maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
wakuu habari zenu
nimekaa apa nacheki move ya yesu naskiliza hizi kauli zake nabaki najiuliza hivi kama yesu angekua mwanamziki angeimba nyimbo za aina gani?
mi kwa mtazamo wangu kutokana na kauli zake angeimba taarabu