HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Si tulikubaliana kuwa kila timu ishinde mechi zake? Kiherehere cha nini sasa katika imani zisizokuhusu?Habarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
Ungesoma uzi huu usingepoteza muda kuandika uliyoyaandikaHabarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
acha kukejeli na kudhihaki, mambo ya imani huyajui kenge we!Habarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
Hajadhihaki mjibu maswali yakeacha kukejeli na kudhihaki, mambo ya imani huyajui kenge we!
Wewe ni punguani.Habarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
Wewe ndo umejibu mambo usiyo yajua mleta uzi yuko sahihi, kwenye Biblia wakristo wanaamini yesu atarudi kuwaokoa wana wa Israel kwahiyo swali la mleta uzi liko sahihi.Waisrael hawamtambui au kumuamini Yesu kuwa mkombozi wao. Ndiyo sababu walimuuwa.
Umezungumzia jambo ambalo huna uelewa nalo. Ficha aibu ya uwezo mdogo wako wa kiakili ulivyo athiriwa na dini za kukuiga.
Anachapwa Israel ila wanakufa wairani 600 na waisrael 70?Habarini,