Yeyote alie karibu Samaki spot Moro

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaendaga na watoto?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaendaga na watoto?

😅😅😅ukitaka niondoke kiwepesi bila vikwazo niondoke na watoto..bila hvyo🤔🤔🤔...so naandaman nao sana sana..
 
Nakuunga mkono...jitahid uwepi kwa group lao la wasap..wanajua kula bata watu wa pande zile balaa napamis mnoo...!
Unamaanisha group la samaki au black and white ? Yaan mkuu wa mkoa alinipa connection flan ya kibabe mpaka sasa nipo mikoa ya kusini mwa tanzania
 
Unamaanisha group la samaki au black and white ? Yaan mkuu wa mkoa alinipa connection flan ya kibabe mpaka sasa nipo mikoa ya kusini mwa tanzania

kuna group lao la blak n wht wasp..safi na hongera
 
Dah samakini nimepamis sna moro town ila kuna mahali panaitwa black and white pana watu class flan hivi niliwah kutana na mkuu wa mkoa meza moja hapo na akanipa bonge la dili.. pombe ziheshimiwe kwa connections
black and white ya malecturer flani wa sua wanamiliki na suasa club ya sua pako classic sana pale karibu sana
 
ha ha karibu sana mimi sitakudai bwana ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…