Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaendaga na watoto?[emoji28][emoji28]unaogopa kudaiwa..mie jaman nakulaga ofa za watu kibao..ila ndo utafanya nn sasa[emoji28][emoji28]..yaan vibia vi5 uanze kunisumbua??lol.....!huwa najihami na watoto..akitaka niendelee kunywa nasema narudisha wanangu..kumbe sirudi[emoji848][emoji848]..ila ukitaka kumuweka sawa zungusha na ww round km 2 hv...