MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Maandiko lazima yatimieHahahaaaa, analindwa na polisi.
Yesu wao mwoga sana...hataki kurudi kwa Baba..Maandiko lazima yatimie
Yesu OG, alirudi kwa baba mapema sana akiwa 33 years, huyu bado anazurura zururaYesu wao mwoga sana...hataki kurudi kwa Baba..
🤣🤣Yesu alikimbilia polisi
Wanapaswa kusulubishwaManabii gani wanakula kuku, wana mashavu yamenona, wana magari ya kifahari. Wanaishi kwenye makasri na ukwasi mwingi kuliko wafuasi wao? Ukiwauliza maswali wanakujibu mbona ibrahim na suleimani walikuwa matajiri....
Ngoja wakimpeleka kwa baba baada ya siku tatu tutajua mbivu na mbichiYesu gani huyo anayekimbilia polisi kuomba msaada asisulubiwe? Eti yesu wa bungoma kenya ana mke, huyo ni mkenya tu wa kawaida kama yule mtanzania anayejiita mungu na wafuasi wake wakijiita makerubi...
Wanatakiwa wapitishwe kwenye tanuru la moto, wafunguliwe Simba, wapigwe mawe kama Daniel, hakunaga free ride ya kwenda mbinguniCha ajabu watu wanawaamini sana wapuuzi hawa. Kuna mmoja hapa wa siloam anajiita majina marefu mpaka na waumini wake wana majina marefu yenye kujipa sifa za kiungu ambazo hawana. Amejirundikia wapuuzi wengi wenye akili mbovu zilizoharibiwa, wakiambiwa wajiteteketeze wako tayari kufanya hivyo. Hawa mitume na manabii feki wakikabiliwa kukutana na changamoto za kuthitisha utume na unabii wao wasikimbilie polisi kuomba msaada
Akome na aache kuigiza mambo ya kikubwaYule jamaa izi siku 2 hana amani.
ujinga ni kipaji, kila nchi wanavyoNilijua TZ ndio kuna wajinga kumbe mpaka KEnya wapo duh
Mtu anajiita yesu bado na mijitu inamuamini dah