Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda mfupi nimetoka kwenye mkutano wa Dr. peter W. Slaa hapa Iringa. Kaongea mengi sana. Lililonigusa ni sana ni hilo neno '' yeye kasema hataki kura zenu, mimi nazitaka'' Sijui nyinyi mnasemaje?[/QUOTE]
mkuu haya maeneo nilo-bold naamini mh. dr. hakumsema NANI ASIYEZITAKA KURA ZETU...ila kama ANAMAANISHA KUWA JK ALIVYOSEMA HATAKI KURA ZA WAFANYAKAZI...basi sie WAFANYAKAZI tunasema na kumwambia mh. dr. kuwa .."HATA ASIPOTUOMBA KURA ZETU...TUTAMPA ILI KUMFIKISHIA MSG YULEEE ALIYEZIKATAA KURA ZETU KUWA TUPO LAKI 3 TUTAMGOMBANISHA NA WANANCHI MIL 40"....Ile hotuba yake na "VIZEE VYA DASALAMU" Atajuuuta kuisoma kama alivyoandikiwa na JANUARY ma-ropes.
HABARI NDO HIYO JK...meseji senti
Muda mfupi nimetoka kwenye mkutano wa Dr. peter W. Slaa hapa Iringa. Kaongea mengi sana. Lililonigusa ni sana ni hilo neno '' yeye kasema hataki kura zenu, mimi nazitaka'' Sijui nyinyi mnasemaje?[/QUOTE]
Hapo ndipo pachungu hata anadiriki kumuweka mama Nyerere mbele kuchukua fomu za urais,ameshajua hana kura za wafanyakazi
Unajua mie Hesabu ilinipiga chenga wafanyakazi laki 3. Tuchukulie mfanyakazi 1 anategemewa na watu wangapi chini yake sasa wote wakiungana ili kuwa kitu kimoja na mfanuyakazi 1 jumla watakuwa wangapi?? kwa hiyo JK hatokosa kura LAKI atakosa KURA ZAIDI ya HIZO laki 3

Mifanyakazi Tanzania na familia zao, mingi KIGEUGEU. Nitakuwa Thomas hadi nione matokeo.
UKO NA MAFISADI AU UKO NA DR.SLAA
Kuna wabongo wabishi ndugu yangu, wanaona kama wanapata dhambi kuinyima kura CCM.Hivi kuna mfanyakazi mwenye akili timamu ambaye atampa jk (kifa ulongo) kura yake? Itakuwa maajabu ya dunia