maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,070 Reaction score 4,698 Nov 19, 2018 #1 wakuu habari zenu nimekaa apa nacheki move ya yesu naskiliza hizi kauli zake nabaki najiuliza hivi kama yesu angekua mwanamziki angeimba nyimbo za aina gani? mi kwa mtazamo wangu kutokana na kauli zake angeimba taarabu
wakuu habari zenu nimekaa apa nacheki move ya yesu naskiliza hizi kauli zake nabaki najiuliza hivi kama yesu angekua mwanamziki angeimba nyimbo za aina gani? mi kwa mtazamo wangu kutokana na kauli zake angeimba taarabu
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Nov 19, 2018 #2 Unapata wapi ujasiri wa kusikiliza taarab?
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,073 Reaction score 858,551 Nov 19, 2018 #3 Yesu! Katochi ni shida walahi