nitakusukuma hadi uretardi, au ukufuru opp nyingine no kujilipua...
 
Jibu hoja....lete hiyo karatasi ya chooni unayodai ni maagizo ya Allah.
 
Mbona kama umenilenga mimi? Mimi nimemwambia atoe ni Aya gani au kwa kuongezea aseme ni hadithi namba ngapi. Naamini ameleta hiyo aya makusudi kabisa maana haina hata reference. Hatujui ni aya gani na mstari gani.....tunaona maandishi tu. Mwe!!!
Nilikosea mkuu ku highlight ili nim quote, ila tupo on the same page ngoja ailete tuione
 
Hana uwezo wa kuileta. Hizo nyaraka alizotoa zimechapwa kanisani kudanganya waumini wa kanisani....
 
Umeanza kubadili gea angani. Kuoga janaba not necessarily itokane na kumwingilia mwanamke utupu wa nyuma. Kumbe hata hujui hata unachokizungumza. Sasa hicho kitabu kwanini usikimwage humu tuone huo ukurasa badala yake umeweka kipande tu. Au huo ukurasa wa 14 una robo aya? Lete hoja hapa Allah karuhusu waislamu kuwaingilia wanawake utuou wa nyuma na kuwaingilia maiti. Kimwage kitabu chote wewe babu au bibi.........
Naona kimyaaaa. Ukisikia mtu akIwambia rejea tafsiri ya nani nani bin fulani ujue huo ni ubabaishaji. Mwaga aya hapa acha kuleta makaratasi ya kwendea chooni yaliyochapishwa na watu kufanya propaganda. Haiingii akilini Mungu aamrishe kuiingilia maiti. Huyo Mungu hata awe ni Mungu wa makafiri kiasi gani hawezi kusema maneno hayo. Huo ni upuuzi........! Nakumbuka sana toka mwaka 2012 humu JF watu wamekuwa wakipenda sana kuleta huo upuuzi eti ni tafsiri. Why tafsiri hiyo isionekane mtaani in a complete paper back book au hata link ya mtandao tusome hayo mambo ya hovyo mtume aliyoamrishwa? Hizo ni propaganda!!! Kama siyo propaganda mwaga hiyo tafsiri humu. Tutahoji mchapishaji pia ni nani na anuani yake.

Unanikoromea Mimi na kulia lia Mimi hayanihusu!; ilaha nimenukuu ilimu isilam! nimekuwekea sababu za muisilamu kuoga na aya za kuluani suratul nisaa 14 na 15 + suratul baqara 223 hata nimeuliza humu Allah katoa adhabu gani kwa wale wawili wanao shikishana ukuta? badala ya kujibu unaleta khutba?! hiyo khutba peleka masgidi ukaambulie takbir! Humu watu ni ma-GT tunaona hats huku uswazi unaitwa in mchezo wa kisilamu...hebu nikuulize! Juhudi yoote hii unayo ifanya humu unapigania nini?
 
Kwa nini mnapenda ku-edit kauli ya allah? Ref hapo ulipochomekea eti allah kapuliza tumbo la mariam...!? allah mwenyewe kasema kapuliza kum#@ ya (farjaha)ibnata al imran ref q.66:12 wewe unasema kapuliza tumbo...karudia tena ktk q.21:91 anasema waallatee ahsanat 'f a r j a h a.....feeha min roohina...... wewe badala ya kusema kapuliz k%&@ma unasema tumbo...hiyo aya 4:171 inaeleza wazi kwamba Hakika Masihi ni Neno na Roho ya M'Mungu na sema labda sio ya allah hapo tutakubaliana...nasema hivi waAllah huna ubavu wa kumtetea allah wala muhammad kwa uzwazwa waliofanyia dunia...tukiwaelimisha na kunukuu kauli za allah na muhammad mnasema ni matusi na kashfa why? mf; fundisho hili unafundishaje family > sababu za kuoga no ukimuingilia maiti, mnyama, kuntha, mtoto tundu yeyote iwayo ya nyuma au mbele au ukiingiliwa wewe...View attachment 412620View attachment 412620 Utafundishaje wanao na mameko au utaona ni matusi na kashfu..huu ni msiba dogo...

Kitabu hicho ulichonukuu nani alikiandika ??? Mnaandika vitabu baadaye mnavipenyeza kwa waislamu kuupotoa uislamu,

"But when the time had fully come, God sent his Son, born of a woman, born under law."
– Galatians 4.4.

In the verse that follows the writer explains that the son was born as a Jew in order that he might "redeem" others who were also Jews.

Nowhere in this, or any other epistle for that matter, is there any reference to a virgin, called Mary or by any other name, bringing forth a child.

In the one passage where Paul does discuss virgins (1 Corinthians 7) the writer says virgins serve the Lord better than wives because they are not distracted by the needs of their husbands!

The only other occasion where the Pauline writers are at all concerned with the birthing of Jesus is Romans 1.1-3. and here the reference is to "human seed", not the agency of divine spirit:

"I Paul, a servant of Jesus Christ, called to be an apostle and separated onto the gospel of God ...concerning his Son Jesus Christ our Lord, which was made of the seed of David according to the flesh."

The Pauline position is unequivocal. The authors know nothing of a supernatural conception and in fact say the very opposite – the birth was normal and Jewish, albeit of "kingly seed".

The author of Mark is another who has no story of a holy virgin or divine impregnation. Mark's Jesus makes his first appearance as an adult, not a child, and there is no later referral to any supernatural, or even natural, birth. Mark sketches in the barest detail regarding his hero's origin. His Jesus came "out of Galilee", emerging from the city of Nazareth for his baptism by John. But that is all Mark has to say on the matter.

Perhaps more telling is the treatment of Jesus' origin in the gospel of John. Here, the author, though he almost certainly knew the earlier fables dreamed up Matthew and Luke, like Mark, has no interest in any human genesis of his "Word of God made flesh".

John states very clearly that Jesus was "the son of Joseph" (John 1.45; 6.42.) – which could hardly have left Mary a virgin.

Again, like Mark, he prefaces his story of Jesus with a preamble about John the Baptist and when the "Light" and the "lamb" first appears it is as an adult.

Later in his gospel, John's Pharisees discuss the Christ and they are clearly under the impression that Jesus had no connection with Bethlehem (John 7), a belief shared earlier in his tale by the soon-to-be disciple Nathanael.

Not even the evangelist John is sold on the fantastical "virgin birth" yarn!
 
Unanikoromea Mimi na kulia lia Mimi hayanihusu!; ilaha nimenukuu ilimu isilam! nimekuwekea sababu za muisilamu kuoga na aya za kuluani suratul nisaa 14 na 15 + suratul baqara 223 hata nimeuliza humu Allah katoa adhabu gani kwa wale wawili wanao shikishana ukuta? badala ya kujibu unaleta khutba?! hiyo khutba peleka masgidi ukaambulie takbir! Humu watu ni ma-GT tunaona hats huku uswazi unaitwa in mchezo wa kisilamu...hebu nikuulize! Juhudi yoote hii unayo ifanya humu unapigania nini?

Born in a Stable?

manger.jpg

Was Jesus born in a stable? Or a barn? Or a cave?

Luke* says only a manger. There was no room for him in the kataluma ("inn" or guest room).

But Joseph supposedly had returned to his ancestral home, "the lineage of David". So the place should have been chock-full with his own relatives. And not one of them would accommodate a heavily pregnant woman? Tut-tut.

The reality is that the story of Jesus is enhanced by the "humble birth".

Early Christians were taken by the idea that he was, in fact, born in a cave. Can you get any more humble than that?

* Matthew, a tad more realistic, says, "And when they had come into the house ..." (2.11).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom