Yesu yupo Galaxy nyingine, atachelewa!

Yesu yupo Galaxy nyingine, atachelewa!

haahahaa ahhahahahaha ahahhahahah ahha mleta 3D umenifurahisha sana, naomba na mm nichangie kidogo.
kipenyo cha milky-way galaxy kinakadiliwa kuwa ni almost 100,000 light years {miaka laki moja ya kusafiri kwa mwanga}
hivyo basi, ikiwa yesu yupo upande mmoja wa galaxy yetu na akahitaji kuja duniani kuwakomboa watu wake, basi atatumia miaka laki moja kufika hapo duniani.
hii ni kutokana na assumption kwamba yesu atasafiri kwa spidi ya mwanga, ambayo ndiyo spidi kali kuliko kitu chochote kile ambacho teknolojia yetu ya leo inakifahamu. {3x10^.8 m/sec},
ikiwa spidi ya yesu ni mara 2 ya mwendokasi wa mwanga basi atatumia miaka elfu 50,000 kufika duniani, na ikiwa spidi yake ikawa mara 100, basi atatumia miaka 1,000 n.k. {hii ni milinganyo ya uwiano ya kawaida kabisa natumaini sijachanganya sana watu}
ikiwa yesu yupo galaxy nyingine kama heading ya mtoa mada basi atachelewa zaidi, kwakuwa ukichukulia mfano kutoka galaxy iliyo karibu na sisi i.e; ANDROMEDA mpaka hapo duniani ni mamilioni ya miaka ya kusafiri kwa mwanga.
haya mambo yanaleta raha kuyajadiri japo yanachanganya kidogo kuyaelewa, lakini natumaini sijauchanganya umati wa JF.

MADE IN MBY CITY
 
Asante mkuu, tunapaswa kuthing beyond
 
Let we have free mind out of religion. Human brain ni pana but tunai-underutilise. Tusiwe wachoyo, dunia kufanana na sayari nyingine ni normak
 
Vitabu vyote vya Biblia na Kulani vinaamini kuwa Yesu atarudi kwa ukombozi au kuufanya mwisho wa dunia.

Studies zinaonesha yupo Sayari nyingine huenda ktk Galaxy ya Nebula au hii ya Milky way akifanya ukombozi kwenye sayari zenye viumbe kama wanadamu wa dunia hii.

Tukumbuke kuwa, kwa mujibu wa NASA, Universe ina Galaxes zaidi ya bilioni 100 hii ni kutokana na studies za lensing au telescope za sasa hivi ambapo huko mbeleni zikiwa improved, galaxes nyingine kwa mabilioni mengi zitagundulika. Katika Galaxy ya Milky way tuliopo sisi, ina maelfu ya sayari ambazo zina mfano wa dunia yetu na zinaaminika kuwa na viumbe hai kama sisi.

Sasa kwa hesabu ya makadirio kila galaxy yenye mabilioni ya sayari inakadiliwa kuwa na sayari zenye maisha. Viumbe hao wenye ubinadamu nao wanafikiriwa kumkosea muumba na hivyo huenda Yesu yupo huko pia akiwakomboa. Hesabu zinaonesha itachukua muda mrefu sana kuzimaliza.

Haifahamiki ataanzia sayari gani au galaxy gani kuwarudia na kufanya unyakuo. Hivyo zamu yetu ya unyakuo baada ya ukombozi wa sayari nyingine itachukua muda mrefu. Kikubwa jiandae ufe vizuri, maana kwa kizazi cha leo kuifikia siku ya unyakuo ni ndoto.

Ishi kama mwisho wa dunia ni siku yako ya kufa. Tenda mema, toa sadaka kwa wahitaji (epuka kutoa sadaka kwa makanisa ya wajasiliamali wanyonyaji) na ishi purpose yako!!

Kila la kheri
Labda sisi ndio ilikuavjati ya galaxy 20 au mia za mwisho. Na kwenye kurudi ataanza na ya kwetu au ameshaaza kurudi na sisi ni wa 3 au wa 4 kufikiwa. Ndio maana akatutahadharisha, a will be back soon.

Inawezekana kwa huko alipoanzia hakuwaambia a will be back soon.
Pengine ali waambia a will come back ila baadae sana[emoji15] .

So tusikilize tu alichotuambia kwa tuwe tayari. Soon atarudi
 
Soon is how long? Maana ni 2000+ years now na kumbuka universe ina 13.82 billion of age huku our milky way ipo na around 4.5 billion of age.
 
inasikitisha sana endapo utachanganya maji na mafuta na kutegemea upate one layer liquid,
mambo ya NASA na ma galaxy na mkorokoro ya dizaini iyo, iyo yote ni elimu ya kidunia
na ukichanganya utashi wako wa kisayansi na mambo ya kwenye vitabu vya dini unaweza kuwehuka bure
sawa biblia na quran vinasema Yesu atarudi tena atarudi kweli very soon, lakini sidhani kama ndani ya vitabu ivyo kuna habari zozote za NASA au galaxies
imani za ki Mungu na elimu ya kidunia (sayansi) aviendanii saana, na kwa maana iyo basi,
ukijihoji au kujiuliza swali kwenye biblia au quran usitarajie kupata majibu yako kwenye elimu yako ya kidunia
 
Mchukulie Yesu kama mtu kweli (per Biblical contextual) kisha tujadiliane. Aliishi duniani, alikufa, akafufuka na atarudi.

Sasa kama unakataa kuhusianisha sayari na uumbaji, wewe unaiweka elimu hii upande gani? Nani aliyeumba galaxies? Ni kitabu gani kinadhihirisha uumbaji wake?

Atleast Sayansi gives elaborations ambazo ni wazi, na discussant, sasa wewe unabisha kwa evidence gani?

Kwanini unakataa kuhusianisha sayansi na Mungu???

Be free ili uutumie ubongo vzr, dini isikufunge
 
mkuu mimi bichwa langu lina kokotoa mambovizur tu, alafu siwezi kufungwa na dini...
ni kwel kabisa Mungu ameumba nyota na sayari na mwenzi na vidubuasha vingine vingi tu ambavyo nyie na elimu yenu mnaita universe ndani yake tunapata ma galaxy billion kwa makadilio yenu,

lakini mkuu kiujumla hoja yako ni ya kufirika.... huwezi kuchanganya habari za NASA na mambo ya kiimani
 
Kwa hiyo NASA wana habari za kufikirika? Are u sure Yesu atarudi?
 
haahahaa ahhahahahaha ahahhahahah ahha mleta 3D umenifurahisha sana, naomba na mm nichangie kidogo.
kipenyo cha milky-way galaxy kinakadiliwa kuwa ni almost 100,000 light years {miaka laki moja ya kusafiri kwa mwanga}
hivyo basi, ikiwa yesu yupo upande mmoja wa galaxy yetu na akahitaji kuja duniani kuwakomboa watu wake, basi atatumia miaka laki moja kufika hapo duniani.
hii ni kutokana na assumption kwamba yesu atasafiri kwa spidi ya mwanga, ambayo ndiyo spidi kali kuliko kitu chochote kile ambacho teknolojia yetu ya leo inakifahamu. {3x10^.8 m/sec},
ikiwa spidi ya yesu ni mara 2 ya mwendokasi wa mwanga basi atatumia miaka elfu 50,000 kufika duniani, na ikiwa spidi yake ikawa mara 100, basi atatumia miaka 1,000 n.k. {hii ni milinganyo ya uwiano ya kawaida kabisa natumaini sijachanganya sana watu}
ikiwa yesu yupo galaxy nyingine kama heading ya mtoa mada basi atachelewa zaidi, kwakuwa ukichukulia mfano kutoka galaxy iliyo karibu na sisi i.e; ANDROMEDA mpaka hapo duniani ni mamilioni ya miaka ya kusafiri kwa mwanga.
haya mambo yanaleta raha kuyajadiri japo yanachanganya kidogo kuyaelewa, lakini natumaini sijauchanganya umati wa JF.

MADE IN MBY CITY
Hamna Mkuu according to Einstein theory of relativity ndo inatoa limit ya kwamba nothing travel faster than the speed of light and you know theory is ussumption. But Tesla claimed to detect the cosmic rays travelling with the high speed than that of light, but media ignored Tesla foundings.
 
Ahsante mkuu Chechele kwa bandiko lako.
kiukweli mm ni fun mkubwa wa NIKOLA TESLA, na pia nina amini kuwa jamaa alikuwa sahihi kwa mamb mengi hasa nikimhusisha katika energies, waves and vibrations. kiufupi jamaa alikuwa FUTURIST
ni kweli kabisa kuwa kazi zake nyingi zilikuwa ignored.
Mfano;
kipindi marekani inapigana vita ya pili ya dunia, jeshi la marekani lilimuomba THOMAS EDISON awe mmoja wa washauri wa jeshi kuhusiana na technical issues za kimapigano hasahasa siraha za kivita.
huyu NIKOLA TESLA aliwaperekea jeshi la marekani kifaa ambacho kingeweza kuwasaidia kuona adui akija kutoka mbali. {either ni majini, nchi kavu au angani} na kuweza kumkabili.
huyu bwana mkubwa THOMAS EDISON akatoa sababu zake na kusema kuwa hicho kifaa hakina practical application katika vita.
jeshi la marekani likakiweka kapuni na kumpotezea bwana TESLA
but believe me, hicho kifaa leo kinaitwa RADAR {nazani kila mmoja anajua umuhimu wake}.
and yes, this man was something else

ulichoongea kuhusiana na cosmic rays na TESLA sipingani na ww ila nimeshindwa kuiongelea kwakuwa hiyo assumption bado haina ushahidi wa kisayansi, na badala yake nimemuongelea bwana EINSTEIN na theory yake inayo kubalika na wengi.
laiti kama ningesema nimuongelee bwana TESLA na THEORY yake ya AETHER instead of GENERAL THEORY OF RELATIVITY, pasi na shaka ningeuchanganya umati huu wa JF na kuwakimbiza wengi.
Cc Jumong S
Cc Mwana Ilala

Yeah..
 
Nimekupata NICOLA TESLA wa Mbeya Tz. In real sense, ubongo wa binadamu ni so resourseful, but we do use a very small portion of it hasa ukiwa radical believer wa dini na kuyapotezea mengine.

Kifupi my topic, nilitamani tufunguke, tufikiri beyond our religions. Tutumie bongo kucrack the codes of religion beliefs. Tufikirie kikubwa kile kisichotajwa na great heros of religion!!!

Why akina Tesla waliweza? Na sie we can
 
Back
Top Bottom